yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Changamoto katika kukata tiketi mechi ya Simba na Yanga 08/05/2021 uwanjani

    Watu wengi washafika uwanjani lakini wakatisha tiketi wanaonekana ndani na machine zao lakini Wala hawataki kutoa huduma. Je, huu sio uhujumu uchumi? Serikali mnataka mapato gani zaidi ya haya? Yaani uwezo wa serikali kusimamia utaratibu ndo umefika mwisho? Kwanini watumishi hawajali watu? Ile...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga awatibua mashabiki kwa kauli yake

    Hii kauli imewatibua sana wana yanga haikubaliki inaonekana kama kakata tamaa au anauza mechi ya kesho, wan yanga inabidi wawe naye makini sana huyu mwarabu,yaani anaisifia simba kwa kandanda safi? Utalinganisha mibichwa ya sarpong?michenga ya tusila kisinda,mi control ya kalinyo,mi saves ya...
  3. JamiiForums Tanzania UBASHIRI: Mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga Mei 8, 2021

    Joto linazidi kupanda kuelekea game ya watani wa Jadi, Simba vs Yanga hapo kesho May 8. Ukiwa kama shabiki wa soka bila kuangalia mapenzi ya timu yako weka ubashiri wako ni kwa namna gani unaiona game hiyo inaisha hapo kesho. Je, ni Simba yenye kikosi bora kabisa kupata matokeo au Yanga...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Simba inaiogopa Yanga kuliko chochote kile

    Pamoja na kufanya vizuri kwenye champions league bado hofu ya Simba inabaki kwa Yanga kuliko timu yeyote ile, ukweli ndio huo na hili tunaliona haswa kupitia hata washabiki wake huku mitaani. Tofauti na Yanga, Yanga timu zote zipo kwenye level moja na kupewa heshima sawa na wote ila si kuhofia...
  5. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari na Watangazaji wa Michezo pamoja na Mashabiki wa Yanga SC iepukeni hii kauli ya kinafiki inakera

    Kumekuwa na Utamaduni wa Kipuuzi kutoka hasa kwa Waandishi wa Habari, Watangazaji wa Michezo nchini pamoja na Mashabiki wa Yanga SC juu ya Kauli hii ya Kinafiki. Kila ambapo Klabu ya Simba (hasa pale tu Kikosi chake) kikiwa imara na kinafanya vyema katika Mechi zake kuliko Klabu ya Yanga...
  6. JamiiForums Tanzania Tulizeni presha Simba SC na Yanga SC hawajaanza kukutana leo

    Kuna watu wamechachawa na mechi ijayo ya watani ya tarehe 8 May, presha juu hawalali. Simba na Yanga wamecheza dabi toka miaka ya 30s hadi leo, na wataendelea kukutana miaka mingi ijayo labda hadi mwisho wa dunia. Ukitaka kufurahia Simba na Yanga usiwe na presha. Kuwa tayari kwa matokeo yoyote...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba SC: Kamwe msiingize kikosi cha kwanza katika mechi yenu na Yanga SC

    Timu ya Simba pokeeni ushauri huu. Kwa kuwa mna kikosi kipana na kizuri, tumieni kikosi cha pili kucheza na Yanga. Kwa nini? 1. Katika kipindi hichi ambacho mmepata mafanikio timu ya Yanga itakamia mechi ili kuonyesha kuwa na wao ni bora. 2. Ikiwa mechi hii ikamiwa hivyo inaweza kuwaacha na...
  8. JamiiForums Tanzania Tafadhali Mwamuzi wa Simba na Yanga 'Mwanangu' kabisa Mwandembwa, usituangushe 'Wadau' wako wa Soka na Kijiweni Kwetu

    Kama kuna Watu ambao ama hakika wamenifurahisha ni TFF kupitia Bodi ya Ligi hasa kwa Kumpanga Mwamuzi (Referee) Mwandembwa (Mwanangu kabisa) kutoka Arusha awe 'Pilato' wa Simba na Yanga Jumamosi tarehe 8 May, 2021. Tafadhali naomba kila mwana Simba SC afanye upesi akakate Tiketi yake mapema...
  9. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri: Timu zinapofungwa na Yanga zikubaliane na matokeo

    Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi, amesema kumekuwepo na tabia ya Viongozi wa timu mbalimbali Nchini kutoa kauli za kwamba walihongwa hususan wanapofungwa na Yanga. Akiwa Bungeni Dodoma amesema, "Ifike wakati Viongozi wa Timu hizi na Watanzania kwa ujumla wakubali...
  10. JamiiForums Tanzania Dondoo na uchambuzi kuelekea mechi ya Watani wa Jadi

    Siku zinazidi kuchanja mbuga kuelekea pambano la kukata na shoka Kama sio Mundu Kati ya Watani wa Jadi Katika uwanja wa Benjamini Mkapa.Mchezo huo utachezwa majira ya saa 11:00 Jioni Kuelekea Mchezo huo ,Japo kivyovyote Kama tunavyojua Derby siku zote hua haingalii saaana performance ya Timu...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga SC mabeki wakiwa Moro na Ninja tunakula 7, ila wakiwa Nondo na Job tunakula 5 hivyo tuchagueni mapema 'Kifurushi' chetu

    Ushauri wangu wa bure tu Kwenu Watani zangu Yanga SC kama itawapendeza ili angalau Kupunguza idadi ya Magoli ya Kufungwa na Simba SC Jumamosi tarehe 8 May, 2021 yawe 3 kwa 0 (ambayo ndiyo nayaona Kiutabiri) kuwa mtafungwa Mchezaji Tonombe Mukoko namba 5 na Juma Makapu namba 4. Mkiwapanga Moro...
  12. JamiiForums Tanzania Simba acheni kujidanganya mkidhani huo Ubora wenu upo hadi kwa Yanga

    Simba SC mna ujinga flani hivi mnaamini eti team yenu bora hadi kwa Yanga SC. Hayo mkadanganyane huko huko vijiweni. Uhalisia ni kuwa Yanga SC Jumamosi hatupotezi match. NARUDIA, YANGA SC JUMAMOSI HATUFUNGWI NA SIMBA SC TUKIFUNGWA NAAHIDI HAYA. 1. KUTEMBEA KIFUA WAZI 2. NIPIGWE BAN YA WEEK 1...
  13. JamiiForums Tanzania Namtafuta sana anayewadanganya Mashabiki wa Simba SC kuwa Kaizer Chiefs FC ni 'wepesi' na 'utopolo' mno kama walivyo Yanga SC

    Kwa kuwafuatilia Kwangu kwa Jicho la Kiufundi naliomba Benchi la Ufundi la Simba SC lifanye Maandalizi makubwa ikiwezekana hata kuliko yale waliyoyafanya ilipocheza na Al Ahly hapa Dar es Salaam. Wana Winga zao ( Viberenge ) Wawili ambao nina uhakika Siku hiyo akina Kapombe na Tshabalala...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga SC wakitaka kuepuka kipigo kwa Simba SC, wafanye kama Manchester Utd

    Yanga SC wakitaka kuepuka kipigo kizito kutoka kwa Mnyama Mkali Simba SC, hapo Mei 8, 2021, basi wafanye kama walivyofanya mashabiki wa Manchester United na kusababisha game yao na Liverpool kutochezwa. Wanavamia Uwanja wa Mkapa na viunga vyake na kuandamana kulazimisha wadhamini wao kampuni ya...
  15. JamiiForums Tanzania Simba Sc hii inatisha, Yanga tutawachakaza mpaka mashabiki wakimbie uwanjani

    Hiyo tarehe 8 hatimaye imebaki siku 5 tu tutembeze kichapo cha mbwa koko. Tutawachakaza mpaka mashabiki wenu wakimbie uwanjani. Wakati mnategemea mazali na kudra za Mungu mjiandae kisaikolojia kupokea kichapo cha kuchakaza. Hamna kikosi cha kupambana na Simba Sc, Simba wanapiga mpira na...
  16. JamiiForums Tanzania Wizara husika ya Habari na MCT je, Kichwa cha Habari hiki cha 'Kihuni' katika Gazeti la Yanga SC toleo la leo Jumamosi mmekibariki?

    Kichwa cha Habari ni hiki.... YANGA YAMBAKA MUME WA SIMBA Najua Simba na Yanga ni Watani wa Jadi ila sidhani kama katika Tasnia ya Habari Lugha hii ya 'Kihuni' na 'Udhalilishaji' inakubalika. Na kama GENTAMYCINE nitajibiwa kuwa ni Lugha njema tu hiyo basi nitaiomba Wizara husika na MCT...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Kukengeuka na Kutukana simuungi mkono Nahodha wa Prisons, ila kwa tuhuma aliyoitoa dhidi ya Yanga namkubalia na Simba tumo pia

    Kuna Watu mmenishangaza kweli kweli kwa Hoja yenu kwamba inawezekana vipi Yanga SC kutaka Kuhonga Tsh Milioni 40 wakati hata Kombe lenyewe halina Kiasi kikubwa cha Pesa? Kitu pekee ambacho wengi wenu ( hasa Wanafiki ambao ni wana Yanga SC ) ni kwamba tayari Yanga SC imeshajua kuwa katika Ligi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania TFF fuatilieni hii tuhuma kwa Yanga kuwahonga wachezaji wa prison

    Akihojiwa baada ya mechi Benjamin Asukile amesema yanga walikuwa wanawapigia simu wachezaji wa prison wawape mil 40 ili kupata mteremko mechi ya leo. Fuatilieni hii tuhuma maana shahidi wa kwanza ni huyo Asukile. Ikigundulika ni uongo basi Asukile achukuliwe hatua na kama ni ukweli maana yake...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania Prisons msijidanganye. Yanga siyo Simba. Wazoeeni hao hao siyo Sisi

    Mmejanga mazoea na Simba mnadhani na Yanga ni kama Simba. Mazoea yenu huko huko msilete kwa Yanga Mnapolalia nyie siye ndo tulipoamkia. Wala hatuna mchecheto. Kona na njia zenu tunazifahamu. Simba mnawawezea sababu hawajui hiyo michezo.sisi siyo Team ndogo kwa taarifa yenu. Leo tunawala...
  20. JamiiForums Tanzania CAF yataja Vilabu Bora 30 Afrika Simba SC yapanda hadi nafasi ya 13, ila Yanga SC hata katika Vilabu 200 Bora Afrika pia haimo

    Pongezi nyingi mno kwa Serikali ya Tanzania, Klabu ya Simba, Wanachama, Mashabiki, Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara Gonzalez, Shirikisho la Soka nchini TFF na hasa hasa Kwake Mwenyezi Mungu kwa 'Kuibariki' Klabu ya Simba SC kupata Mafanikio haya makubwa ( hasa Kimataifa ) na Kuitangaza Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…