yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Yanga wapo busy kujadili uwekezaji wa MO halafu msimu ukianza wanaanza kulalamikia TFF

    Wakati Mashabiki wa Simba wanajiuliza kua Chama na Miquissone kama wataondoka au watabaki na usajili upi ufanyike ili timu ifike nusu fainali au fainali ya CAF. Utopolo wapo busy kuuchambua uwekezaji wa MO na kuuona ni upigaji. By the way kipindi ambacho Yanga wanafuraha ni kipindi hiki cha...
  2. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi timu ya Yanga inavyoweza kutengeneza mabilioni ya shilingi kwa kuuza bidhaa zenye nembo ya timu

    Jinsi timu ya Yanga inavyoweza kutengeneza mabilioni ya shilingi ndani ya msimu mmoja.
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu kwa Wanasimba: Televisheni ya Yanga kuwa na Thamani kubwa kuliko Klabu ya Simba ni upumbavu

    Naam kuweka uelewa sawa ni vyema nikafupisha mada. Lakini sitakuwa sawa kama sitowapongeza wanamsimbazi kwa ubingwa na hatua kubwa waliyopiga kwenye soka kwa miaka hii minne. Lakin pia niwapongeze kwa wapenzi wa timu ya Simba kwa support yao isiyokatika kwa timu yao. Tumekuwa tukifuatilia...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli utakaojitokeza juu ya Hukumu ya Kesi ya Bernard Morrison ambao Msemaji Bumbuli na Mawakili Uchwara wa Yanga SC hawaujui

    Siku zote Watu wa Simba SC ambao 99.99% si tu kwamba ni Wasomi bali pia tumebarikiwa Akili Kubwa ili tuweze kutoa Elimu kwa Mashabiki wenye bahati mbaya ya kuwa na Upeo mdogo pamoja na Uelewa mbovu kama wa Yanga SC. Hivyo basi kwa Faida ya Watu wenye Uelewa mdogo wa Kufikiri kutoka Yanga SC...
  5. JamiiForums Tanzania Facts Kesi ya Yanga vs Morrison

    YAMETIMIA Kuna Jambo naliona, Ngao ya Jamii Yanga Kucheza na Azam FC Pasipo Shaka Tanzania inaenda kuandika historia yake katika Mchezo wa Mpira wa Miguu, Ni jambo ambalo wengi hawakutarajia kama linaweza kutokea, Kuna asilimia 80% Sasa kwa Klabu ya Simba kwenda kushuka daraja. Wengi...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Kutuaminisha kuwa Hukumu ya Bernard Morrison ni leo, hatimaye mambo yawa Magumu kwa Yanga SC mpaka 14 Agosti, 2021

    Ushauri wangu wa bure tu Kwenu huu muda mwingi ambao mnautumia kutaka Kuwaaminisha Mashabiki zenu kuwa mnashinda Kesi dhidi ya Mchezaji Bernard Morrison na leo imegonga mwamba tena kwa Hukumu yake kutolewa mngeutumia katika Kusaka Wachezaji wazuri wa Kukiimarisha Kikosi chenu Kibovu. Ndani ya...
  7. JamiiForums Tanzania Video: Yanga wali-train kucheza rafu mwanzo mwisho?

    Napata shida sana kuangalia clips za marudio ya hii match. Napata shida kuona mpira ukichezwa kama vita na ugomvi. Najiuliza faida ya rafu hizi ni nini. Mbali na upinzani wa timu lakini wachezaji hawa ni washikaji na wote wanapigania uzima ili kujenga maisha yao. Sasa inakuwaje jitu linacheza...
  8. JamiiForums Tanzania Nauchukulia ubingwa wa Simba kuwa sadaka ya kumfanya Manara aondoke; alikuwa mwiba kwetu Yanga

    Kwanza niseme tu hewa imekuwa nyepesi mno baada ya kusikia manara kaondoka. Mechi ya juzi kiukweli Yanga tulistahili kushindwa, Mukoko kitu alichofanya sio cha kiungwana kabisa na matokeo yake akaipa timu mzigo mkubwa wa kucheza pungufu, Ila bado niliona vijana walijitahidi licha ya kucheza...
  9. JamiiForums Tanzania Kuifuta CHADEMA au CCM ni sawa na kutaka Yanga ishuke daraja ibaki Simba

    Investment kubwa hapa dunian nikuwekeza katika watu. Chadema haitoweza kufutika hapa Tanzanian kama ilivyo CCM hivi vyama, vitamake headlines mpaka mwisho. Just imagine hawako bungeni lakini bado ni threat kwa serikali ya CCM. Pendekezo amani ya nchi inabidi kupewa kipaumbele kwa kutoa Haki...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Yanga kuweka kambi Morocco ni uamuzi sahihi?

    Simba ilipojitoa Kagame cup na kusema wanawapa mapumziko wachezaji ya siku 10 then wanaenda kambi Misri kulikuwa na kebehi za kutosha kwamba wamewakimbia Yanga ambao walisema watashiriki michezo hiyo inayoanza tarehe 1 August. Cha kushangaza inasemekana watatoa mapumziko ya week mbili na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Itakuwaje ikionekana Morisson ana mkataba na Yanga?

    RATIBA YA KESI KASI WEEK HII 26.07.21 CAS 2021/A/7689 Dilhara Lokuhettige v. International Cricket Council (ICC) CAS 2021/A/7935 International Cricket Council (ICC) v. Dilhara Lokuhettige 29.07.21 CAS 2020/A/7397 Young Africans SC v. Bernard Morrison 05.08.21 CAS 2021/A/7799 Yeni Malatyaspor...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Meneja wa Kipa wa Yanga SC Metacha Mnata Mchambuzi Jemedari Said Unafiki Kwake mwiko japo ni mwana Yanga SC lia lia

    jemedarisaid ....imetimia misimu 4 kamili Yanga SC haina kikombe chochote cha maana..... Nami Krav Maga nasema wasipoangalia wanaweza hata Kukosa tena Vikombe vyote kwa miaka 15 ijayo.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Yanga walikuwa na mpango wa kumvunja Luis Jose

    Ilinishangaza sana baada ya goli kocha wa simba kumuacha luis jose ndani ya uwanja wakati wale WEHU wa utopolo wakiwa wamechaji na roho mbaya zao wakicheza shaolini soccer full Kung Fu Target yao kubwa jana ilikuwa ni konde boy. Dakika ya 96 wakijua ni last move ya mpira alirukiwa na wachezaji...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mechi ambazo Simba iliifunga Yanga ikiwa pungufu

    woyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Popote mlipo wana Yanga SC nahitaji haraka Majibu yenu kutokana na haya Maswali yangu Saba tu Muhimu Kwenu

    1. Msemaji wenu Hassan Bumbuli na Afisa Mhamasishaji wenu Mkuu Antonio Nugaz baada ya Mechi ya tarehe 3 July, 2021 ambayo Yanga SC ilishinda walisikika wakisema kuwa Simba SC bila Kuwanunua Wachezaji wa Yanga haiwezi Kushinda. Je, Simba SC iliyomfunga au iliyoshinda leo imewanunua Wachezaji wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC Kuamini sana Ushirikina na Kuuabudu Kumeigharimu leo Kigoma na itawagharimu hata wakicheza Klabu Bingwa

    Watu wa Mpira tunajua na Taarifa tulizipata tokea mechi ya tarehe 3 July, 2021 Klabu ya Yanga ilituma Washirikina wake kwenda Kigoma kwa ajiri ya Kuirogea Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba SC. Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Yanga Wiki Moja kabla ya hii Mechi ya leo ambayo wamefungwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Inaumiza sana! Simba wanabeba Makombe Yanga tunambeba Hersi

    Sisi Yanga Mzee Mpili katuroga kabisa. Msimu Huu tumembeba Hersi Ona Sisi Wao Simba walivyobeba Msimu huu.
  18. JamiiForums Tanzania Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

    Ule muda wa lawama umewadia. Akili, macho na masikio yote kwa sasa yameelekezwa Kigoma ambako leo Jumapili, kunapigwa pambano la fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC) baina ya Yanga na Simba itakayochezwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika. Shilingi yako iko upande gani? Kuwa nami kuanzia Saa...
  19. JamiiForums Tanzania Yanga 6 Simba 1

    Hamjambo Wana wa JF, kulingana na kichwa cha uzi huu hiyo ni ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo tarehe 25, nimeona ubao mkubwa Sana wenye maandishi manene "Yanga 6 Simba 1" . Naomba asitokee mtu kunihukumu hiyo ni ndoto tu,nawatakia jumapili njema.
  20. JamiiForums Tanzania Bila Rais kuwepo uwanjani Simba haiwezi kuipiku Yanga hata ikishinda mechi.

    Sijasikia kama na Rais wetu ndiye atakuwa tena mgeni RASMI fainali ya FA Kigoma. Simba ilifungwa mbele ya mkuu wa nchi ambae hatakuwepo kwenye mechi Kigoma. Hii Itayafanya maumivu ya kufungwa yasiwe makubwa sana kama ya tarehe 3 July. Sijui kama hili wanalifikiria
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…