Wanakutana na Wanigeria kwenye Club bingwa Africa (1st Leg/2nd Leg) 10-12 September / 17-19 September 2021-WATATOLEWA
Wanakutana na SImba Ngao ya Hisani- WATAFUNGWA
Unadhani nani atakuwa wa kwanza kuchinjiwa baharini?,
Kwa kuwa bado GSM anaendelea kuwa na nguvu na bado anataka kuendelea...
Sheria Ngowi na Theocabrini Pamoja na Team Yote Wametengeneza Jezi za YANGA Nzuri sana
Africa Hakuna Jezi Nzuri kama za YANGA Kwa Sasa
Kwenye Jezi inaonyesha Wananchi
Kwenye Jezi Inaonyesha YANGA Mabingwa Mara 27
Kwenye Jezi inaonyesha home of Champions
Wengi hawawezi kuelewa theme ya Jezi...
Adui yako namba moja ni mtu wako wa karibu. Haji alivyokuja Yanga ndiyo atakavyoondoka Yanga. Kama mnadhani Yanga mna siri nyeti ambazo ni mwiko kufahamika kwa Simba na public basi ziwekeni mbali nae kwanza.
Vinginevyo lazima mumlee Haji kama yai, msimkorofishe hata siku moja, vinginevyo iko...
Hassan bumbuli alimpa makavu live baadaya kuwacheka Yanga kwa ajali ya kupasuka tairi la mbele la gari ambayo kimahesabu ingeweza kusababisha madhara makubwa
kama kawaida yake ya kutumia ulemavu wake ku play victim card alianza kulialia mitandaoni and oh boy it worked ,hata majuzi tu alitumia...
Kumekuwa na sintofahamu kuhusu nafasi ya 'Bugatti' hasa ikizingatiwa Yanga inae Afisa wa Habari, Hassan Bumbuli na Afsa wa Uhamasishaji Antonio Nugaz
Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa amesema Manara ataingia kwenye Kitengo cha Uhamasishaji wakiamini atasaidia kuimarisha kitengo hicho...
Msanii Diamond Platnumz aliweka wazi kuwa alianza kushabikia mpira na kuishabikia timu ya Simba mara baada ya kupata hamasa kutoka kwa swahiba wake Haji Manara.
Kama hiyo haitoshi ,Diamond alilaani sana kipindi ambacho mabosi wa Simba walipoanza kumtolea maneno machafu Haji Manara na...
Habari za hivi punde ni kwamba jezi mpya zaidi ya Milioni 1 za klabu ya Yanga zimenunuliwa ndani ya masaa 6 tu tangu kuzinduliwa kwake.
Eng. Hersi amethibitisha rekodi hii iliyowekwa na timu ya wananchi na kushangazwa na mapokeo makubwa ya jezi hizo mpya.
Jezi hizo zinauzwa Tshs. 28,000/= kwa...
Ni kweli timu zote mbili kwa hivi sasa zinaendeshwa na wawekezaji wenye malengo binafsi zaidi tofauti na hapo awali walipokuwa pembeni wakisaidia kama wafadhili. Lakini ukifanya tathimini zaidi utagundua kuwa timu hizi mbili ambazo ni kubwa hapa nchini zina malengo tofauti kwa sasa katika...
Kwanza nawaambieni ndugu zangu, dunia ya sasa usikiamini tena kiumbe kinachopumua.
Level ambayo mwanadamu amefikia inafaa kumwamini tu siku ukiona anaingia kaburini kufukiwa.
1. Mwaka 2015 tunakumbuka wanasiasa mahiri na mawaziri wastaaf, Edward Ngoyai Lowassa na Frederick Sumaye. walienda...
Wana Bodi bila shaka mumeweza kulifahamu hili kuwa Haji Manara yupo kibiashara na wazito wa Yanga wanalifahamu hili.
Rejea hapa:"Mithali 28:11 [11]Mtu tajiri ana hekima machoni pake mwenyewe; Bali maskini mwenye ufahamu humchunguza sana."
Sasa acha Sisi masikini tumuchunguze sana. Bila...
MSIMCHUKULIE POA MANARA
.
Ameandika @Thadei Ole Mushi.
1.Kama Hisa za Simba zingekuwa sokoni kwa sasa lazima zingeshuka Sana huku za Yanga zikipanda kwa kitendo Cha Manara kuhamia Yanga.
2. Kibiashara Simba kapoteza, hamasa ya Haji kwenye Mpira si ya kuhoji. Kwanza Jersey za Simba hazitatoka...
Habari kutoka chanzo cha ndani GSM ni muda wowote kuanzia kesho Luis Miquissone atatambulishwa kama mchezaji mpya wa kigeni kwa klabu ya Yanga.
NB:
Yanga wanafanya mambo kwa pupa na itawatokea puani!
Wanajanvi.
Sina shaka na uwezo wa Haji kwenye matumizi ya kimkakati ya Kimasoko. Ila kwa kutumia jicho la tatu ninaona kama ni kosa kubwa sana kumkaribisha huyu Mwamba pale Jangwani kwa sababu ya historia yake kwenye eneo la nidhamu na weledi.
Ni kweli kuwa ametokea kwenye familia yenye vina...
Wanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga
======
Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku akitoa ahadi kushirikiana na yanga msimu mpya wa 2021/22 kuhakikisha Yanga inafikia malengo...
KLABU ya Yanga imesitisha kambi yake nchini Morocco kwa sababu mbalimbali na baadhi ya wachezaji wakirejea Tanzania jana
huku wengine wakilazimika kusalia nchini humo.
Miongoni mwa sababu zilizotajwa na uongozi wa Yanga ni idadi ya wachezaji kupungua baada ya baadhi kwenda kujiunga na timu...
Ikiwa kama tunataka kupima uwezo wa timu kujaza mashabiki kwenye kinachoitwa Yanga Day , basi ni vema tuache kujidanganya kutumia ujanja ujanja kama huu ambao yanga wanautumia.
Kitendo cha kumleta Mopao uwanjani hii inamaanisha hata mimi Mwanasimba lazima nihudhurie tu , sisi wengine ni wapenzi...
Na Edo Kumwembe
Mpaka pale tutakapopata sababu ya ukweli ni kipi kimewarejesha Yanga haraka hapa Tanzania kwa sasa tukubaliane na mambo yafuatayo.
1. Yanga wamekosa uzoefu (experience) ya safari za Kimataifa hapa tunazungumzia uongozi kutokuwa na uzoefu wa kujua logistics za mambo mbalimbali...