yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Labani og

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Simba ni timu iliyofungwa zaidi na Yanga hapa duniani?

    Salaam ndugu Wana JF WAKATI watani wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanakutana usiku wa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mashabiki wa timu hizo wanatambiana kwa mambo mawili. Yanga wanajivunia kuwafunga mara nyingi zaidi wapinzani wao...
  2. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga yamtema rasmi aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano Hassan Bumbuli

    Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Kaimu Mtendaji Mkuu, Simon Patrick umethibitisha rasmi kuachana na aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo Hassan Bumbuli, baada ya muda wake kutamatika hivyo basi nafasi ipo wazi na inahitaji kujazwa. Chanzo: Radio UFM
  3. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu mechi ya ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba

    Yanga 🐸 2 - Simba 🐏 1 🐸 dakika ya 19 🐏 dakika ya 52 🐸 dakika ya 81 (Majina ya wafungaji nitaweka siku ya mechi baada line up kutoka)
  4. Jesus Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Naona viongozi wa Yanga wanakomalia kualikwa kwenye mkutano wa CAF

    Kila wakati tukisema viongozi wa yanga uwezo wao ni mdogo, watu wengi hamuelewi. Mkutano uliofanyika jana ni General Assembly ya CAF. Ni mkutano unaowakutanisha viogozi wakuu wa mataifa wa mchezo wa mpira wa miguu. Vilevile CAF au FIFA hualika wageni maalum kwenye mkitano huo. Siyo kila mtu...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kivyovyote vile Yanga SC hamfungi Simba SC Jumamosi

    Simba anashinda Jumamosi iwe ndani ya 90 minutes au penalty.
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kocha Yanga hajawahi kushinda mchezo wowote kimataifa

    Bonus Kocha kabla ya kuja Yanga alikuwa Al Merrick Sudan, ambapo mechi 2 za mwisho Simba 3-0 Merrick Merick 0- 0 Simba Dokezo Hiyo Somalia ni under 20 My Take Kukosoa huwezi labda uropoke
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Simba wamechukia sana baada ya kusikia Yanga atashiriki kwenye super cup

    Nimeona kuna chuki na makasiriko ya hali ya juu sana kwa wanasimba kuona timu mabingwa wa nchi mara nyingi zaidi yao wanashiriki ligi ya super cup.... haya makasiriko ni vp tena 😂😂
  8. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Yanga msituaibishe mbele ya Rais wa FIFA

    HaABARI WAKUU. Leo kwenye mkutano mkuu wa CAF uliofanyika jijini Arusha. Na kuudhuliwa na kiongozi mkuu wa Fifa Giant El Fantinho. Viongozi wa CAF Motsepe nk. Waziri mkuuu amemkaribisha RAIS WA FIFA kushuhudia Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga utakaochezwa August 13 jijini Dar es...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe kule Yanga ana mamlaka makubwa hivi? Anaamua nani asajiliwe au asisajiliwe

    Asalalaleeee nilijua Sope bin takadin ndoa yake na yanga imefikia patamu kama pwagu na pwaguzi pale walipoyabeba matusi yake kwa karia kuwa ya taasisi lakini sikujua kama ana mamlaka makubwa kiasi hicho huko utopoloni ya kuamua nani asajiliwe na nani asisajiliwe, aiseee asante Barbara...
  10. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Yanga na Singida Big Stars kubadilishana wachezaji

    Hayo yote ni kwa mujibu wa Jemedari Said Kazumari. Kama itatokea kweli basi yatajirudia ya Feitoto alivyotolewa na Singida Utd kwenda Yanga.
  11. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Yanga jifunzeni kwa simba kimataifa

    Kwanza ieleweke sifungani na upande wowote, Mimi ni mshabiki wa manyema rangers mkuki wa sumu. Simba kuvuka kwenda makundi ni 80% zingine 20% nimeziacha kutokana na uzembe wao Kama walivyofanya misimu mingine waliyotolewa. Odds nyingi zinalalia kwa simba. Yanga kuvuka ni 30% japo uwezo wa...
  12. Dabil

    JamiiForums Tanzania Draw ya Klabu Bingwa Afrika: Yanga yapangiwa kucheza na Zalan ya South Sudan; Simba kucheza na Nyasa Big Bullets ya Malawi

    Draw ya club bingwa Africa tayari . Zalan vs Yanga; Mshindi wa mechi hii atacheza na mshindi wa mechi ya St George ya Ethiopia dhidi ya Al Hilal ya Sudan Big Bullets against Simba; Mshindi wa mechi hii atacheza na mshindi wa mechi ya Red Arrows ya Zambia dhidi ya Primero di Agosta ya Angola
  13. Rosh Hashannah

    JamiiForums Tanzania Mapato Simba Day vs Yanga Day

    Kuna kitu sijaelewa, Simba ndie kajaza uwanja lakini mapato kazidiwa. Naomba maelezo
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwa haya Malengo yetu Yanga 2022-2023. Simba mtavurugana sana. Kuanzia tarehe 13/08/22 ni kilio mpaka tarehe x/08/23.Natoa tamko Rasmi

    Simba mtalia sana mwaka huu.. Mtalia kinyama .. Mtalia ndani mtalia nje. Mtalia ofisini mtalia nyumbani. Kifupi mwaka huu hadi ujao mtakuwa wakiwa sana. Mtakuwa wanyonge shambani mtakuwa wanyonge sokoni.. Mtakuwa wanyonge nyumbani mtakuwa wanyonge kazini.. Mtakuwa wanyonge barabarani mtakuwa...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naweka Utani wangu pembeni tafadhali wana Yanga SC wawapige Stop kwa muda Viongozi wao Kulizungumzia Sakata la Juzi la Haji Manara

    "Haji Manara juzi alikuja katika Tamasha la Yanga SC na hakuja katika Shughuli za Kimpira za Klabu ya Yanga " Arafat Haji Makamu Rais wa Yanga SC. Taarifa: EFM Sports Headquarters leo. Makamu Rais wa Yanga SC Arafat Haji kumbe Siku zile ( Juzi ) Haji Manara ( Mfungwa Mkaidi ) alikuja...
  16. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Yanga ukiwasihi mashabiki wake kuiheshimu TFF na Serikali

    Jamani wananchi, uongozi umeshasema tuiheshimu TFF na Serikali, ikiwa ni pamoja na kuwa watulivu kwa maamuzi yoyote yanayotolewa na mamlaka hizo za juu
  17. OleWako

    JamiiForums Tanzania Je, mnapendelea Jezi mpya za Simba au za Yanga?

    Timu kubwa za nchi, Simba na Yanga, zote mbili zimezindua jezi mpya zao kwa msimu 22/23. Styles zao zinatofautiana sana. Paintbrush elements za Simba kwenye kila jezi zinapigana na alama za vidole za Yanga. Siku hizi si Simba vs. Yanga tu kwenye mada za jezi. Tangu msimu 20/21, GSM na VunjaBei...
  18. hamis77

    JamiiForums Tanzania Yanga wanachangisha pesa ya mganga kutoka visiwani

    Aisee nilikuwa Yanga makao makuu pale ,huwa naenda kusikiliza stori za klabu yangu pendwa Yanga, pale nakutanaga na wazee kina mzee was Moro, mzee mpili, n.k Sasa kuna daftari lipo pale UKIFIKA jioni linatembea la kuchangia pesa ya mganga kutoka VISIWANI Zanzibar, Lina karibu wiki 2, uchangiaji...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Mzungu wenu Mserbia akiwa Muhuni kama Fraga Ligi ataiweza ila akiwa Lonyo Lonyo kama Carlinhos ( Muangola ) wa Yanga SC hatoiweza

    Fraga mpaka Bange alishaanza Kuvuta na alikuwa anafika ( anagongana ) na Kukichafua huku Ukijipendekeza unakula ama Ndole au Kipepsi na Kutulia hadi akawa anaogopwa na Wachezaji wa Timu Pinzani. Kwa huyu Mzungu Mserbia wenu ( ambaye GENTAMYCINE simkubali ) kwa nilivyomuona tu Pichami alivyo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nimeyakumbuka madera ya yanga nikabaki kucheka

    Kuna msimu yanga kila mechi walikuwa na jezi yake yaani mpaka msimu unaisha haijulikani jezi rasmi ni ipi,na sio mbali ni kama miaka mitatu au minne tu hivi,simba tukawafundisha ustaarabu. Ghafla designer wao akaja na madera ,wanazi wakayatetea ila rohoni ilikuwa inachoma. Nakumbuka yule...
Back
Top Bottom