UBASHIRI: Mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga Mei 8, 2021

Gwele

JF-Expert Member
Jun 7, 2016
2,285
2,841
Joto linazidi kupanda kuelekea game ya watani wa Jadi, Simba vs Yanga hapo kesho May 8.

Ukiwa kama shabiki wa soka bila kuangalia mapenzi ya timu yako weka ubashiri wako ni kwa namna gani unaiona game hiyo inaisha hapo kesho.

Je, ni Simba yenye kikosi bora kabisa kupata matokeo au Yanga.

Wengi wanasema hizi game hazitabiriki lakini nataka tuone ni wana JF wangapi wanaweza kuipatia matokeo ya hii game kwa 100% (Correct score)

NB: Ubashiri ubase kwenye uhalisia wa vikosi na ubora wa timu shindani na si ushabiki/mapenzi ya timu yako

#KWANI WAO WANASEMAJE?​

shaffihdauda_-photo-2021_05_07_11_57.jpeg
edokumwembe-photo-2021_05_07_12_00.jpeg
FB_IMG_1617961973247.jpeg
 
Kuzingatia Umuhimu wa game, ari, mazingira ya kimchezo hususani makao ya klabu hizo, mbinu, na hata utayari wa mchezo huo nje na ndani ya uwanja sambamba na nani hana cha kupoteza.
Natabiri hapa.
SIMBA 1 2 YANGA
Wafungaji kwa Simba natabiri mfungaji anaweza kuwa beki au kiungo
Ila kwa yanga ni KIUNGO na mshambuliaji.
 
Yaani Yanga kesho anapigwa za kutosha tuu si chini ya Tano
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kuna uwezekano mkubwa sana ikatokea. Kwa jinsi Morrison na Miquissone wanavyolazimishaga kuingia kwenye eneo la 18, na kwa uchezaji wa rafu wa beki ya Yanga, uwezekano ni mkubwa Simba wakapata penati, idadi yake sijui ila walau moja
Kwa namna wakina watakavyofosi kumkaba Morrison sioni namna ya wao kumaliza mechi salama
 
Kuzingatia Umuhimu wa game, ari, mazingira ya kimchezo hususani makao ya klabu hizo, mbinu, na hata utayari wa mchezo huo nje na ndani ya uwanja sambamba na nani hana cha kupoteza.
Natabiri hapa.
SIMBA 1 2 YANGA
Wafungaji kwa Simba natabiri mfungaji anaweza kuwa beki au kiungo
Ila kwa yanga ni KIUNGO na mshambuliaji.
Si vizurii kumkatisha mtu tamaa ila kama hivyo ulivyovitaja ndio vigezo vitakavyoamua hamna namna inaweza fanya hayo matokeo yatokee .......yaani yanga wafunge goli mbili mechi moja never, never, never
 
Japo darby wengi tunasema haitabiriki , kila timu ikiwa kwenye ubora wake siioni sare .. naiona goli 2-1
Safi mkuu kwa utabiri mzurii japo ni kama umeibana Lunyasi kwa kuipa bao 2 tu dhidi ya wale kweliii?
 
Si vizurii kumkatisha mtu tamaa ila kama hivyo ulivyovitaja ndio vigezo vitakavyoamua hamna namna inaweza fanya hayo matokeo yatokee .......yaani yanga wafunge goli mbili mechi moja never, never, never
Sasa mkuu kulikuwa hakuna haja ya uzi kama ulitaka wote waamini uaminivyo.
 
Kwa ule uchezaji wa ninja kukamia na kucheza marafu ya hovyo yeye na lamini Moro naona kuna kadi nyekundu zinawasubiri
 
Back
Top Bottom