Kwa kikosi kinachoanza Cha Yanga vs Dodoma ni dhahiri Hawa jamaa wamekata pumzi na wameshakubali lolote litokee

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,270
12,310
Habari za muda huu
Leo nimeona kikosi Cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Dodoma jiji nikaona kitu kimoja kuwa hawa utopolo wamekatatamaa na hawajui nn hatima Yao na labda Kuna ugomvi ndani Yao.

Leo Bangala,Aucho na Saidoo wakuwa Benchi kweli?
Tukutane jamuhuri jitu linakufa nyingi
 
Inabidi ifikirie pia kuwa hao Dodoma Jiji Wana kikosi gani Cha maana Hadi Yanga watumie nguvu nyingi kama wanaenda kucheza Fainali ya CAF..
Tumia Akili dogo hiki kikosi kina mabadiliko madogo tu na ya kawaida.. Subiri mda uone points 3 zinavyokwenda kwa Wananchi sio kuleta umbea hapa, Tabia za kufanya dada ako Amina unazifanya ww, shame to you
 
Habari za muda huu
Leo nimeona kikosi Cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Dodoma jiji nikaona kitu kimoja kuwa hawa utopolo wamekatatamaa na hawajui nn hatima Yao na labda Kuna ugomvi ndani Yao.

Leo Bangala,Aucho na Saidoo wakuwa Benchi kweli?
Tukutane jamuhuri jitu linakufa nyingi
Tulia wewe!! Wacha wananchi wapambane. Wachezaji wote wa Yanga ni wazuri.
 
Habari za muda huu
Leo nimeona kikosi Cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Dodoma jiji nikaona kitu kimoja kuwa hawa utopolo wamekatatamaa na hawajui nn hatima Yao na labda Kuna ugomvi ndani Yao.

Leo Bangala,Aucho na Saidoo wakuwa Benchi kweli?
Tukutane jamuhuri jitu linakufa nyingi
Yanga bado ipo Vizuri sana hizo droo za hivi karibuhi wala zisije kukufanya uone Chui amekuwa Mbuzi
Kilichokuwa kinatokea ni Yanga kumtaka Mayelle afunge mwenyewe ili awe mfungaji bora; ambapo kila timu imekuwa inaweka mabeki kadhaa wa kumlinda hivyo kuanzia LEO Yanga inaingia kivingine kwa kila Forward anayeweza kufunga afunge hivyo tegemea kuona magoli mengi....
 
Habari za muda huu
Leo nimeona kikosi Cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Dodoma jiji nikaona kitu kimoja kuwa hawa utopolo wamekatatamaa na hawajui nn hatima Yao na labda Kuna ugomvi ndani Yao.

Leo Bangala,Aucho na Saidoo wakuwa Benchi kweli?
Tukutane jamuhuri jitu linakufa nyingi
Simba inadhalilishwa Sana siku hizi.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Habari za muda huu
Leo nimeona kikosi Cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Dodoma jiji nikaona kitu kimoja kuwa hawa utopolo wamekatatamaa na hawajui nn hatima Yao na labda Kuna ugomvi ndani Yao.

Leo Bangala,Aucho na Saidoo wakuwa Benchi kweli?
Tukutane jamuhuri jitu linakufa nyingi
Let mrejesho first half🚶
 
Kwani yanga ilisajili wachezaji wangapi mkuu? Walisajili ili wengine wale mishahara ya bure au? Yanga wameonyesha maana ya kikosi kipana na sio kukariri we boya
 
Habari za muda huu
Leo nimeona kikosi Cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Dodoma jiji nikaona kitu kimoja kuwa hawa utopolo wamekatatamaa na hawajui nn hatima Yao na labda Kuna ugomvi ndani Yao.

Leo Bangala,Aucho na Saidoo wakuwa Benchi kweli?
Tukutane jamuhuri jitu linakufa nyingi
Nipe matokeo nipo porini nakata mkaa
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom