yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Yanga SC wakitaka kuepuka kipigo kwa Simba SC, wafanye kama Manchester Utd

    Yanga SC wakitaka kuepuka kipigo kizito kutoka kwa Mnyama Mkali Simba SC, hapo Mei 8, 2021, basi wafanye kama walivyofanya mashabiki wa Manchester United na kusababisha game yao na Liverpool kutochezwa. Wanavamia Uwanja wa Mkapa na viunga vyake na kuandamana kulazimisha wadhamini wao kampuni ya...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc hii inatisha, Yanga tutawachakaza mpaka mashabiki wakimbie uwanjani

    Hiyo tarehe 8 hatimaye imebaki siku 5 tu tutembeze kichapo cha mbwa koko. Tutawachakaza mpaka mashabiki wenu wakimbie uwanjani. Wakati mnategemea mazali na kudra za Mungu mjiandae kisaikolojia kupokea kichapo cha kuchakaza. Hamna kikosi cha kupambana na Simba Sc, Simba wanapiga mpira na...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wizara husika ya Habari na MCT je, Kichwa cha Habari hiki cha 'Kihuni' katika Gazeti la Yanga SC toleo la leo Jumamosi mmekibariki?

    Kichwa cha Habari ni hiki.... YANGA YAMBAKA MUME WA SIMBA Najua Simba na Yanga ni Watani wa Jadi ila sidhani kama katika Tasnia ya Habari Lugha hii ya 'Kihuni' na 'Udhalilishaji' inakubalika. Na kama GENTAMYCINE nitajibiwa kuwa ni Lugha njema tu hiyo basi nitaiomba Wizara husika na MCT...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Kukengeuka na Kutukana simuungi mkono Nahodha wa Prisons, ila kwa tuhuma aliyoitoa dhidi ya Yanga namkubalia na Simba tumo pia

    Kuna Watu mmenishangaza kweli kweli kwa Hoja yenu kwamba inawezekana vipi Yanga SC kutaka Kuhonga Tsh Milioni 40 wakati hata Kombe lenyewe halina Kiasi kikubwa cha Pesa? Kitu pekee ambacho wengi wenu ( hasa Wanafiki ambao ni wana Yanga SC ) ni kwamba tayari Yanga SC imeshajua kuwa katika Ligi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TFF fuatilieni hii tuhuma kwa Yanga kuwahonga wachezaji wa prison

    Akihojiwa baada ya mechi Benjamin Asukile amesema yanga walikuwa wanawapigia simu wachezaji wa prison wawape mil 40 ili kupata mteremko mechi ya leo. Fuatilieni hii tuhuma maana shahidi wa kwanza ni huyo Asukile. Ikigundulika ni uongo basi Asukile achukuliwe hatua na kama ni ukweli maana yake...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tanzania Prisons msijidanganye. Yanga siyo Simba. Wazoeeni hao hao siyo Sisi

    Mmejanga mazoea na Simba mnadhani na Yanga ni kama Simba. Mazoea yenu huko huko msilete kwa Yanga Mnapolalia nyie siye ndo tulipoamkia. Wala hatuna mchecheto. Kona na njia zenu tunazifahamu. Simba mnawawezea sababu hawajui hiyo michezo.sisi siyo Team ndogo kwa taarifa yenu. Leo tunawala...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CAF yataja Vilabu Bora 30 Afrika Simba SC yapanda hadi nafasi ya 13, ila Yanga SC hata katika Vilabu 200 Bora Afrika pia haimo

    Pongezi nyingi mno kwa Serikali ya Tanzania, Klabu ya Simba, Wanachama, Mashabiki, Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara Gonzalez, Shirikisho la Soka nchini TFF na hasa hasa Kwake Mwenyezi Mungu kwa 'Kuibariki' Klabu ya Simba SC kupata Mafanikio haya makubwa ( hasa Kimataifa ) na Kuitangaza Tanzania...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhali kwa 'Umafia' unaopangwa na Yanga SC kuelekea 'Derby' yetu nao May 8, Wafuatao wasicheze FA Jumamosi

    Nimepenyezewa za ndani kabisa kutoka kwa Watu wa Yanga SC ( ambao wanajua Mimi ni mwenzao ) kuwa wamezungumza na Wachezaji wa Kagera Sugar tunaocheza nao FA Jumamosi ili 'Wawaumize' Wachezaji wetu Muhimu ( Waandamizi ) Wanaotakiwa 'Kuumizwa' vibaya ili wakose ( waukose ) mtanange wa Simba na...
  9. dyuteromaikota

    JamiiForums Tanzania Kwanini nikivaa jezi za Arsenal na Yanga warembo wanakuja wenyewe kunipa namba za simu?

    Mimi ni mpenzi wa hizo timu mbili, nikivaa jezi za timu hizo warembo wanakuja kunipa namba wenyewe, imenitokea mara nyingi sana. Halafu mimi kwa sasa nimeokoka sitaki kabisa dhambi, kuna siri gani jamani?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Shafii Dauda adai aliiokoa Simba dhidi ya Yanga kuchukua wachezaji

    Maajabu yanaendelea baada ya kula mshiko wa zimbwe junior ikiwa malipo yake ya kuitukana simba na CEO barbra gonzalez shafii dauda anadai kwamba yeye anatakiwa ashukuriwe sababu kaiokoa simba KWANI KAPOMBE NA ZIMBWE WALISHASAINI PRE CONTRACT YANGA. Walahi yaani watu wanadai wao wanapigania...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Shafii Dauda alimvuruga Singano na sasa kahamia kwa Zimbwe, mwacheni aende Yanga

    Huyu jamaa kwa sasa sidhani hata kama kuna mtu anamchukulia serious kama mchambuzi, hata madogo kama Alli Kamwe, kina Ambangile na wale kina Tigana wa East Africa wanajua kuchambua kitaalamu na wanaeleweka hapo sijamuweka Ally Mayayi na Mwalimu Kashasha. Shafii Dauda ni vulture na kwa sasa yuko...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kwa alichokiongea Heri Mzozo, Tshabalala ataenda Yanga

    Nimesikia interview ya kaka mkubwa Heri Mzozo. Kwa alicho kisema Ni wazi kuwa Zimbwe ataenda Yanga. Kikubwa wanacho kitazama wao kama walezi na management ya Tshabalala ni maslahi ya kijana wao. Kwa alicho kisema Mzozo kuhusu malipo anayo lipwa Zimbwe pale Msimbazi, kusema ukweli Simba...
  13. Slowly

    JamiiForums Tanzania Twende mbele turudi nyuma golikipa wa Yanga ni "kopo", anademka tu

    Huyu kipa hamna kila kitu, unafungwaje gori Kwa shuti la mbali namna Ile , tena shuti lenyewe la kupitia Kati Kati ya gori na sio kwenye mlingoti wa juu sehemu ambayo mara nyingi ni impossible Kwa gori kipa kuunasa mpira , rejea shuti la miquisone dhidi ya al-ahally ..... Alaf anademka juu kana...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC tugomeni GSM watuachie Timu yetu wakikataa tuhamieni rasmi Simba SC kwenye raha kwani tumechoka sasa!

    Hivi kweli wana Yanga SC kulikuwa na Umuhimu wowote wa Kuachana na Kocha Mwambusi na kutuletea hawa Wala Tende wa Tunisia Nabi na Wenzake? Hivi kweli GSM ni wa Kutusajilia Yanga SC yetu hii Migalasa akina Sarpong, Yacoiba, Fiston na Ntibanzonkiza ambaye sioni hata nini anafanya Uwanjani zaidi...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

    Ni mechi muhimu kwa Yanga kuendeleza matumaini kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara na kurejea kileleni ikiwa imeshinda mechi zake mbili zilizopita. Azam baada ya kusuluhu mechi iliyopita na Dodoma jiji itajitahidi kushinda mechi ya leo. Yanga yenye alama 57 na michezo 26 itaikaribisha...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Prince Dube ameshakula ameshiba anawasubiri Utopolo

    MOTO uliouwasha Prince Dube sio wa kitoto kwani jamaa unalijua goli balaa. Mpaka sasa Dube ndiye unayeongoza kwa mabao kwenye Ligi Kuu ukifungana na mfungaji bora wa msimu uliopita Meddie Kagere wa Simba. Dube ndiye unayeibeba Azam kwa sasa, pale Yanga sioni beki wa kukuzia kwa maji anayomwaga...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Leo Azam hatoki Taifa. Yanga tunamchakaza Vibaya sana. Tunashukuru kwa kazi iliyofanyika

    Pamoja na maneno ya kashfa aliyoyasema Saido habari za kula Mayai Viza n.k sisi hatujali na tumemsamehe bado ana utoto. Ila aulize wenzie watamweleza. Na ashukuru kuwa amesafishwa nyota yake sasa anafunga. Angekuwa hataki hayo asingekubali kupelekwa alikopelekwa na wazee.mwenzake Nchimbi si...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Viongozi Yanga wafanikiwa kumshawishi Saido Ntibanzokiza kucheza dhidi ya Azam

    Tunashukuru kwa viongozi kuweza mshawishi Saido kucheza match ya leo dhidi ya Azam. Tena baada ya kumwakikishia kuwa atapangwa kuanzia mwanzo na hatotolewa. Kocha mpya ameambiwa kuwa asiwe anamwacha Saido nje ataleta matatizo kwa team. Saido amekubali kucheza dhidi ya Azam na viongozi pia...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ditram anaendelea kufurahia bao lake baada ya mwaka mmoja akiwa Yanga. Saido naye awashangaza wadau

    Ditram bado anaonekana mwenye furaha baada ya kufunga goal siku kadhaa zilizopita. Huku na Saido naye kwa furaha kabisa baada ya kufunga goal aliomba atolewe nje ili aende kushngalia. Kwa kweli Yanga tumepiga hatua kubwa sana katika mpira wa miguu..style ya Saido imekuwa kivutio kikubwa ikiwa...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Saido Ntibazonkiza afuta picha za Yanga kwenye ukurasa wake wa Instagram

    Yanga imekuwa katika wakati mgumu baada ya mtu asiyejulikana Hans Pope kumuweka kwenye mikono salama striker wa Yanga Saido. Katika hali ya kushtua Saido amefuta picha zote akiwa na jezi za Yanga katika kurasa zake za Insta
Back
Top Bottom