Shabiki mwezangu wa Yanga unakubali Morrison kurudi Yanga?

Mpira ni ajira, ni urafiki na sio uadui. Mpira ni kama siasa tu usichukulie serious sana mienendo ya wahusika.

Morrison akirudi Yanga lazima awafunge makolo fc.
Ni mchezaji mzuri anaweza kuwa na madhara kwa mpinzani fanyeni hima mumsajiri
 
Kazi yetu ni kushangilia tu suala la usajili tuwaachie wenye hela hata tukimkataa hatuwezi kusajili hats mchezaji mmoja achilia mbali kumlipa mshahara kula mwezi.

Mimi sina kinyongo na Morison as longer as yeye ni mchezaji mzuri na ukiondoa chuki ndani yako yule ni mtu na nusu na mpira anaujua.

Welcome back BM3 I missed you.
 
Hakuna adui wa kudumu kwenye Maisha ya mpira
Kweli ila endapo timu itakuwa na mwennendo mzuri

Ukimya wa mashabiki wa Yanga kutosema chochote kwa ujio wa manara umechangiwa na timu yao kuwa na perfomance inayo ridhisha

Lakini ukitaka kuona uadui wa kudumu upo, itokee siku simba kachukua huu ubingwa.

Nadhani hatua hiyo haitakuridhisha hata wewe, na hapo moja kwa moja manara atakuwa na moments ngumu ambazo hajawahi face kwenye carrier yake
 
J
Hakuna winga anaefikia ubora wa Morrison hapa Bongo

Hakuna adui wa kudumu kwenye Maisha ya mpira
yale maneno ya kuwa Yanga tuna tatizo la akili naliona linaukweli aisee.

Morrison kawapotezea muda viongozi wa Yanga.

Morrison kaiaibisha klabu ya Yanga kwa kuonekana klabu inamng'ang'ania wakati yeye kawakataa.

Morrison kaipotezea Yanga pesa kwa kufungua kesi CAS
Morrison kauumbua uongozi wa Yanga kuwa ni waongo na wababaishaji.

Mbali na hiyo tabia ya Morrison inajulikana kuwa ana tabia za hovyo. Hivi Africa nzima inamaana hakuna mchezaji anayemzidi au kulingana kipaji na uwezo Morrison?
 
Back
Top Bottom