Nipemkono tushindane
Member
- Dec 23, 2021
- 56
- 227
Hili wananchi lazima tulielewe.
Ni kweli straiker wetu amekuwa tishio kubwa kwa vilabu vya ndani lakini tukirudi kimataifa bado naona kuna kazi ya ziada inatakiwa ifanyike Ili kufanya vizuri mashindano haya.
Mechi na Simba ilikuwa kipimo kizuri sana kwa yanga kuonyesha ni vipi wanaweza kupambana pindi wanapokutana na timu zinazofanya vizuri kwenye michuano ya CAF.
Lakini cha kuhuzunisha ni kuwa timu yetu ikiongozwa na straiker wetu tegemezi haikupiga short on target hata moja kweny timu yenye Inonga mmoja, je itaweza kufanya hivyo kweny timu yenye kina inonga wanne kwenye Ile Safu ya nyuma kama Al ahly, mamelod, tp mazembe.
Hapa napata wasiwasi kwakweli.