yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Wakati Yanga na Simba na timu nyingine za ligi kuu zinapishana kwa waganga, Polisi Tanzania wajisalimisha kwa nabii

    Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa. Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi...
  2. Tango73

    JamiiForums Tanzania Yanga fuatilia mechi za El hilal au St george kabla ya Oct 7

    Yanga itapambana na mmoja kati ya timu hizo ili mshindi aingie mechi za makundi. Tatizo lipo kwetu yanga tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini kutokana na ratiba ya mechi . Ili kuzifunga mabao mengi nyumbani El Hilal au St George ni lazima kujua aina ya uchezaji wao ili mbinu zetu...
  3. Jackbauer

    JamiiForums Tanzania Yanga inapoingia kipindi cha pili ni hatari mno!!!!!

    Miaka nenda miaka rudi Yanga ni timu hatari imapoingia kipindi cha pili.
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 5-0 Zalan (Agg 9-0) | Caf Champions League | Mkapa Stadium | 17-09-2022

    Mchezo wa pili baina ya Yanga dhidi ya Zalan kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, leo Jumamosi Septemba 17, 2022, ni Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo wa kwanza Yanga ilishinda kwa mabao 4-0. Kumbuka mshindi wa mchezo huu ataenda kukutana na mshindi kati ya Saint George ya...
  5. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Rekodi ya Yanga ya Kibabe Africa

    YANGA imeendelea kuboresha rekodi yake ya kucheza mechi mfululizo za Ligi Kuu Bara bila kupoteza, ikifikisha 41, baada ya Jumanne wiki hii kuifumua Mtibwa Sugar kwa mabao 3-0 katika pambano lililopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Mara ya mwisho kwa Yanga kupoteza...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Good news: Wenye nia njema na Yanga huko CAF wamtetea Mayele, kiatu CAFCL ni chake mwaka huu, aibu kwa Karia na Motsepe

    Mungu ni mkubwa sana, baada ya figisu ya kumfungia miaka 2 msemaji aliyeipa ubingwa Yanga baada ya kuukosa kwa miaka 4 ndugu Manara , figisu ziliendelea sana Tukaona wachezaji wa Yanga wakitaka kuvunjwa miguu marefa kimya, adhabu ya Inonga hadi leo kimya, kamati ya masaa 72 huwa ni kuwaadhibu...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Siiogopi Yanga SC, ila ninauogopa zaidi huu Muunganiko wao Hatari, Tukuka na Mtakatifu ufuatao

    Winga ya Kulia Morrison, Winga ya Kushoto Kisinda, Mbele anasimama Mayele halafu nyuma yake kidogo yuko Aziz K huku wote hawa wakiwa Wanatibiwa vyema na Daktari bora kwa sasa ndani ya NBC Premier League Aucho. Natangaza mapema hapa hapa JamiiForums kuwa nikiwa kama mwana Simba SC Tukuka kwa huu...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hivi Simba na Yanga wana official anthems?

    Eti wakuu. Hizi timu zina nyimbo rasmi?
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC hivi Mechi yenu 'Nyepesi' ya Marudiano na 'Zalan Ndembendembe FC' ni ya kuifanyia 'Promo' Redioni?

    Hivi Bondia Anthony Joshua ( Uingereza ) akijua kabisa anaenda Kupigana na Bondia Mchovu na asiye na Uwezo wowote ule Kwake Twaha Kiduku ( Tanzania ) anaweza kweli akajitangaza na akaitangaza ( akaipigia sana Promo ) Redioni? Acheni Ushamba ( Umbwiga ) Mechi pekee ya Kupigwa Promo na ya maana...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PAMOJA NA GSM kumwaga hela YANGA wanachukua tena Ubingwa

    Pamoja na GSM kumwaga hela kwa timu SImba inacheza nazo kama tulivyoona kwa Prison Kuaahidiwa hela nyingi wakiifunga SIMBA bado simba msimu huu tunawakati Mgumu sana. Kwa Yanga hii me nadeclare Mapema KABISA YANGA HATUWAWEZI MSIMU HUU TENA. Pia mechi za YANGA vs SIMBA na SIMBA vs YANGA hapa...
  11. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Onyango alivosikia Kisinda amerudi Yanga akaomba kuondoka, alivyosikia TFF wamemfungia akarudi Simba, asiyempenda karudi, sasa itakuwaje?

    Hapa Onyango atajilaumu kwanini karudi maana alivyosikia anakuja aliomba kuondoka, namuonea huruma Babu wa watu. Naona muda wa kupimana Umri umefika Sasa, Shida iko PALEPALE Onyango alikubali kusalia ukoloni baada ya kusikia mwamba kapigwa pini, Ila sasa aliko huko hana raha.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje Makosa ya Timu ya Yanga yanarekebishwa na TFF ? Wajuzi wa Mambo hii imekaaje ?

    Hii barua ya TFF inajieleza kabisa kwamba usajiri wa Kisinda ulishindikana sababu Yangu walikuwa na wachezaji wengi wa kigeni na Dirisha lilishafungwa ,Kisinda anaingiaje sasa Wajuzi wa mambo ?
  13. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Kisinda ruksa kuichezea Yanga

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepitisha usajili wa Twisila Kisinda kuichezea Yanga baada ya klabu hiyo kumuhamisha mchezaji wake wa kigeni Lazarous Kambole. Awali Kamati hiyo ilizuia usajili wa Kisinda licha ya kuwa ulifanyika ndani ya...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga inachukia wachezaji walioumia kazini?

    Sera ya Yanga ya kuachana na wachezaji wake walioumia viwanjani inaidhoofisha yanga. Mwenzako akinyolewa tia zako maji ndicho kinachoendelea kwenye akili za wachezaji. Wachezaji Yanga wameingiwa na hofu ya kucheza kwa kujituma kwa kuhofia kupata majeraha mabaya, na hii ndio sababu wachezaji wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Octoba 23 2022 ni Yanga VS Simba

    Wanasimba mwezi wa KUMI unakuja. Tufanye nini ili tuweze kuwafunga YANGA msimu huu. TUmechoka sasa kufungwa kila mara. Mikakati iwekwe mapema tuwaue hawa utopolo this is too much. Angekuwepo Hans Pope nisingekuwa na naiwazia mechi hiyoo ila kwa sasa Viongozi wa simba hawapambani sana kama...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Timu zinazocheza na Yanga hawakazi kama wakicheza na Simba

    Hizi timu zinazocheza na Yanga za hapa nchini hazikazi kama ambavyo zikicheza na Simba. Jana Mtibwa walikuwa kama wagonjwa, beki hazikabi, kipa ovyo kabisa. Kwa hali hii Simba tujipange kuna dalili wenzetu wananunua mechi. TFF iwe makini sana na mechi fixing! Haiwezekani beki anajiangusha kipa...
  17. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaovuta mkwanja mrefu Yanga SC

    WACHEZAJI WANAOVUTA MKWANJA MREFU YANGA SC: 1.Aziz Ki -Sh 23.2M 2.Morrison -Sh 23.2M 3.Aucho - Sh 16.2M 4.Mayele - Sh 16.2M 5.Diara-Sh 9.2M
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 3-0 Mtibwa | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium

    Yanga wanaongoza kwa goli la freekick ya Djuma Shaban 37' Mayele anafunga goli murua baada ya kupiga chenga mabekibwa Mtibwa Kipindi cha kwanza kimekamilika Yanga wanaongoza magoli 2-0. MAPUMZIKO 81' Yanga wanamiliki mpiramuda mwingi 83' Kasi ya mchezo siyo kubwa, ni kama Mtibwa wameshakata...
  19. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Mech ya Yanga Vs Mtibwa ipo au haipo??

    Mbna sion uz ukianzishwa? Wadau tupen taarifa
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naona taratibu sasa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anaanza Kuwafanya wana Yanga SC wote ni Mazuzu

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said katika Mkutano wake na wana Yanga SC katika Mikutano yao ya Kikatiba aliwahi kusema kuwa Udhamini wa Jezi wa GSM kwa Yanga SC umeipatia Klabu hiyo Tsh Bilioni Nane ( 8 ) kwa Mwaka na Mazuzu kama Kawaida yao Wakamshangilia na Kushangilia. Jana tu Rais wa Yanga...
Back
Top Bottom