yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Maumivu ni makali, Kwa mara nyingine Yanga wametupora tonge mdomoni kwa kumsajili Manzoki, Simba tunafeli wapi?

    Nguvu moja hatukatai, Lakini sasa kwa hali hii uongozi wa Simba mmeanza kutukatisha tamaa asiee, Ni kivipi deal ya Manzoki imebuma ?? ...... nimeanza kuamini hata maneno ambayo sipendi kuyaamini ya mitandaoni na vijiweni kwamba uongozi wamegeuza timu iendeshwe kibahili bahili kwa lengo la...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Habari kutoka Uganda zinasema kuwa Yanga wamefikia dau la $200000 na mshahara wa $12000 kwa ajili ya kumsajili Manzoki

    HAYA HAYA HAYA HAYAAAAA KESHO TUTAKOMA DADEEEKI UUUWIIII CONFIRMED kabisa na mtangazaji wa michezo huko Uganda ka confirm kwamba SIMBA WALIKATAA KUTOA USD 200K na walimpa offer ya mshahara usd 8000 Utopolo wametoa hizo usd 200k na mashahara wanampa usd 12,000..CASE CLOSED ASANTENI SANA BARBARA...
  3. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Yanga Kusimamisha Nchi Kesho Saa 5:00 asubuhi

    "Jambo la Nchi kwa Wananchi. Kaa tayari......." 🔍 Young Africans sports club Tunaenda Kusimamisha Nchi
  4. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League Yanga 2- 1 Polisi Tanzania 16/08/2022

    Leo tena Mabigwa wa nchi, FA na Ngao ya jamii timu ya Yanga inaanza rasmi mbio za ubigwa wa ligi kuu Tanzania Bara. Leo majira ya saa 10:00 jioni macho na masikio ya Watanzania yataelekea huko jijini Arusha, Yanga watakipiga na Polisi ya Tanzania Mchezo huu huenda ukawa na ushindani mkubwa...
  5. Tango73

    JamiiForums Tanzania Yanga tumejifunza nini na uwezo wa kocha wa simba?

    UFUNDI WALIOUNESHA SIMBA kipindi cha kwanza hadi kufikia kupata bao la kuongoza ni tahadhali nzuri ya kujifunza kuelekea kuchukua bingwa mfululiizo. Huyu kocha wa SSC ni mzuri sana sana na inaonesha simba itaweza sana kuzifunga timu magoli mengi katika mechi zao kila watokapo uwanjani...
  6. rajiih

    JamiiForums Tanzania Namna ushindi wa Yanga ulivyonipa utamu wa mtoto wa boss wangu

    Habari wana JF Poleni na majukumu ya kazi pia tujipe pole shabiki wote wa Simba siku ya leo imekua ngumu na yenye maumivu sana juu ya team yetu ya Simba kufungwa basi bana wacha twende kwenye Maada Kupitia derby hii ya Kariakoo nikiwa Kama shabiki wa Simba huku kitoto cha boss wangu kikiwa...
  7. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Sababu Yanga Kushinda nje ya Uwanja Kama Mashabiki wa Simba wanavyolalama

    ZIKISALIA saa kadhaa tu kabla ya kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kuikabili Simba katika mechi ya Ngao ya Jamii ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2022-2023, mastaa wa Yanga wameandaliwa msosi maalumu ili kuhakikisha wanatakata leo. Mbali na kuandaliwa msosi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa Kwa timu kama Simba na yanga kukosa kumiliki uwanja..Kwa Nini Azam Wameweza

    Ni ajabu sana timu zinazoongoza kuwa na mashabiki kila upande wa nchi..kukosa viwanja vyao...kila mechi Kwa mkapa..Kwenu hapo??..Jengeni viwanja vyenu bana..Azam wapo mbali sana nchi hii
  9. Mokaze

    JamiiForums Tanzania [b]WATANI WA JADI, SIMBA & YANGA.

  10. M

    JamiiForums Tanzania Kilichoiponza Simba mechi dhidi ya Yanga kuwania Ngao ya Hisani

    Mechi imekwisha, Simba imekufa 1-2 dhidi ya Yanga, Kiukweli inàuma mechi tano mfululizo za derby Simba hajashinda hata moja, huku akipokea vipigo vitatu na droo mbili(tena zilizokua na faida kwa Yanga) Turudi kwenye mada. Simba ilikosa Wachezaji wa kuamua mechi. Kiukweli mechi ya jana ndio...
  11. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Yanga haiwezi kushinda bila bahasha ya kaki, mashabiki wenzangu wa Simba vipi mmeshapata mgao?

    Utopolo haiwezi kushinda mechi yoyote bila kutumia mbinu chafu ya kupitisha bahasha za khaki kwa timu pinzani. Hiyo mbinu ndiyo ilisababisha wakapata ubingwa wa ligi msimu uliopita. Utopolo ni timu mbovu, haiwezi kuifunga Simba, the unstoppable. Timu yenye Chama, Okra, Okwa, Sakho, Inonga na...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania TFF na CAF waipe adhabu Yanga kwa kumchezesha Mayele ambaye kiwango chake ni cha kuchezea timu kama PSG, Barcelona, Real Madrid, Manchester

    Huu mpira anaoupiga Mayele sio wa Afrika hii. Kuna namna Yanga wamefanya. Haiwezekani mchezaji hatari kama Mayele achezee timu hizi za Kitanzania. CAF na TFF waimulike Yanga na ikiwezekana waiadhibu . Mayele analeta imbalance uwanjani.
  13. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said atupa karata yake nafasi ya usemaji klabu ya Yanga

    Kama mnavyofahamu nafasi ya usemaji na nafasi nyingine zipo wazi . Mchambuzi wa michezo ndugu Jemedari Said bin Kazumari ameomba nafasi hiyo huku akiwa ametimiza vigezo kadhaa vya awali Kama elimu na kuwa mwananchi (mwanachama wa Yanga tangu 2001). Tumtakie Heri katika hili.
  14. Rosh Hashannah

    JamiiForums Tanzania Yanga wametangaza nafasi za kazi lakini

    Yanga wametangaza kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka uwe na kadi ya uanachama. Kazi za Professional mpaka uwe na kadi???! Eg. Daktari kuna ulazima gani awe na kadi!
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Yanga na pori la nyuma ya nyumba

    Kule kwetu siku za nyuma, nyumba ilijengwa nyuma ikiwa na pori dogo. pori hili lilikuwa mahsusi kwa kujisaidia wanawake, wagonjwa, wazee na watoto. pia mbali ya nyumba, umbali kama kilometa nne kulikuwa na pori kubwa sana, hili lilitumika na vijana pamoja na kina baba wenye nguvu kujisaidia...
  16. Championship

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

    Timu zote zimeshaingia uwanjani. Mchezo umeanza 01' Yanga wanamiliki mpira wakipiga pasi kadhaa. 11' Kibu Denis anaachia mkwaju na kuishia kwenye nyevu za pembeni 15' ⚽Gooooooal, Pape Sakho anaweka kimiani goli la kwanza la mchezo, krosi maridadi kutoka kwa Chama 19' 🟨Aucho anapewa kadi ya...
  17. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Manara aunga mkono Barbra wa Simba kuhudhuria mikutano ya CAF, awaambia Yanga waache kuona wivu

  18. N

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana: Mfahamu adui wa Yanga, Fouz Lekjaa) aliyeko Morocco

    Mwaka jana mwezi March wakati Motsepe anachaguliwa kuwa Rais wa Caf katika mkutano uliofanyika Rabat Moroko kiu na hamu ya wengi ilikuwa ni kumuona CEO Senzo na Injinia Hersi wa Yanga wakitia team mkutanoni Kiu hiyo siyo ya wabongo ni wadau mbalimbali wa Afrika waliokuwa na hamu wa kuona...
  19. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu: Kikosi cha Simba kinachotakiwa kuanza dhidi ya Yanga kwenye Ngao ya Jamii

    Habari wakuu, Kuipata First eleven ya Simba ni pasua Kichwa. Kichwa kinauma, uanze na nani, nani umuweke wapi nk. Kwa Ufundi kabisa, ningepata nafasi ya kuchagua kikosi ama kulishauri benchi ningeenda kama ifuatavyo. 1. Aishi Manura. 2. Shomari Kapombe. 3. Mohamed Hussein. 4. Enoch...
  20. Labani og

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Simba ni timu iliyofungwa zaidi na Yanga hapa duniani?

    Salaam ndugu Wana JF WAKATI watani wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanakutana usiku wa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mashabiki wa timu hizo wanatambiana kwa mambo mawili. Yanga wanajivunia kuwafunga mara nyingi zaidi wapinzani wao...
Back
Top Bottom