yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ukiona mtu anashabikia sana Simba na Yanga kuwa naye makini, wengi hawana akili timamu

    Kwa uchunguzi mdogo niliofanya nimegundua kuwa watu wanazi sana wa hizi timu huwa hawako timamu kichwani. Ukiona mtu muda wote au zaidi ya asilimia 70 ya maongezi yake ni Simba na Yanga. Muda mwingi anashinda amevaa jezi ya Yanga au Simba. Mitandaoni anafuatilia sana habari za Simba na Yanga...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GSM kuweni na utu, msimfanye Haji Manara kama Msukule

    Ndio kuna biashara,ndio kuna pesa. Lakini kumbukeni kuna utu na heshima mbele za watu.Zaidi ya yote kuna Akhera. GSM mnajua kabisa huyu mtu ana msongo mkubwa wa mawazo baada ya kufukuzwa Simba Sc. Tunatambua nyinyi mlikuwa marafiki zake wakubwa hata kipindi akiwa Simba. Sasa urafiki gani huu...
  3. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

    Najua jukwaa lenu lina mashabiki kindaki ndaki wa either simba au yanga. Yaani yeye na simba au yeye na Yanga. Haya hebu tutajane hapa ili tujuane. kuna watu wanaojulikana kabisa na wengine hawajulikani ila wanaweza kujitaja tu wenyewe NAANZA MIMI 1:YANGA
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hongera Yanga kwa kutaka kurejesha ubingwa wenu wa CAFCL

    Huku ni kudhalilishana tu. Watu wa kimataifa mnaposikia hiyo slogan msije mkachukulie watz wote mabogus. Hapana,ni kikundi kidogo tu kimeamua kinaitwa Utopolo. Waambieni watu Return hii ni kwa mbeleko ya Simba SC
  5. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga wawe wakweli kuhusu mchezo wa Jumapili

    Nimesoma kupitia Saleh Jembe kuwa wachezaji wapya waliosajiliwa hivi karibuni na ambao ni tegemeo kwa timu hawatacheza kwenye michuano ya Klabu Bingwa siku ya tarehe 12.9.2021. Sasa kwa nini mlitamba na kutuaminisha kuwa watacheza siku ya Jumapili. Hii ni aibu kubwa kwa timu na inawezekana...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kimueumana: Djuma na Aucho out Yanga

    Huenda Djuma Shabani na Aucho wasiwe sehemu ya kikosi Cha Yanga kitakochokikabiri Rivers United wikiend hii baada ya kuenea kwa taarifa kuwa CAF wamewapa taarifa hiyo Yanga, kufuatia timu zao za zamani kuchelewesha kutuma hati yake ya uhamisho (ITC ). Imeelezwa ITC zimechelewa kutumwa kutokana...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete awapasua wana Yanga na Haji Manara

    Nadhani Watu wengi mmebahatika Kuisikiliza Clip inayosambaa kwa Kasi sasa Mitandaoni ya Ridhiwani Kikwete ( MB Chalinze ) hivyo nami nitaweka tu hapa Nukuu zake Tano tu zenye maana na umuhimu. "Wana Yanga SC Wenzangu yatupasa sasa Kubadilika japo wenyewe tunajiona tunapatia kumbe tunakosea...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Simba kwenda na Wachezaji 31 kimataifa huku Yanga wakienda na 28

    Simba imepeleka majina ya wachezaji 31 CAF. Makipa wanne ambao ni chaguo lao la kwanza Aishi Manula, Benno Kakolanya, Jeremiah Kisubi na Ally Salim katika orodha hiyo. Safu ya ulinzi ina mabeki tisa ambao ni; Erasto Nyoni, Mohammed Hussein, Gadiel Michael, Henock Inonga ‘Varane’, Israel Mwenda...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yaani kabisa Viongozi wa Yanga SC ( hasa hasa GSM ) mmefikia kuwa na huu Usanii ili mteke Akili za wana Yanga wawaamini?

    Yaani GSM umefikia hatua ya Kulazimisha Yanga SC icheze Mechi za Kirafiki kisha mnazungumza na Mabeki wa hizo Timu wamuachie Mayele afunge Magoli ili asionekane Mzigo na kama mmesajili Garasa tu? Haya GSM hebu Wahongeni basi na Mabeki wa River United FC mnaocheza nao CAF CL Siku ya Jumapili...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mayele aipa ushindi Yanga, matumaini kibaoooni shangwe kubwa kwa wana Yanga

    Ni katika mchezo wa kujiandaa na klabu bingwa afrika dhidi ya washindi wenzao wa pili wa ligi ya Nigeria rivers utd ambapo Yanga ilishinda goli moja dhidi ya timu ngumu kabisa ya kihistoria iitwayo Pan african Matokeo hayo yamezidi kuwapa matumaini wapenzi wa yanga ambayo juzi pia iliifunga...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yaani Mauzo ya Msimu mzima wa 2020/21 ya Jersey za Yanga ilikuwa Milion 45?

    Daaahh.... Kila jersey ya Yanga moja yanga inapata faida ya Tsh 1,300. Msimu unaoisha Yanga iliingiza tsh 45,000,000 kupitia jersey. Kweli? Kweli jamani Mnajua wakati mwingine mnasahau mnadhani watu wote walioko Yanga hawana Elimu au hawajitambui. Mnatukosea sana. Mimi nasema hili kwa dhati...
  12. demigod

    JamiiForums Tanzania Simba SC msishindane na Yanga SC mnapoteza concetration kwenye Ubunifu

  13. N

    JamiiForums Tanzania Audio: Ridhiwani Kikwete asema Manara ni mchumia tumbo, Yanga hawako serious

    kaongea mengi msikilize mwenyewe ,audio ina dakika tatu, kwa kifupi anasikitika sana team yake ya utopolo fc haipo serious zaidi ya propaganda za media na mitandaoni kuongelea jezi za machampion wa nchi na klabu bora afrika mashariki Team iko bize na mambo ya kiutopolo hata matayarisho ya...
  14. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Yanga ndiyo timu ya kwanza kuwa na jezi maalum za wanawake

  15. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Jezi ipi kali kati ya Simba na Yanga?

    Jezi ipi kali kati ya Simba na ile ya Yanga kwa msimu huu 2021/22
  16. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC bhana! Hivi kulikuwa na ulazima wowote ule kwa Hadhi yenu Kucheza Mechi ya Kirafiki na Friends Rangers na Kushinda 3 - 1?

    Yaani Wenzenu Simba SC wanajiandaa Kucheza na Vilabu vya maana Barani Afrika huku ikiwa imetoka Kucheza na vingine viwili huko Morocco ilipokuwa Pre Season nyie mnacheza na Friends Rangers FC ya Magomeni. Mlivyo Wapuuzi japo wenyewe mnajifanya mna Akili baada ya Majuzi Kunyooshwa na Wazambia...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Sheria ngowi aishukia Yanga utumiaji hovyo wa jezi

    Haki ya Mungu CEO Senzo hata kusimamia tu utumiaji wa jezi hawezi halafu wachambuzi takataka wanakuambia jamaa ni kichwa kishenzi yaani wanasema alikuwa kamati ya maandalizi ya world cup jamaa ni genius hatari Kwa mujibu wa mbunifu wa jezi za Young Africans Sports Club Sheria Ngowi alisema...
  18. Harrykany

    JamiiForums Tanzania Aliesikiliza hii nyimbo inayowaponda Yanga, ya Tunda man na Dulla

    Ni Siku ya wananchi KAPUMBU katia doa, wamechukua msukule, walidhani wametukomoa, SIMBA ya kimataifa wenzetu team ya mkoa, ZANAKO wamechomeka YANGA wameshindwa kuchomoaaa, hayo Ni maneno ya mwanzo ya wimbo wa Tundamani Na wasanii wengine,
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga kufungwa na Zanaco kumerahisisha kazi ya kocha Nabi

    Yanga kufungwa na Zanaco wachezaji kumeondoa mapema kiburi cha wachezaji na kujiona mafundi. Sasa hivi kocha ana kazi rahisi kwenye mazoezi maana wachezaji wote walishushuliwa mbele ya halaiki ya wanayanga. Nadhani wachezaji watakuwa makini kumsikiliza mwalimu ili kuepuka aibu kama Ile...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wazamani wa Simba ambao walikuwa mashabiki wa Yanga na wachezaji wa zamani wa Yanga walio kuwa mashabiki wa Simba

    MUOGOPE MUNGU: USIMTAJE MCHEZAJI AMBAE BADO ANACHEZA ILI USIMSABABISHIE MAZINGIRA MAGUMU KWENYE AJIRA YAKE. Wachezaji wa zamani walikuwa weledi Sana. Mchezaji wa simba hata Kama alikuwa shabiki wa Yanga Lia Lia lakini linapo kuja suala la kazi yake mchezaji huyo alipiga kazi kweli kweli ...
Back
Top Bottom