"Haiwezekani Mwanachama wa Simba aje afanye kazi Yanga haya ni mambo ya kijinga mwenendo wa timu sio mzuri, Sisi wazee wa Yanga hatuna imani na uongozi wa timu yetu
We ulishawahi kuona wapi Mwanachama wa Simba afanye kazi na Yanga, Sisi tunampenda Manara kwasababu ya Baba yake tu ila hatumpendi...
Magori, Salim, Kocha Matola, Somo na Mkuu wa Itifaki Makoye ni mara ngapi mnataka niwe nawakumbusha hili ambalo huwa mnalipuuza kama siyo Kulisahau kila tukicheza na Yanga SC na Wanatufunga?
Nilishawaambia kuwa hata kama Timu yetu sasa inaendeshwa Kisasa (Professionally) ila kwa Utamaduni wa...
Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi March au May kama sijakosea na ikapigwa Kalenda.
Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi July na ikapigwa tena Kalenda.
Yanga SC mlitutangazia tena kwa Mashamsham na Kujimwambafai Kwenu kuwa Hukumu itatoka leo ( Mwezi...
Kwanza alikuja na Slogan ya The Return of Champions akimaanisha kuwa Yanga SC imerudi na kweli tumeona imerudi Kweli kusubiria kucheza Ligi ya Mchangani (Ligi Kuu)
Pili Klabu ya Yanga SC ilipokuwa ikienda nchini Nigeria kucheza mchezo wake wa Marudiano na Rivers United FC Haji Manara...
Yanga SC ikiwa inafanya vyema
Wazungumzaji Wakuu ni
1. Injinia Hersi Said
2. Haji Manara
3. Mshindo Msolla
Yanga SC ikiwa inafanya vibaya
Wazungumzaji Wakuu ni
1. Haji Mfikirwa
2. Hassan Bumbuli
3. Haji Mfikirwa
Nitashukuru mkinijibu ili nijifunze zaidi.
Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie yaani tokea Mwezi wa Saba ( 7 ) tena mwanzoni mlijua kuwa Mwezi Septemba mtacheza CAF CL kwanini hamkujiandaa vizuri na Kimkakati zaidi?
Sasa hivi nikikutana tu na Mpuuzi anasema kuwa Kufungwa Kimoko ( cha Nguruwe ) Dar es Salaam na Kufungwa tena Kimoko ( cha...
Akiongea na kituo cha radio cha Efm kupitia kipindi cha michezo cha asubuhi, Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa amekiri kuwa hawakujipanga vizuri kwenye pre season hivyo kupelekea timu yao kutolewa na Rivers United katika hatua ya awali ya Caf Champions League!!
Haji Mfikirwa akaongeza...
Habarin wadau, hivi hi mechi kati ya River United na Yanga itaoneshwa chanel gani?
=======
Mechi kamishna Sulley Camara kutoka Sierra Leone amewaruhusu Yanga wacheze wote kwa kuwa hakuna cheti kuhalalisha kuwa wamekutwa na corona.
Mpira umeanza kati ya Rivers United na Yanga
28' Rivers...
Ukweli tuuseme Yanga ni timu changa sana!! Hawawezi kujilinganisha na Simba hata kidogo!! Waulize kwenye haya mashindano wamevuna shilingi ngapi na walinganishe na fedha alizovuna Simba mwaka jana kwa kufika hatua ya robo fainali!
Yanga iache kabisa kujilinganisha na Simba, wala Azam wala...
Pamoja na Kusukumizwa Nje Ya Mashindano ya CL Ya CAF na kubakia Kuwa 'Wapenzi Watazamaji' huku ikiziacha timu Za Azam, Biashara na Simba zikiendelea kwa hatua inayofuata. Mashabiki na Wapenzi Wa Yanga wameonekana maeneo mbalimbali Ya nchi Wakisherehekea Ushindi walioupata TP Mazembe leo dhidi Ya...
Tumefungwa tena na kutolewa katika mashindano ya ligi ya mabingwa ya Afrika baada ya kufungwa tena 1 bila hivyo matokeo kuwa Rivers United 2 Yanga 0.
Viongozi wote wa Yanga inabidi wajiuzulu na mdhamini GSM aende zake,wanachama na wapenzi tumwombe shujaa wetu MANJI ARUDI KUTUDHAMINI.
Sababu...
Yanga haibadiliki kila msimu . Tunafukuza wachezaji na makocha kibao na kusajili wachezaji wapya kibao kila mwaka. Ila mechi zikianza matokeo yanabaki yale yale kila mwaka.
Mchawi wa yanga ni uongozi wa msolla na engineer.
Yanga kama inataka kubadilika ni lazima waanze na kubadilisha...
Haji Manara: Hawajatoa mpaka sasa hivi certicates one hour kabla ya mechi. Hawajatuambia nani yuko positive nani yuko negative. Wanatuletea sasa hivi eti kuna wachezaji sita wako positive, Diara katumiwa email yuko negative. Tumesema hatuchezi, kama uhuni huu walioufanya, hatuchezi.
==========...
Kazi iendelee | Soka liendelee,
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka kwa niaba ya CCM na kwaniaba ya Mkt wa CCM Taifa ambae pia Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan.
Wamezitakia heri na baraka timu nne zitakazopeperusha bendera ya Tanzania kwenye...
Asubuhi tu ..! Wakati Simba S.S.C Inaenda Kuadhimisha Siku Ya Wenye Nchi..!
OMBI ... Nchi nzima Ya Tanzania Kokote mlipo tuweke Utani wa Jadi Pembeni. Haya ni Mapambano Ya Nchi dhidi Ya Nchi nyingine. TUIOMBEE Yanga Afrika ISHINDE....! Kwa nini nasema hivyo?
Katika Nafasi 4 za Tanzania CAF...
Naomba nitolewe tongotongo. Vipi ikitokea mpaka tarehe 25/9 ITC hazijafika kwa wachezaji wale wa3 wa Yanga je, watarusiwa kucheza mechi dhidi ya Simba ya ngao ya hisani!!!??
Nawasilisha
"Tumeamua Kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia katika hii Royal Tour yake kwa Kuutangaza Mlima Kilimanjaro na Kisiwa cha Zanzibar na kuanzia Mechi ijayo dhidi ya Rivers United FC na nyinginezo za Klabu Bingwa Afrika tutangaza"
Chanzo: Sports Extra Clouds FM
Ndugu yangu ( yetu ) Hassan Bumbuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.