yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC wako vyema kwa sasa imekuwaje wamezidiwa idadi na Simba SC kwa Wachezaji walioitwa leo Taifa Stars?

    Ni Kocha Mwendawazimu tu wa Taifa Stars ndiyo ataacha Kuita Wachezaji wengi wa Simba SC kuichezea Taifa Stars na akawaita Wachezaji wengi wasiojua wa Yanga SC. Asante na Hongera mno Kocha wa Taifa Stars Kim Paulsen kwa Kuita Wachezaji 9 wa Simba SC Taifa Stars na Kuita Wachezaji 7 tu wa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania YERIKO NYERERE ADAI WANA YANGA WAMETAPELIWA LEO

    Baada ya simba kuonyesha jezi kwenye mkataba wa m-bet wana utopolo wakiongozwa na kubwa la ma NINCOMPOOPS Alhaji sope takadini zeru square waliwasikitikia sana wanasimba kwamba wametapeliwa kwa kuwa hawakuonyeshwa mkataba wakaishia kuonyeshwa jezi Sasa ukishangaa ya Pwaguzi albino shangaa ya...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni ngao ya kupumbaza wananchi wasifuatilie mambo muhimu ya nchi

    Serikali imewapa wananchi ajenda ya simba na Yanga. kila kona ukipita watu wanajadili simba na Yanga. Hawana habari na gharama za maisha kupanda. Hawana habari na ufisadi unaofanywa Hawana habari na ngorongoro Hawana habari na wanyama kusafirishwa kwenda uarabuni Hawana habari ndani ya mwaka...
  4. Joseverest

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga SC Yaingia Mkataba na Jackson Group

    Klabu ya Yanga leo Agosti 19, 2022 imetangaza kuingia mkataba wa miaka miwili na Kampuni ya Marketing ambayo ipo chini ya mtaalamu wa Marketing nchini KELVIN TWISA. Mkataba huo kati ya Johnson Group na Yanga SC unalenga kuinufaisha klabu hiyo kwa kufungua fursa zaidi kwa wawekezaji na...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga msitafute mfungaji bora wa ligi

    Wacha mfungaji bora ajitokeze tu by chance na sio kulazimisha lazima mfungaji bora atoke Yanga. Kufanya hivyo kutakuwa na athari kadhaa zikiwemo: 1. Kumchosha mchezaji mmoja huyohuyo ambae mnamtaka awe mfungaji bora kwenye ligi. mtamlazimisha kumchezesha mechi zooote za ligi. 2. mchezaji huyo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yanga imetuma offer ya kuvunja mkataba wa Manzoki na sio kwamba imemsajili Manzoki

    Naona mashabiki wanachanganya mambo hapa juu ya suala la manzoki, Ukweli ni kwamba yanga wamekubali kuvunja mkataba wa manzoki na kulipa pesa ambayo vipers wanaitaka na hilo limejiri baada ya makamu wa Rais wa yanga kufanya mazungumzo na uongozi wa vipers pamoja na wakala wa mchezaji husika...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Maumivu ni makali, Kwa mara nyingine Yanga wametupora tonge mdomoni kwa kumsajili Manzoki, Simba tunafeli wapi?

    Nguvu moja hatukatai, Lakini sasa kwa hali hii uongozi wa Simba mmeanza kutukatisha tamaa asiee, Ni kivipi deal ya Manzoki imebuma ?? ...... nimeanza kuamini hata maneno ambayo sipendi kuyaamini ya mitandaoni na vijiweni kwamba uongozi wamegeuza timu iendeshwe kibahili bahili kwa lengo la...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Habari kutoka Uganda zinasema kuwa Yanga wamefikia dau la $200000 na mshahara wa $12000 kwa ajili ya kumsajili Manzoki

    HAYA HAYA HAYA HAYAAAAA KESHO TUTAKOMA DADEEEKI UUUWIIII CONFIRMED kabisa na mtangazaji wa michezo huko Uganda ka confirm kwamba SIMBA WALIKATAA KUTOA USD 200K na walimpa offer ya mshahara usd 8000 Utopolo wametoa hizo usd 200k na mashahara wanampa usd 12,000..CASE CLOSED ASANTENI SANA BARBARA...
  9. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Yanga Kusimamisha Nchi Kesho Saa 5:00 asubuhi

    "Jambo la Nchi kwa Wananchi. Kaa tayari......." 🔍 Young Africans sports club Tunaenda Kusimamisha Nchi
  10. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League Yanga 2- 1 Polisi Tanzania 16/08/2022

    Leo tena Mabigwa wa nchi, FA na Ngao ya jamii timu ya Yanga inaanza rasmi mbio za ubigwa wa ligi kuu Tanzania Bara. Leo majira ya saa 10:00 jioni macho na masikio ya Watanzania yataelekea huko jijini Arusha, Yanga watakipiga na Polisi ya Tanzania Mchezo huu huenda ukawa na ushindani mkubwa...
  11. Tango73

    JamiiForums Tanzania Yanga tumejifunza nini na uwezo wa kocha wa simba?

    UFUNDI WALIOUNESHA SIMBA kipindi cha kwanza hadi kufikia kupata bao la kuongoza ni tahadhali nzuri ya kujifunza kuelekea kuchukua bingwa mfululiizo. Huyu kocha wa SSC ni mzuri sana sana na inaonesha simba itaweza sana kuzifunga timu magoli mengi katika mechi zao kila watokapo uwanjani...
  12. rajiih

    JamiiForums Tanzania Namna ushindi wa Yanga ulivyonipa utamu wa mtoto wa boss wangu

    Habari wana JF Poleni na majukumu ya kazi pia tujipe pole shabiki wote wa Simba siku ya leo imekua ngumu na yenye maumivu sana juu ya team yetu ya Simba kufungwa basi bana wacha twende kwenye Maada Kupitia derby hii ya Kariakoo nikiwa Kama shabiki wa Simba huku kitoto cha boss wangu kikiwa...
  13. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Sababu Yanga Kushinda nje ya Uwanja Kama Mashabiki wa Simba wanavyolalama

    ZIKISALIA saa kadhaa tu kabla ya kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kuikabili Simba katika mechi ya Ngao ya Jamii ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2022-2023, mastaa wa Yanga wameandaliwa msosi maalumu ili kuhakikisha wanatakata leo. Mbali na kuandaliwa msosi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa Kwa timu kama Simba na yanga kukosa kumiliki uwanja..Kwa Nini Azam Wameweza

    Ni ajabu sana timu zinazoongoza kuwa na mashabiki kila upande wa nchi..kukosa viwanja vyao...kila mechi Kwa mkapa..Kwenu hapo??..Jengeni viwanja vyenu bana..Azam wapo mbali sana nchi hii
  15. Mokaze

    JamiiForums Tanzania [b]WATANI WA JADI, SIMBA & YANGA.

  16. M

    JamiiForums Tanzania Kilichoiponza Simba mechi dhidi ya Yanga kuwania Ngao ya Hisani

    Mechi imekwisha, Simba imekufa 1-2 dhidi ya Yanga, Kiukweli inàuma mechi tano mfululizo za derby Simba hajashinda hata moja, huku akipokea vipigo vitatu na droo mbili(tena zilizokua na faida kwa Yanga) Turudi kwenye mada. Simba ilikosa Wachezaji wa kuamua mechi. Kiukweli mechi ya jana ndio...
  17. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Yanga haiwezi kushinda bila bahasha ya kaki, mashabiki wenzangu wa Simba vipi mmeshapata mgao?

    Utopolo haiwezi kushinda mechi yoyote bila kutumia mbinu chafu ya kupitisha bahasha za khaki kwa timu pinzani. Hiyo mbinu ndiyo ilisababisha wakapata ubingwa wa ligi msimu uliopita. Utopolo ni timu mbovu, haiwezi kuifunga Simba, the unstoppable. Timu yenye Chama, Okra, Okwa, Sakho, Inonga na...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania TFF na CAF waipe adhabu Yanga kwa kumchezesha Mayele ambaye kiwango chake ni cha kuchezea timu kama PSG, Barcelona, Real Madrid, Manchester

    Huu mpira anaoupiga Mayele sio wa Afrika hii. Kuna namna Yanga wamefanya. Haiwezekani mchezaji hatari kama Mayele achezee timu hizi za Kitanzania. CAF na TFF waimulike Yanga na ikiwezekana waiadhibu . Mayele analeta imbalance uwanjani.
  19. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said atupa karata yake nafasi ya usemaji klabu ya Yanga

    Kama mnavyofahamu nafasi ya usemaji na nafasi nyingine zipo wazi . Mchambuzi wa michezo ndugu Jemedari Said bin Kazumari ameomba nafasi hiyo huku akiwa ametimiza vigezo kadhaa vya awali Kama elimu na kuwa mwananchi (mwanachama wa Yanga tangu 2001). Tumtakie Heri katika hili.
  20. Rosh Hashannah

    JamiiForums Tanzania Yanga wametangaza nafasi za kazi lakini

    Yanga wametangaza kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka uwe na kadi ya uanachama. Kazi za Professional mpaka uwe na kadi???! Eg. Daktari kuna ulazima gani awe na kadi!
Back
Top Bottom