yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Corona yatajwa kambi Yanga

    KLABU ya Yanga imesitisha kambi yake nchini Morocco kwa sababu mbalimbali na baadhi ya wachezaji wakirejea Tanzania jana huku wengine wakilazimika kusalia nchini humo. Miongoni mwa sababu zilizotajwa na uongozi wa Yanga ni idadi ya wachezaji kupungua baada ya baadhi kwenda kujiunga na timu...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Yanga kumleta Koffi Olomide ni ujanja wa kujaza uwanja kwenye siku ya Wananchi, hawana watu wala nini

    Ikiwa kama tunataka kupima uwezo wa timu kujaza mashabiki kwenye kinachoitwa Yanga Day , basi ni vema tuache kujidanganya kutumia ujanja ujanja kama huu ambao yanga wanautumia. Kitendo cha kumleta Mopao uwanjani hii inamaanisha hata mimi Mwanasimba lazima nihudhurie tu , sisi wengine ni wapenzi...
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Senzo ame prove ni Bomb na Yanga ni Washamba Hawajielewi

    Na Edo Kumwembe Mpaka pale tutakapopata sababu ya ukweli ni kipi kimewarejesha Yanga haraka hapa Tanzania kwa sasa tukubaliane na mambo yafuatayo. 1. Yanga wamekosa uzoefu (experience) ya safari za Kimataifa hapa tunazungumzia uongozi kutokuwa na uzoefu wa kujua logistics za mambo mbalimbali...
  4. HPAUL

    JamiiForums Tanzania Yanga kuna tatizo

    Kwanza napenda kukiri kuwa mimi ni mpenzi wa Simba, hata hivyo kuna mambo mawili yamejitokeza wiki hii katika klabu ya Yanga ambayo yanafikirisha sana, na kutia shaka kama kuna weledi Kutoweka kwa benchi la ufundi; tangu Yanga imeanza pre season hakuna kinacho eleweka rasmi wako wapi wasaidizi...
  5. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakumbushwe: Mungu si mfuasi wa vyama na hana kadi ya chama

    Mandiko yanasema, Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, Hivi mandiko yanaposema hivyo huwa inamaanisha nini? Mambo yanayohitaji utumie nguvu zako kuyakabili na inawezekana kufanya hivyo, fanya, yale yanayohitajika kuyafanya kutumia akili zako na upo upenyo wa aina hiyo fanya, Mungu ni...
  6. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Yanga yasitisha pre-season yao huko Morocco kurejea nchini kwa mafungu

    1) Eti sababu wachezaji kama nane wataitwa kwenye nchi zao kwa michezo ya kimataifa hivyo timu itameguka 2) Eti sababu kule kambi iliko joto Sana. 3) Eti tuna mechi wiki ya mwananchi na wale Wanigeria pia. My take: Waseme tu pesa imekata. kwani walipoenda au kupanga kwenda huko hayo mambo...
  7. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Swali dogo: Simba na Yanga walikwenda Morocco Kufanya nini?

    Inawezekana jibu liko wazi ila kwa vile mimi sijui jibu lake nimeamua kuuliza. Yanga na Simba walikwenda Morocco kufanya nini kwa vile hakuna mashindano makubwa ya kimataifa huko. Je, walikwenda kufanya mazoezi tu? Kama ni hivyo kwa nini timu zote mbili ziende Morocco?
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga haina hela ya kumsajili Luis,labda wauze figo za viongozi

    Yanga wamezoea kuishi kwa propaganda kudanganya mashabiki. Kibaya zaidi nao hawana hata akili ya kushtuka. Walidanganywa sana kuhusu Chama, wakadanganywa kuhusu ubingwa VPL na FA. Leo hii bado wananogewa kudanganywa. Japo Simba haijaweka wazi, lakini ni kwamba, Miquissone ameuzwa kwa Al Ahly...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Yanga yamkwamisha kocha

    Hawa jamaa bana dah walikuwa wanaringia magorofa eti wako mjini siyo vijijini, jamani ushamba mzigo sana HALI YA HEWA YAGEUKA KIKWAZO KWENYE MAZOEZI YA YANGA Kwa mujibu wa kauli ya Afisa habari wa Yanga, Hasan Bumbuli amedai kocha atalazimika kubadili utaratibu wa mazoezi kutokana na joto kuwa...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Aibu: Yanga yakopi jezi za Plateau Utd kama zilivyo

  11. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC na GSM na hawa Wakongo Watatu nao pia wanaomba Usajili Kwenu, ili Jangwani Music FC Band ikamilike

    1. Diblo Dibala (Soloist) 2. Bileku Mpasi (Rapper) 3. Allain Kounkou (Dancer) Naamini wakisajiliwa tu na hawa Watatu basi Waimbaji maarufu wa Bendi yenu ya Jangwani Music FC Band kama akina Makambo, Mayele, Moloko, Mukoko, Bangane na Djuma watauza mno Albums zenu ambazo mnatarajia kuzitoa.
  12. changaule

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Simba kutoanzia kwenye hatua ya awali kwenye michuano ya Klabu bingwa Afrika ni hii

    Naona kuna watu wasioelewa kwanini Simba ipo kwenye timu 10 ambazo hazitoanzia hatua ya awali. Wengi wao wanasema kwavile Simba ipo kwenye kumi bora Africa ndio maana wamepata hiyo nafasi. Usahihi ni kwamba Simba wamepata nafasi kwavile timu zingine zenye nafasi zao zimeshindwa kifuzu kuingia...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa ulimbukeni wa usajili wa Yanga na Simba, vijana wetu watatoboa?

    Club za Simba na Yanga wameshindwa kabisa kubalance usajili wao na kujikita zaidi kupata first eleven ya wageni. Najiuliza aina hii ya usajili itawasaidiaje vijana wa Tanzania wanaopanga kutoka kimaisha kwa fani ya mpira? Lini wataonekana na kutoka?
  14. F

    JamiiForums Tanzania Yanga tumsajili Kahata. katika nafasi zilizoongezeka

    Habari wadau. Ushauri kwa uongozi wa yanga. Kahata anatufaa sana
  15. Kinumbo

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Simba na Yanga hazitofika hatua ya makundi CAF 2021/22

    Naziona Simba na Yanga kuto kufika hatua ya makundi katika michuano ya klabu bingwa Afrika msimu huu. Uzi tayari, kama una bisha sawa.
  16. demigod

    JamiiForums Tanzania Nashauri Uongozi Wa Yanga SC utumie Kikosi cha Kagame Cup kumenyana na Rivers United FC

    Hapa hamna timu kabisa unaweza kuta mmeikamia mechi kumbe hata madogo wa U20 wangeweza kuitafuna kirahisi. Kupangiwa kiTeam ambacho kimemaliza ligi ya Nigeria nafasi ya ni sawa na kucheza na Polisi Tanzania ya Ligi KUU Tanzania Bara. Inaonekana hii timu imepata mbeleko ya kubeba kombe la NPFL...
  17. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Hongereni Yanga kwa usajili mzuri 2021/2022

    Naomba nichukue nafasi hii nikiwa kama mdau wa michezo na shabiki mkubwa wa timu ya Yanga (Timu ya Wananchi), kuupongeza uongozi wa timu, chini ya Mwenyekiti Mshindo Msolla, Wadhamini wa timu, benchi la ufundi, na wadau wote kwa ujumla! Kwa kufanya usajili mzuri. Nimekiona hiki kikosi mahali...
  18. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Rasmi Yanga kuchuana na Rivers ya Nigeria

    Ratiba ya hatua ya awali Car champions League ni Kama ifuatavyo. Kama Yanga atafanikiwa kusonga mbele basi atakutana na mshindi Kati ya Fasil Kenema ya Ethiopia na Al Hilal ya Sudan katka round ya pili ya mtoano .
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Yanga tumefanyiwa udhalilishaji mkubwa sana. Naona hata aibu

    Tuisila Kisinda ana miaka 21 anakimbia sana, anakimbia kama Duma. Bado umri unalipa tunamuuza kwa Usd 150,000 na kubembeleza kuwa tugharamiwe Kambi Morocco sababu Simba wameenda huko? Chama mzee ana miaka 30 Simba wamemuuza kwa usd 500,000 hebu fikiria mwenyewe USD 500,000 Sisi Kisinda Usd...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC bwana

    Sasa kama mnasema Mchezaji wenu mpya mnayemsajili kwa Mkopo japo mnaficha Jesus Ducapel Moloko ni mzuri kuliko mliyemsifia zaidi na aliyeondoka Tuisila Kisinda na kwamba Kisinda alikuwa anawekwa Benchi nae kwanini hamkumsajili Yeye mapema ili muwe nae na awasaidie Kubeba Kombe la VPL na ASFC?
Back
Top Bottom