Logo ya mdhamini wa ligi ni nyekundu ila Yanga walilegezewa kwa kuweka logo nyeusi ambayo sio halisi. Vodacom na TFF wanasema msimu ujao ni kwenda na kanuni tu na kwa kuanza ni logo halisi ya mdhamini yaani nyekundu kwa kila klabu inayoshiriki ligi.
Japo mnaonekana mpo enzi za mawe kwa kukataa logo halisi ila msimu ujao kanuni itasimamia kikamilifu.
Japo mnaonekana mpo enzi za mawe kwa kukataa logo halisi ila msimu ujao kanuni itasimamia kikamilifu.