Je, mnapendelea Jezi mpya za Simba au za Yanga?

OleWako

New Member
Sep 7, 2021
4
5
Timu kubwa za nchi, Simba na Yanga, zote mbili zimezindua jezi mpya zao kwa msimu 22/23.

Styles zao zinatofautiana sana. Paintbrush elements za Simba kwenye kila jezi zinapigana na alama za vidole za Yanga.

Siku hizi si Simba vs. Yanga tu kwenye mada za jezi. Tangu msimu 20/21, GSM na VunjaBei zinashindana kutengeneza jezi nzuri zaidi kwa timu zao.

Mnasemaje, nani ameshinda msimu huu wa jezi? Simba au Yanga? VunjaBei au GSM?

Na uzi upi mnapenda zaidi kuliko zote zilizozinduliwa?

297362945_1481907332271562_169390045400735485_n.jpg
296379526_1481906038938358_7953684376640690639_n.jpg
296371731_1481904288938533_7058484075615131550_n.jpg
296448031_5431849303503091_2418910487811504966_n.jpg
296654813_5431613326860022_489362060069328453_n.jpg
296370180_5431444573543564_1576704023004520720_n.jpg
 
Picha izo za jezi za Yanga zina kama kiza flani ujaweka picha zenye mwanga mzuri kama picha ya jezi za Simba.
 

Attachments

  • Capture-60.png
    Capture-60.png
    80.6 KB · Views: 11
  • FYxUxROWYAQusCm.jpg
    FYxUxROWYAQusCm.jpg
    101.4 KB · Views: 10
  • 296321542_444159864251389_3704326707530354948_n-1-810x1013.jpg
    296321542_444159864251389_3704326707530354948_n-1-810x1013.jpg
    58.1 KB · Views: 12

Similar Discussions

Back
Top Bottom