Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,321
- 11,410
Huyu ni Clatous Chotas Chama. Huwa hana mbio sana. Ni mtembeaji tu Uwanjani. Ana assist 15. Angalia mwenyewe ASSIST ngapi? 15 na magoli mangapi? 7 kama sikosei
Huyu ni Tuisila Tununu Tusinda. Huwa ana mbio sana. Ni mkimbiaji uwanjani. Ana assist 5. Angalia mwenyewe ASSIST ngapi? 5 na magoli mangapi 4 kama sicko
Sasa hapa ndo nachanganyikiwa. HUYU TUISILA KISINDA HUWA ANAKIMBILIA NINI? Maana mbio zake hazina maana sasa. Si bora awe anatembea ana assist magoli na kufunga sometimes kuliko kukimbia kimbia tu kama mwendawazimu?
Kuna tofauti kubwa usajili wa Simba na Yanga. Yanga wanaweza kukusajili tu kwa kuwa una mbio sana. Au una suka rasta au kupaka nywele zako rangi. Lakini Ukisema wewe Mkongo hapo unasajiliwa kwa haraka zaidi. Tofauti na Simba. Wanatulia kwanza wana check..... Kisha wanasajili. Kama walivyofanya kwa Bernard Morrison, Chama, Luis, Bwalya, Mugalu n.k.
Tulikuwa tunakunywa mtori sana. Nyama zimekutwa zipo chini. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂