yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga wachukizwa na kauli ya Hersi kuhusu TFF

    Siku zote tunawaambia wanayanga kwamba Hajj Manara ndiye mwenye uchungu na team hiyo anayoipigania kwa moyo mmoja bila kujali maslahi ya pesa Kitendo cha kuweza kuvitoa virusi sugu viitwavyo Nugaz na Bumbuli hapo klabuni vimemuongezea credit sana kwa wanazi wa yanga, jinsi alivyompa makavu...
  2. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Rekodi za Kibabe: Yanga VS Waarabu mashindano ya CAF

    Kwa kuwa Yanga wana mechi na waarabu wa Sudan AL-HILAL nikalazimika kwenda kupekuwa pekuwa kwenye kumbu kumbu za CAF kama Yanga wamewahi kufanya jambo lolote dhidi ya waarabu hapo Taifa nilichokutana nacho aisee SHIKAMOO YANGA Confederation Cup 2018 Young Africans-USM Alger 2-1...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Barbra CAF; kejeli za Yanga ni ushahidi wenye akili ni wawili tu?

    Baada ya mwanamama Barbra CEO wa Simba Sc kuteuliwa CAF kumekuwa na kejeli za kila aina kutoka Yanga. Kejeli hizi zinafanya nje na ndani ya JF. Kuhusu uwezo wake hakuna shaka, hata wanaokejeli humu wanalijua hilo. Ila najiuliza shida nini tumekuwa haters wa kiwango hiki? Mtindo huu wa maisha...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Ally Kamwe Kaka zako tulikuonya kuacha Kujipendekeza Yanga SC, kwa Manara na kuwa Mnafiki ili uwe Msemaji wao hukusikia

    Haya sasa Ally Kamwe nakuwekea hapa Maelezo marefu ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara dhidi yako ili umjue alivyo Mnafiki na Mfitini hata kwa Marafiki zake na wana Yanga SC Wenzake. Ally Kamwe MImi Binafsi kama GENTAMYCINE nimeshawahi Kukuonya hasa kule katika Kurasa zako za Instagram...
  5. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Namna Yanga inaongelewa huko Sudan kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mechi yao na Al hilal (by google translate)

    NAMNA YANGA INAONGELEWA HUKO SUDAN🔥🔥🔥 Wafahamu kiufupi YOUNG AFRICANS @yangasc wapinzani wa AI Hilal Round ya kwanza CAFCL Hawa ndio wafalme wa soka la Tanzania, ndiyo Klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo (28) wakifatiwa na wapinzani wao ambao ni watani wao wa Jadi klabu ya Simba...
  6. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Hakuna muda wa kupoteza, YANGA inatakiwa icheze mechi za kirafiki za kimataifa kipindi hiki Cha mapumziko mafupi

    Ni ushauri tu. Ili kuwaongezea morali wachezaji wa Yanga kuelekea mechi ya hatua ya Kwanza, zidi ya Al hilal, Yanga icheze mechi za kirafiki angalau mbili ili kujiridhisha na ubora wa kikosi Cha team yake kimataifa. Tumeona jinsi Tp mazembe alivyopania kuvuka hatua hii maana tayari Jana kacheza...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wakati tunasubiri ni afisa habari gani wa Yanga atachaguliwa na Manara tuwe na subira

    Watu wametuma maombi wengi kwelikweli lakini ni lazima THE GENIUS HAJJ MANARA msomi mwenye degree mbili moja ya media toka south africa na moja ya political science toka china aridhike na kumpitisha Ikumbukwe kwa muda mfupi mshabiki huyo kindakikindaki aliyejiunga yanga miezi kadhaa iliyopita...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GSM na Yanga SC huu Uhuni ipo Siku utawagharimu na mtalaanika vibaya sana

    Kama kawaida yenu kila mkiona kuwa katika Timu fulani kuna Changamoto ambayo itawafanya mkicheza nao msishinde huwa mnatumia Nguvu ya Pesa na Fitina kwa msiyemtaka. GSM na Yanga SC kwa kujua kuwa mnakaribia kucheza na Ihefu FC na mnaogopa kuwa Kocha Zubery Katwila ( mwana Simba SC) anaweza...
  9. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Simba, Yanga, na vilabu vyote, vitengo vyenu vya habari vijiongeze vifanye majukumu yao kikamilifu

    Kila siku huwa najiuliza hivi ni kweli hivi vilabu vyetu vina vitengo kabisa vya habari na mawasiliano? Au ukishakuwa na smartphone na kujuwa kubwabwaja na kupost mipasho ndio imeisha hiyo? Mimi Leo naomba niwaongeze ili msijizime data mjiupdate, wachezaji masuper star majina yao yanatumika...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Yanga watashinda mbili kwa moja nyumbani, na kutoa sare ugenini, hivyo kufuzu kwa hatua ya makundi

    Huu ndio utabiri wangu kwa Yanga watapocheza na Al Hilal ya Sudan nyumbani na ugenini. Kwa upande wa sare, uwezekano mkubwa ni sare ya moja moja au mbili mbili na si zaidi ya hapo Tofauti na hapo, ni ushindi wa tatu kwa mbili nyumbani na sare ya mbili mbili ugenini. Msisime sikuwaambia.
  11. Kilimbatz

    JamiiForums Tanzania Naona Yanga wameshavamia official pages za Al Hilal

    Huu utaratibu naona unazidi kukita mizizi hapa nchini Naona mpira sasa unachezwa mtandaoni hadi uwanjani Tuliona kwa Zalan,je Wananchi watafaulu na kwa hawa wazee wa Sudani!? Muda ni mwalimu mzuri
  12. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Yanga imedhihirisha ukubwa wake Afrika

    Wakuu, ni wazi kabisa katika ukanda huu wa CECAFA mkubwa wa soka amerejea mahali pake. Pamoja na upepo mbaya uliopita miaka kadhaa nyuma, sasa Yanga inathibitisha rasmi kuwa ndio klabu kubwa Afrika Mashariki na Kati kwa kuteka hisia na mioyo ya mashabiki mitandaoni na nje ya mitandao ya kijamii...
  13. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hili la Yanga SC kuanzia nyumbani kila mwaka kwenye CAF Champions League ni uonevu

    Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini? Mbona wenzetu Simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu? [emoji25][emoji25]
  14. Lyrics Master

    JamiiForums Tanzania Mimi ni shabiki wa Yanga na Juma Ramadhan Mgunda

    Nimewahi kumuuliza mwandishi na mchambuzi mmoja maarufu, kwanini makocha wengi wa Tanzania hawafundishi soka nje ya nchi, jibu nililopata sikuridhika nalo sana. Alinijibu kuwa ligi yetu imekua sana na ni ligi bora afrika mashariki na kati hivyo makocha wetu wanaona bora wabaki hapahapa nchini...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Yanga kwa utaratibu huu watalia siku moja

    tangu kuanza kwa ligi klabu ya Yanga imekuwa ikipata matokeo kipindi cha pili. wasipobadilika itawacost siku moja hasa katika mashindano ya CAF coz timu zijazo sio za kitoto.
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Naweka dau laki 3; Yanga hatoki kwa Al Hilal

    Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi. Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wabunge mliopiga Makofi na Watendaji wa Spika nani Kawadanganya kuwa Mgeni Manara ni Msemaji wa Yanga SC?

    Nilikuwa nakataa kuwa Bunge la sasa limejaa Wabunge dhaifu (ukiwaondoa tu wale wasio Mashabiki wa Yanga SC) ila kwa Upuuzi (Udhaifu) uliotokea leo Bungeni nimekubali na Mimi sasa naanza Kuwadharau. Spika tafadhali ajiri Watu makini hapo Ofisini Kwako na hapo Bungeni ndani ili wasije Kujiaibisha...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Good news kwa Yanga: Mvurugano Al Hilal waihofia Yanga, Ibenge kachanganyikiwa

    Baaada ya Yanga kuichakaza team ngumu ya Sudan Kusini kwa bao 9-0 (yes ni ngumu ni mabingwa na siyo dhaifu kama unabisha na wewe ni dhaifu maana mayelle alikupiga bao 2) hali hapo jijini Khartoum siyo nzuri kwa vigogo wa team. Jana baada ya ushindi wa magumashi dhidi ya team dhaifu ya waimba...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki na wanachama wa simba Matumaini yao makubwa wameyaweka kwa Al hilal kumtoa yanga

    Ni wazi kwamba mashabiki na wanachama wa simba wameweka matumaini makubwa kwa Kuisifia Al hilal jinsi itakavyomtoa yanga na wanakwenda mbali zaidi kuapa ya kwamba ndo mwisho wa yanga awatoboi, lakini nafikiri wasichokijua hii ni yanga ambayo aijaingia kwenye hii michuano kwa kubahatisha, yanga...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga imejipeleka Al Hilal; itapigwa kama ngoma

    Hawa ndio wafalme wa Soka la Sudan, Ndio klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo na Ndio Wawakilishi Bora zaidi wa CECAFA kwenye CAF. Hilal imeshacheza Fainali za CAF mara 2 zote Ilipoteza, Ilikua 1987 Kwa Ahly ya Misri na 1992 Kwa Wydad Casablanca ya Morocco. Imecheza nusu Fainali ya...
Back
Top Bottom