Hii timu inaendeshwa kwa imani za kishirikina sana, kama ndondo tu. Sasa unajiuliza hii ndio timu iliyosimamia kanuni mpaka ikagoma kuingiza timu dhidi ya Simba kikanuni. Uko wapi msimamo wa kuzingatia kanuni.
Wachambuzi takataka nao wako kimya kuikemea hii timu ambayo ni kioo chakavu kwa timu...
Timu mbili kutoka Nchi marafiki, Afrika Kusini na Tanzania zinakutana leo Jumamosi ya Mei 15, 2021 kwenye uwanja wa kwanza Afrika kuchezwa fainali za Kombe la Dunia, ambapo Kaizer Chiefs wanakabiliana na Simba SC katika hatua ya robo fainali ya Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika, mchezo...
Ligi kuu Tanzania bara inaendelea leo kwenye mchezo ambao Namungo ya Lindi inaikaribisha Yanga Sc kutoka viunga Jangwani na Twiga. Mchezo huu unachezwa katika uwanja wa Majaliwa ulio mkoani Lindi. Magoli yote ya pande mbili bado yamenuna.
=======
00' Mwamuzi apuliza kipenga kuashiria mwanzo wa...
Klabu ya Yanga imemrudisha Dar es Salaam Nahodha wake Raia wa Ghana Lamine Moro kwa Utovu wa Nidhamu.
Chanzo: SportsarenaTZ
Hata hivyo Taarifa za ndani kabisa ambazo Krav Maga nimezipata baada ya Kuviulizia Vyanzo vyangu aminifu ndani ya Klabu ya Yanga vimesema Nahodha huyo ametimuliwa kwa...
Kuna Taarifa zisizo rasmi zina zagaa eti ya kuwa katika mchezo wa kesho Namungo fc vs Yanga , eti yanga hawataleta timu kiwanjani kwa maana watagomea mchezo kushinikiza mnyama acheze kwanza viporo vyake .
Kama watafanya hivyo basi TFF msipepese macho walaa msiruhusu mazungumzo nyie pigilieni...
Imekuwa ni utamaduni wa kawaida kwa vilabu vya Mpira wa miguu Ulimwenguni kufanya usaliji (kununua Wachezaji) pindi madirisha ya usajili yanapofunguliwa.
Katika harakati hizo kuna baadhi ya Wachezaji ambao sajili zao huwa na mbwembwe nyingi na kuibua taharuki kwa Mashabiki lakini kwa bahati...
Soka la bongo ni moja katika ya vitu vyenye mvuto zaid hapa Tanzania. Mpira umekuwa ni trending kwasasa bongo na bongo kama wew sio simba basi ni yanga.yani kwakifupi huwez kuruka apo.
Kwa sasa Simba ndio team yenye ushawishi mkubwa zaid Tanzania. Kuanzia kwa wawekezaji, wadhamini mpaka kwenye...
Serikali ya CCM kupitia Waziri wa Habari, Mhe. Bashungwa imewataka TFF kuwarudishia Wananchi fedha walizolipa kama kiingilio cha kushuhudia mechi ya Simba na Yanga.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao.
Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
Viongozi wetu wakuu nchini ni wapenzi wa waziwazi wa simba na yanga. Mfano, Mheshimiwa Makamu wa Rais na waziri wa fedha ni shabiki lialia wa Yanga, Waziri Mkuu na Spika ni mashabiki lialia wa simba. Viongozi hawa wote walikuwa kwenye birthday na uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi siku na...
Baada ya sintofahamu iliotokea siku ya jumamosi tarehe 8 palipo kua na mchezo mkubwa wa mpira wa miguu Simba vs Yanga,
katika nchi ya Tanzania na Africa kwa ujumla baada ya mechi iyo kuota mbawa pasipo kua na sababu maalumu.
Kichekesho kikubwa ni hiki kuludisha pesa kwa waliokata tiketi ivi huu...
Mama Samia mimi bado nakupenda na nataka ufanikiwe katika miaka yako hii minne iliyobaki, na kama ukifanya vizuri njia nyeupe kwako 2025 - 2030.
Ni kweli kwamba kuhairishwa muda kwa mechi ya Simba na Yanga kwa kisingizio cha ajabu kabisa kumetia doa urais wako, tena mapema sana katika awamu...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kutoa taarifa haraka sana kwa Watanzania juu ya tarehe ya kuchezwa kwa mchezo huo na pia ieleze utaratibu kuhusu hatima ya waliolipa viingilio ili kushuhudia mchezo huo.
Pia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasihi...
Kwanza nianze jambo moja...
Kama utanisoma kwa kuongozwa na Think Tank wa Club ya Simba, yaani Haji Manara, katu hutanielewa! Ni bahati mbaya sana nimetafuta barua kutoka TFF au hata Yanga zinazotoa maelekezo ya kupeleka mbele mechi hizo hapo juu!
Pamoja na yote hayo, kama utaweza ku-connect...
Wito kwa CAF na FIFA wafwatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe Fundisho, kama kweli ratiba ilibadilishwa kwa sababu za itifaki ya kitabu kuwa kuna huduma zingine hii halikubaliki, kwani kabla ya hayo masaa 24 ratiba hiyo ya kiserekal ilikuwa haitambuliki?
Yani...
Wana Simba SC tuna cha Kujifunza kutoka kwa Wenzetu wa Yanga SC hasa kwa Kukataa 'Kupelekeshwa' kama 'Mazuzu' fulani hivi na ama TFF au Serikali.
Mwanaume wa Shoka na Unayejiamini (hata kama ni Masikini) unatakiwa uwe na Msimamo 'Thabiti' kama waliounyesha Yanga SC Jana.
Yanga SC ni Watani...
Niwasilishe maskitiko yangu kwa kutochezwa kwa mchezo wa Simba na yanga 8. 5. 2021.
Naitazama yanga na naitazama TFF na nawatazama viongozi wa Yanga naiona hatari mbeleni. Najiuliza hawa viongozi wanazifaham Simba na Yanga? Ivi leo hii Simba au Yanga ishushwe daraja tu moja athali zake...