Kilenzi _Jr
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 301
- 1,110
Binafsi nimeona haya
Mosi:
Yanga walianza kucheza kimasihara, na kuwachukulia poa Rivers united, walicheza kama vile wanacheza ndondo.
Nilirudi sasa kwenye ufundi
Rivers walianza na Viungo 5 wenye uwezo mkubwa wa kukaba.
Yanga ilianza na kiungo mkabaji mmoja ambaye ni Zawadi Mauya, na Tonombe akacheza kiungo wa juu, kadili muda ulivyokuwa unazidi kwenda ndivyo Tonombe alivyokuwa anaikimbia namba 8 na kurudi kuwa kiungo wa chini nakusababisha kukosa kabisa Muunganiko wa kati.
Kutokana na hali hiyo, Rivers wakazidi kutawala eneo la kati na wakawa wazuri kukaba njia za mpira zote za yanga.
Bado beki zetu za pembeni hazina uwezo mkubwa wa kupandisha mashambulizi ya kiutu uzima, pia beki za kati zinakosa umakini katika kuanzisha mashambulizi.
Foward yetu ilikosa umakini kidogo kutokana na hali ya presha kuwa juu na pia jamaa walikuwa wameshawasoma yanga wanapenda kutumia mipiraa ya juu wakawa makini sana kublock na kuzuia njia za fowad na vile kiungo wetu walipotea basi ngoma ikadunda jumla.
Asante sana goal keeper
Lakini mechi ijayo Weka
Bangala, Nondo, wamnyeto, ibwana, Mauya, Mukoko, Feisali, Kaseke, Jesus.
Yaccouba.
Unanza na 4-5-1,unakimbiza kwelikweli
Then ukipata goal moja
Unaingiza: Anti-biotic, farid, makambo na adyeum
Mfumo unakuwa 3-5-2
Yaani bangala, Mwamnyeto, Job
Kibwana na adyum wanasogea juu kuongeza nguvu, yaccouba na feisali wanakuwa wawili pale mbele.
Mbona tunavuka chap tuu