Je, wajua Simba ni timu iliyofungwa zaidi na Yanga hapa duniani?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,770
24,202
Salaam ndugu Wana JF

WAKATI watani wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanakutana usiku wa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mashabiki wa timu hizo wanatambiana kwa mambo mawili.

Yanga wanajivunia kuwafunga mara nyingi zaidi wapinzani wao katika mechi zilizozikutanisha timu hizo, wakati Simba wanajivunia vipigo vya mabao mengi, vikiongozwa na kile cha 6-0.

Takwimu from 1975 hadi 2017
Katika mechi 98 za Ligi Kuu na iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano zilizozikutanisha timu hizo. Tangu mchezo wa kwanza Juni 7, mwaka 1975, Yanga imeshinda mara 36 wakati Simba imeshinda mara 26 na mechi nyingine 33 timu hizo zikitoka sare.

Kwa tafsiri hii Ni kwamba Simba (kolo) Ni wanyonge likija swala la dabi ....sababu ya Simba kufungwa Sana Ni kuendekeza uchawi kuliko uhalisia (wanajikuta ndani ya mtumbwi wa vibwengo)

Utabiri wangu

Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchi, huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1

Je, Utabiri wako umeendaje?

Kwako mkuu Mshana Jr

JamiiForums57370082.jpg
 
Salaam ndugu Wana JF

WAKATI watani wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanakutana usiku wa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mashabiki wa timu hizo wanatambiana kwa mambo mawili.
Yanga wanajivunia kuwafunga mara nyingi zaidi wapinzani wao katika mechi zilizozikutanisha timu hizo, wakati Simba wanajivunia vipigo vya mabao mengi, vikiongozwa na kile cha 6-0.
Takwimu from 1975.....hadi 2017

Katika mechi 98 za Ligi Kuu na iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano zilizozikutanisha timu hizo
Tangu mchezo wa kwanza Juni 7, mwaka 1975, Yanga imeshinda mara 36 wakati Simba imeshinda mara 26 na mechi nyingine 33 timu hizo zikitoka sare.
Kwa tafsiri hii Ni kwamba Simba ( kolo) Ni wanyonge likija swala la dabi ....sababu ya Simba kufungwa Sana Ni kuendekeza uchawi ....kuliko uhalisia ( wanajikuta ndani ya mtumbwi wa vibwengo)...

Utabiri wangu........
Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima????? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchiiii.....huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1

Je!!!!!! Utabiri wako umeendaje????

Kwako mkuu Mshana Jr

View attachment 2321496

Kwa akili hizi ndiyo mualikwe kwenye mkutano wa watu wastaarabu? Nyie mtabaki kuwa walalamishi na kuishi kwenye historia huku dunia ikiendelea mbele
 
Salaam ndugu Wana JF

WAKATI watani wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanakutana usiku wa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kuwania Ngao ya Jamii, mashabiki wa timu hizo wanatambiana kwa mambo mawili.
Yanga wanajivunia kuwafunga mara nyingi zaidi wapinzani wao katika mechi zilizozikutanisha timu hizo, wakati Simba wanajivunia vipigo vya mabao mengi, vikiongozwa na kile cha 6-0.
Takwimu from 1975.....hadi 2017

Katika mechi 98 za Ligi Kuu na iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano zilizozikutanisha timu hizo
Tangu mchezo wa kwanza Juni 7, mwaka 1975, Yanga imeshinda mara 36 wakati Simba imeshinda mara 26 na mechi nyingine 33 timu hizo zikitoka sare.
Kwa tafsiri hii Ni kwamba Simba ( kolo) Ni wanyonge likija swala la dabi ....sababu ya Simba kufungwa Sana Ni kuendekeza uchawi ....kuliko uhalisia ( wanajikuta ndani ya mtumbwi wa vibwengo)...

Utabiri wangu........
Kila nikiiseti ramli yangu iniambie matokeo ya kesho naona mtambo wangu unazima????? Ila nasikia shangwe kwa mbali za wananchiiii.....huku nikisikia wanaimba wameshinda 2__1

Je!!!!!! Utabiri wako umeendaje????

Kwako mkuu Mshana Jr

View attachment 2321496
NO DOUBT, IKO WAZI
 
JamiiForums483970616.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIMBA watabaki kuwa SIMBA.. Labani og umeshawahi kuona damu ya manjano? Lakini nina hakika umeshawahi kusikia ugonjwa wa manjano.. Ama kuugua
Screenshot_20220812-071043.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba kwa Yanga ni kama ngoma pombe ya ngomani tu unajichotea na kunywa.

Simba hawana na timu ya kucheza na Yanga hii, wamejaliwa kelele tu.
Mkuu....una maanisha chama + BOCCO + mdhuungu hawana jipya???
 
Back
Top Bottom