yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Utetezi wa Kipropaganda umeshaanza kuwa Yanga SC jana ilifungwa na Rivers United FC kwa Kukosa Pre Season nzuri

    Kiherehere chenu cha Kujitutumua nanyi kwenda nchini Morocco Kuwaiga Simba SC ili mkae Siku 10 na mkaa Siku 5 tu Kifurushi cha Kisinda kikaisha kilitoka wapi? Aliyewaambieni mfanye Usajili wa 75% ya Kikosi chenu badala ya 50% ili Timu ibaki na Rythm yake ile ile na muendelee kufanya vyema ni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichokisikia kwa wenye Yanga SC yao na kinachokuja, nawaomba Haji Manara na Injinia Hersi Said waachane nayo upesi

    Kati ya Kesho Jumatatu mpaka Jumatano au Alhamisi kuna Zengwe la Awali linaenda Kuibuka Klabuni Yanga SC ambalo litawahusu hasa Watu Wawili Msemaji mpya Haji Manara na Injinia Hersi Said. Hata hivyo Zengwe hilo.litazimwa kwa muda ila litaibuka kwa Nguvu mpya Weekend ijayo pale ambapo Yanga SC...
  3. JamiiForums Tanzania Niliyoyaona katika mechi ya Yanga vs Rivers United

    Binafsi nimeona haya Mosi: Yanga walianza kucheza kimasihara, na kuwachukulia poa Rivers united, walicheza kama vile wanacheza ndondo. Nilirudi sasa kwenye ufundi Rivers walianza na Viungo 5 wenye uwezo mkubwa wa kukaba. Yanga ilianza na kiungo mkabaji mmoja ambaye ni Zawadi Mauya, na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yanga tunajitoa kwenye mashindano: Caf wanaipendelea Simba! itakuweje sisi tucheze mechi 2 wakati Simba hajacheza hata mechi moja?

    Wasikie utopolo wanavyosema!! Tumewashtukia caf!! Caf wanaibeba simba! Hatupeleki timu Nigeria!! Kwa nini sisi tucheze mechi 2 wakati simba hawacheza hata mechi moja?? Kwa utopolo hiyo ni hoja yenye nguvu sana!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo Wachawi namba Moja wa kuifanya Yanga SC isifanikiwe; wajitahidi Kuachana nao kabla hali haijawa mbaya zaidi Kwao

    Ni Mpumbavu tu pekee kwa Maandalizi hafifu ya Yanga SC kuelekea Mechi yao ya leo ya CAF CL dhidi ya Rivers United FC ndiyo alijua kuwa ingeshinda. Ila kwa tuliocheza Mpira, tunaoujua vyema Mpira na tumebobea vyema katika Sayansi na Sanaa ya Mpira na Wachambuzi Binafsi wa Soka la Tanzania na...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga ya gazeti la Mwanaspoti, Kitenge na Priva inatisha sana

    Kiukweli utakuwa mnafiki sana kuwalaumu wasomaji wa gazeti la Mwanaspoti na wasikilizaji wa Efm ambao hadi leo najiuliza wana akili gani za matope kudhani Maulidi ni mtu sahihi wa kuwa anchor wa kipindi chao wakati mwanadada mrembo Tunu Hassan alikuwa anafanya kazi inayoridhisha Anyway labda ni...
  7. JamiiForums Tanzania Asante Mama, umetuokoa wana Yanga

    Baada ya Timu ya wananchi kufungwa mama katoa mkeka wa Baraza la mawaziri. Watu wamesahau kipigo cha Yanga sasa ni kujadili baraza la mawaziri. Ajenda imehama.
  8. K

    JamiiForums Tanzania KIlichowaponza Yanga mechi dhidi ya Rivers united chabanika...

    Maandalizi hafifu ndani ya uwanja huku nguvu kubwa ikiwekwa katika kutimiza malengo ya wadhamini ambayo ni kuuuza bidhaa zao kwa kuwekeza zaidi katika njia ambazo kwao walizani zitaweza kutangaza bidhaa za Club zaidi na sio uwanjani... Vingozi wa Club Yanga kuingiliwa katika unendeshaji wa Club...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yanga nafasi mmetengeneza lakini umakini umewaangusha

    Nitawalaumu kwa umakini mdogo mlioonyesha leo kufumania nyavu, nafasi 4 za wazi zingetosha kuwafanya muondoke na ushindi Leo hii, huwezi kupoteza nafasi kama hizo halafu ukategemea eti usonge mbele kwenye michuano mikubwa Kama hii, ukichezea nafasi basi ujue utaadhibiwa tu, pia sikuona mantiki...
  10. JamiiForums Tanzania Kama Yanga itafungwa Champions League kichaka cha kufisha nyuso zao wanacho tayari

    Haitakuwa kazi ngumu kwa kocha, viongozi, wachezaji na mashabiki wa Yanga kujitetea kama ikitokea bahati mbaya wakafungwa na kutolewa kwenye mashindano ya kimataifa msimu huu. Sababu zao zitakuwa hivi: 1. Wachezaji wao 3 muhimu wamezuiwa kucheza. 2. Timu haikuwa na pre-season nzuri 3. Wachezaji...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Haji Manara na fred Vunja Bei wanavyoathirika siasa za viwanjani Yanga na Simba

    Ipo siasa iliyopotea njia ndani ya nchi yetu. Ipo mikakati mfu yakiwekezaji isiyo na tija kwa Taifa letu. Wapo watu wanaamini kila Jambo lazima tuwe na viongozi wanaoongozwa na mfumo wa kisiasa. Wapo watu wanaishi vizuri kwa mwonekano wa nje lakini si kwa mwonekano wa ndani. Chama kinatafuta...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Uungwana huu wa Yanga SC juu ya Msiba wa Hanspoppe, sina cha Kuwadai na niseme tu Asanteni sana wana Yanga SC wote duniani

    Kitendo cha Klabu ya Yanga kuja na Taarifa ya Pole kwenda kwa Simba SC, Wapenzi wa Simba SC na Familia yake Marehemu kama Mdau mkubwa wa Simba SC nimekipokea kwa Picha iliyo Chanya kabisa. Yanga SC na Simba SC tunataniana mno na Kufanyiana Fitna za kila aina ila kwa huu Uungwana, Ustaarabu, Utu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Yanga acheni utapeli, Mechi za Club bingwa hazitakiwi kuwa na watazamaji

    Nimeona na kusikia kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii leo Club ya Yanga wakitangaza viingilio vya mechi yao ya Jumapili ili khali wakijua wazi kuna zuio kutoka CAF kwa vilabu vyoote vinavyoshiriki michuano ya CAF kutoingiza watazamaji.. Jambo la kushangaza pamoja na maagizo hayo bado...
  14. JamiiForums Tanzania SIMBA NA YANGA DUUUUUUH

    Klabu ya Yanga imewachapa watani wao wa jadi Simba SC na kuizuia klabu hiyo kutangazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania kwa msimu wa 2020/2021. Mabingwa watetezi Simba walihitaji kupata alama tatu ili kutawazwa mabingwa kwa msimu wa nne mfululizo. Hata hivyo goli la dakika ya 13 lililofungwa na...
  15. JamiiForums Tanzania LIVE: BODI YA LIGI inatangaza ratiba, Simba na Yanga December 11

    hapa ni ukumbi wa TFF
  16. M

    JamiiForums Tanzania Huku Haji Manara ukiendelea Kubwabwaja Wasafi FM kuhusu Sakata la Kocha Gomez, hatimaye mwana Yanga Maulid Kitenge amemgeuka

    Huku akiwa kaomba Interview na Wasafi FM katika Kipindi cha Michezo cha Sports Arena ili aizungumzie Yanga SC yake Haji Manara umejikuta unatumia muda mwingi Kuiongelea Simba SC isiyomhusu badala ya Yanga SC yake. Wakati akiendelea Kubwabwaja kutokana na Uwendawazimu unaomsumbua huku akiwa hana...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga ilishaachana na makocha wa diploma kitambo

    Siyo maneno yangu, kuna timu zina makocha MEMKWA.
  18. JamiiForums Tanzania Ukiona mtu anashabikia sana Simba na Yanga kuwa naye makini, wengi hawana akili timamu

    Kwa uchunguzi mdogo niliofanya nimegundua kuwa watu wanazi sana wa hizi timu huwa hawako timamu kichwani. Ukiona mtu muda wote au zaidi ya asilimia 70 ya maongezi yake ni Simba na Yanga. Muda mwingi anashinda amevaa jezi ya Yanga au Simba. Mitandaoni anafuatilia sana habari za Simba na Yanga...
  19. JamiiForums Tanzania GSM kuweni na utu, msimfanye Haji Manara kama Msukule

    Ndio kuna biashara,ndio kuna pesa. Lakini kumbukeni kuna utu na heshima mbele za watu.Zaidi ya yote kuna Akhera. GSM mnajua kabisa huyu mtu ana msongo mkubwa wa mawazo baada ya kufukuzwa Simba Sc. Tunatambua nyinyi mlikuwa marafiki zake wakubwa hata kipindi akiwa Simba. Sasa urafiki gani huu...
  20. JamiiForums Tanzania Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

    Najua jukwaa lenu lina mashabiki kindaki ndaki wa either simba au yanga. Yaani yeye na simba au yeye na Yanga. Haya hebu tutajane hapa ili tujuane. kuna watu wanaojulikana kabisa na wengine hawajulikani ila wanaweza kujitaja tu wenyewe NAANZA MIMI 1:YANGA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…