Yanga ilishaachana na makocha wa diploma kitambo

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
334
657
Siyo maneno yangu, kuna timu zina makocha MEMKWA.
diploma.jpg

memkwa.jpg
 
Siyo maneno yangu, kuna timu zina makocha MEMKWA.
View attachment 1931481

View attachment 1931482
Tuliza mshono tusiuchane bure sikiliza wasafi fm Simba wamejibu kwamba Da Rosa atakwepo bench ingawa kwa sasa hana vigezo ila Simba walishajipanga hawakukurupuka.

Ni kwamba Da Rosa alikuwa anaendelea na mafunzo yake online na anahitimu soon kabla ya mechi za simba za kimataifa
 
Ndo furaha pekee mlio nayo
Kocha wenu ana PhD wa simba ana diploma 😄
Mo hela zake za urithi, GSM katafuta mwenyewe
Jezi za yanga kali kuliko za simba🤣
Aliyewapa makombe(manara)tumemchukua 😄
Sie ndo tunaujaza uwanja kuliko nyie😄
Jinga kabisa,, yamesahau hata kuhoji hukumu ya Morrison na ahadi ya ubingwa waliyoahidiwa na bosi wao muuza poda kwa kivuli cha magodoro
 
Hayo maneno alikuwa wapi kuyasema kipindi cha nyuma maana inaonyesha alivyo short sighted kama ni mtu makini alipaswa kujua toka awali na siyo sasa baada ya kaambiwa naye leo au uchambuzi una base on current issues bila consideration ya past

Tatizo la watu wengi hawajisumbui kupata taarifa yeye linalotokea leo ndiyo atajifanya expert kulianalyze bila hilo kutokea ni mweupe ajabu siyo ajabu akawa msifiaji. Kwa issue hii ni matokeo ya uboreshaji ambalo ni jambo la kawaida tu vigezo kubadilika ndiyo maana hapo awali ni kocha huyu alifundisha ila sasa vigezo vimekuwa upgraded tu
 
Tuliza mshono tusiuchane bure sikiliza wasafi fm Simba wamejibu kwamba Da Rosa atakwepo bench ingawa kwa sasa hana vigezo ila Simba walishajipanga hawakukurupuka.

Ni kwamba Da Rosa alikuwa anaendelea na mafunzo yake online na anahitimu soon kabla ya mechi za simba za kimataifa
Lakini hoja ya msingi ni hana vigezo, wewe mwenyewe umekiri kwenye maandishi yako na hata CAF wamethibitisha hivyo.

Kwahiyo anaetakiwa kutuliza mshono ni wewe ambae hauna habari reliable,mpaka pale ambalo CAF watatangaza vinginevyo. Hatuwezi kutuliza a kwa habari za Wasafi Fm.
 
kwa hiyo MENKWA
 
Ndo furaha pekee mlio nayo
Kocha wenu ana PhD wa simba ana diploma
Mo hela zake za urithi, GSM katafuta mwenyewe
Jezi za yanga kali kuliko za simba
Aliyewapa makombe(manara)tumemchukua
Sie ndo tunaujaza uwanja kuliko nyie
Jinga kabisa,, yamesahau hata kuhoji hukumu ya Morrison na ahadi ya ubingwa waliyoahidiwa na bosi wao muuza poda kwa kivuli cha magodoro

umewadefine Utopolo vizuri sana
 
Lakini hoja ya msingi ni hana vigezo, wewe mwenyewe umekiri kwenye maandishi yako na hata CAF wamethibitisha hivyo.

Kwahiyo anaetakiwa kutuliza mshono ni wewe ambae hauna habari reliable,mpaka pale ambalo CAF watatangaza vinginevyo. Hatuwezi kutuliza a kwa habari za Wasafi Fm.
Nyie ambao mnashupalia vitu as if game za club bingwa hata onekana ndio mnatakiwa mtulie
 
Sisi kama wananchi hatuta kubali hujuma za CAF dhidi yetu, haiwezekani CAF watumike na simba ili kutu hujumu sisi na kututoa mchezoni kwa mind games za ajabu ajabu .. kuna yeyote anaye weza kunielezea kwa nini jina la KAPUMBU limeonekana kwenye line up ya Rivers united ?? ..
 
Ni fitina za MEMKWA......UPE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom