MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Hakuna asiyejua kuwa All - Rounder ni mwana Yanga SC tena mwenye Umiliki wa Kadi yangu namba 357....13.
Nawaombeni wana Yanga SC wote mlioko JF hebu kuanzia Kesho Alhamisi tuungane Jangwani ili tushinikize GSM na Injinia Hersi watuachie Time yetu haraka iwezekanavyo.
Nataka tuwalazimishe hawa GSM na Injinia Hersi wao waondoke ili ama Timu yetu tumuombe Mwekezaji wa Simba Mo Dewji aichukue au tumkodishe Yanga SC yetu ili Mo Dewji atufanyie Mambo makubwa kama ayafanyayo kwa Simba SC hadi wengine Wivu unatuuma na hata Kujisikia vibaya na Yanga SC yetu.
Yanga SC oyeeeee, nyuma mwiko daima mbelee. Tumeipenda Wenyewe wacheni (acheni) ituue tu Kudadadeki ila GSM na Injinia Hersi wao hatuwataki tena ndani ya Klabu yetu tafadhali ila tunamtaka Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji awekeze Yanga SC.
Wanayanga SC wenzangu msiponisikiliza na Kufanya hiki ninachosema kuanzia leo hii All - Rounder nahamia Simba SC kwani naona wana Uongozi mahiri na Madhubuti na pia Wakishinda Mechi zao zote za Viporo watawazidi Yanga SC kwa alama ( points ) Saba ( 7 ) na Kuelekea kuwa Bingwa wa 2020 / 2021 Vodacom Premier League.