Yanga mrudisheni Zahera haraka

siku ya derby tunamfukuzisha kocha mtakayemleta kwa magoli nane bila
Kinachosababisha wachezaji wa timu kama Kagera, coastal na polisi wacheze kwa bidii na ari ni hamasa ya benchi la ufundi kwa wachezaji wao kitu ambacho kaze hawezi ila Zahera anakiweza.

Kama ukimrejesha Zahera au Mkwasa kikosini hawana muda wazoea mazingira ama kujaribu combinations za wachezaji lakini mkimleta kocha kutoka Slavia leo wakati michuano inaenda mwisho mpaka aje azoee hali itakuwa mbaya zaidi.
 
siku ya derby tunamfukuzisha kocha mtakayemleta kwa magoli nane bila
Hamna jeuri hiyo. Yanga hata iwe mbovu vipi, ikikutana na mwamedi fc hubadilika na kucheza vizuri. Mfano mzuri ni mwezi January walipo waduwaza kwenye fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa kuchukua ubingwa na nyinyi kushika nafasi pili.
 
Lile birika lenu la kuvutia shisha hivi limewasaidia nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom