yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wazamani wa Simba ambao walikuwa mashabiki wa Yanga na wachezaji wa zamani wa Yanga walio kuwa mashabiki wa Simba

    MUOGOPE MUNGU: USIMTAJE MCHEZAJI AMBAE BADO ANACHEZA ILI USIMSABABISHIE MAZINGIRA MAGUMU KWENYE AJIRA YAKE. Wachezaji wa zamani walikuwa weledi Sana. Mchezaji wa simba hata Kama alikuwa shabiki wa Yanga Lia Lia lakini linapo kuja suala la kazi yake mchezaji huyo alipiga kazi kweli kweli ...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wanayanga Mnaoshangilia kina Davis Mosha na Bib kleib mtalia baadaye

    Naona shangwe kubwa utopoloni kuhusu Kina Mosha na Bin kleib, hivi nyie watu mshasahau kina kaburu hata hans pope na aveva walichokuwa wanafanya simba? ndicho hicho cha kina Mosha na Bin kleib Ila hongera kwa mwenyekiti msolla umeleta "wahuni wa soka la bongo" kuku protect hapo klabuni maan...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Antonio Nugaz amaliza Mkataba wa kazi Yanga, Wamshukuru na kumuaga

    mwamba kamaliza mkataba wake yanga kuanzia leo Hivyo klabu inamtakia kila la heri Naona wakat wa Haji manara sasa ==== Uongozi wa klabu ya yanga umetangaza kuachana na aliyekuwa Afisa Muhamasishaji wa timu hiyo, Juma Khatib Nugaz(Antonio Nugaz) , Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imeeleza...
  4. Mgagaa na Upwa

    JamiiForums Tanzania Davis Mosha, Seif Magari na Abdallah Kleb warudi Yanga

    Hao jamaa wameteuliwa kwenye kamati ya mashindano au ukipenda unaweza kuuita kamati ya roho mbaya,makolo mkae kwa kutulia
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga waombeni msamaha mashabiki

    Ukiachana na kujaza uwanja mengine yote na kila kitu kilidoda. Kwenye pitch walicheza mechi 3,mbili wakachezea kichapo na moja ndoo Kwenye burudani kulikuwa na Koffi mambo aliyofanya ni aibu ya mwaka. Baadae alikuja msaani mwingine anaitwa Kabwili nadhani ni kipa yule. Msikilize alichoimba
  6. M

    JamiiForums Tanzania Antonio Nugaz, ni saa ngapi unaenda kukinukisha Yanga SC baada ya kukereka na dharau uliyoonyeshwa?

    Mnajifanya kufichaficha wakati juzi Nugaz na Manara walijibizana vibaya na Mmoja Kutukanwa Tusi kubwa hadi likamlevya na Kuota kuwa kapata Ajali. Halafu na Wewe Comrade wangu kabisa Hassan Bumbuli acha kuwa Muoga na Mnafiki kwani tukiwa Kijiweni unawakandia GSM kuwa wanaiharibu Yanga SC ila...
  7. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Ukichunguza kiundani GSM amejitangaza sana na kupiga fedha kupitia Yanga lakini anachowafanyia ni sanaa tupu

    Kwa fedha alivyoipAtA GSM, YAnga tunashindwaje kusajili wachezaji wa maana?. Huku Simba ikichukua wachezaji wenye record kubwa. Yanga tumewekeza kwenye propaganda hakuna uhalisia. Aliyeisaidia yangA kwa Hali na Mali alikuwa mAnji tu. Alisajili na kuifanya timu kuwa Bora. GSM yupo kufanya...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hemed Kivuyo atoa waraka mzito kumpinga Manara:atoa onyo Yanga SC

    Sina la kusema sababu aliyeandika waraka ni jamaa lialia la utopolo hata likitangazaga kwenye tv huwa linalia kabisa utopolo wakiwa wamepigwa na kina kapumbu ***************** Haji Manara Bomu linalosubiri Kutupasukia Anaandika Hemed Kivuyo. Wananchi leo ni Siku yetu, tusherehekee tufurahi...
  9. Mamserenger

    JamiiForums Tanzania Mama J, shabiki wa Yanga

    Ila wazeiaa dah mama J mkali wa kuchezea mike. Dah sio poaa Inabidi hawa madem zetu wakapewe somo na Mama J Jinsi ya kushika Koni na kuinyonyaa vile inavyo takiwaa. Asantee Mama J, leo ume Jua kunipa rahaa. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Mashabiki wa Yanga kuonyesha picha ya Mwenyekiti wa CCM kwenye tamasha lao kilaaniwe na wapenda soka dunia nzima

    Hili jambo halikubaliki na likemewe kwa nguvu zote na TFF na mamlaka zingine , michezo ndio eneo pekee linalokutanisha wananchi wote na wenye itikadi tofauti , kuingiza siasa za ccm ni kuleta mkanganyiko wa kijinga sana . Wako wana Yanga kibao ambao si wanaccm , siku wakiamua kupeperusha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yanga msitolewe kwenye njia na mashabiki oyaoya, timu mnayo

    Kuna baadhi ya mashabiki oya oya na wale wa makoro koro FC wanataka kutumia mechi ya yanga ya jana kufungwa Kama kichaka cha kueneza propaganda ya kuwa yanga imesajili vibaya. Watu hao nafikiri hawako timamu kwenye masuala ya kuangalia timu kiufundi bali wanasukumwa na mihemuko aidha ya chuki...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hapa ni kwa Fundi Muwa Tandika ziliposhonwa suti za wachezaji Yanga

    Fundi Cherehani akiendelea kuchakata suti za wachezaji wa Yanga. Hapa ni kwa fundi Muwa pale Tandika! Kisha wakabandika nembo kuonesha ni suti za Italy 😂😂😂😂😂😂😂
  13. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Manara azomewa baada ya Kikutwa Chooni anawacheka Yanga

    Hii ilitokea baada ya mwanayanga mmoja kuingia ghafla chooni na kumsikia Manara akicheka. Alipomuuliza Manara alikataa kuwa hakuwa akiicheka yanga. Ila alikuwa anawacheka simba kwa kutoa draw kule Morocco.
  14. MabatiBeiNafuu

    JamiiForums Tanzania VIDEO : Manara azomewa na mashabiki baada ya Yanga kula Kichapo

    Baada ya timu ya wananchi kuchezea kichapo katika siku ya tamasha lao pendwa. Msemaji wa mpya Haji Manara aka Bugatti amerekodiwa akizomewa na mashbiki wenye hasira kali. #PoleSanaManara
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC ingeshinda leo Watangazaji na Wachambuzi walipanga kusema haya Kesho ila kwakuwa imefungwa watasema hivi..

    Kama Yanga SC ingeshinda leo dhidi ya Zanaco FC Kesho Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo walipanga kusema yafuatayo.... "Hakika Yanga SC hii ndiyo yenyewe na hata hao Simba SC na Azam FC hata ikiwezekana na Al Ahly FC walipange kwani kwa Usajili huu mwaka huu Yanga SC inabeba Vikombe vyote...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Koffi Olomide ametekeleza matwakwa ya mkataba; wapenzi wa Yanga amkeni

    Nimeona kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii MISUKULE wakilalamika kuwa mwanamuziki Koffi OLomide a.k.a Papaa Ngwasuma hakuwatendea haki jana (katika tamasha la wananchi). Kuwasaidia tu ni kwamba Papaa ametekeleza matakwa ya mkataba alioingia na wenye timu yao (GSM). Yeye kama mwanamuziki...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga yakung'utwa 2-1 huu ni mwanzo tu

    FT Yanga 1 - 2 Zanaco Soka sio kipompipompi, soka sio makelele midomo mirefu..Soka ni mipango. Huu ni mwanzo tu. Nawaambia kabla ya TPL kuanza mtakuwa nje CAFCL. Kwa wale wasiofahamu ni kwamba leo Yanga imecheza mechi 3. Under 20 wamechezea kichapo kitamu. Yanga Princes wametoa droo. Utopolo...
  18. Shark

    JamiiForums Tanzania Matokeo Haya ya Yanga yanaashiria nini?

    Wakuu kwema? Yanga leo imefikia kilele cha Wiki wanayoiita wenyewe ya Wananchi. Wametambulisha wachezaji wao wa timu ya wakubwa huku timu zao zote 3 (Wakubwa, Vijana na Wanawake) zikicheza michezo ya kirafiki. Sasa timu ya vijana ilifungwa na timu ya Cambiaso Academy Sport inayofundishwa na...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo kwa Mujibu wa IGP Sirro , Tishio la Usalama ni kwenye makongamano ya wapinzani pekee , kwenye mkusanyiko wa Yanga hakuna?

    Kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye kitengo cha propaganda cha jeshi la Polisi ili kiendane na hali ya sasa , hawa waliopo hawakiwezi ama wamepwaya mno , Huwezi kudanganya kwa kiwango cha chini kiasi hiki . Mmezuia Mikutano na Makongamano kwa sababu ya Hatari ya usalama kutokana na kadhia ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tunaposema Jezi mpya ya Yanga SC ni mbaya na mbovu muwe mnatuelewa, Asante Oscar Oscar kwa leo Kupiga Dongo la maana huko Yanga SC

    "Tafadhali kama kwa bahati mbaya umempoteza au umepotezana na Ndugu yako kwa muda mrefu jaribu kumuangalia katika Jezi mpya ya Yanga SC unaweza ukampata" Chanzo: Mchambuzi EFM na TvE Oscar Oscar Wakati Oscar Oscar ( ambaye Personally ) namjua ni Simba SC lia lia alipochukua Fomu ya Kugombea...
Back
Top Bottom