Naweka dau laki 3; Yanga hatoki kwa Al Hilal

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
40,750
75,631
Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.

Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.
 
Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
4,618
3,574
Kwa hisani ya gugo.....

The name Hilāl is the Arabic word for crescent – a name chosen on a night when the crescent of the moon was visible in Omdurman. Also it is the first club in the world to be named (AL- HILAL).

On top, tukiweka records za team kwa team aisee jamaa wako mbali na Yanga wana mlima mrefu wa kuupanda ingawa huwezi jua mpira dk 90 ndani ya uwanja na mengine nje ya uwanja. Records za michuano hii zinaibeba Omdurman na pia uwanja wao unapakia 60000....na mashabiki wao Oya Oya za kutosha acha wetu akipigwa chenga mchezaji na tukifungwa au kusawazishiwa tunapoa kupoa.

Mie Mnyama ila Nawatikia kila la heri
 
kyata

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
2,204
1,978

Inshallah tusubiri dk 180 ziamue
 
Gucci gang

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
1,351
1,885
Ah mkuu mi nataka wavuke
Kama mtani wao mm nataka wavuke

Wakishaingia makundi ndo safi
Pale ukifungwa hutoki baada ya mechi mbili
Wanajipakulia weeeeeee sisi tunaenjoy wanajipakulia weeee sisi tunaenjoy bar kuangalia uto
Mpaka mechi zote za makundi zikiisha watu tumeneemeka vya kutosha
 
ndiga

JF-Expert Member
Jan 28, 2014
383
372
Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.

View attachment 2361516

Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.

Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.
Hizo hela toa sadaka kama huna kazi ya kuzifanyia.
Hiyo timu iliyofuzu kwa goli la ugenini itakuumbua wewe subiri na uone kitu gani tutaifanyia hadi ubaki umeduarika.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
vibertz

Senior Member
Mar 15, 2022
119
151
Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.

View attachment 2361516

Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.

Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.
Una haingaika tu bado, yaani ule uzi ulianzisha hukutosheka nao tu?
 
NAJYUZ

JF-Expert Member
May 10, 2021
816
1,111

20220918_111805.jpg
 
OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
40,750
75,631
Ah mkuu mi nataka wavuke
Kama mtani wao mm nataka wavuke

Wakishaingia makundi ndo safi
Pale ukifungwa hutoki baada ya mechi mbili
Wanajipakulia weeeeeee sisi tunaenjoy wanajipakulia weeee sisi tunaenjoy bar kuangalia uto
Mpaka mechi zote za makundi zikiisha watu tumeneemeka vya kutosha
Hata mimi nataka, ila najua hawana uwezo
 
Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
13,853
9,546
Una haingaika tu bado, yaani ule uzi ulianzisha hukutosheka nao tu?
Yaani kuna watu wajinga sijapata kuona. Hiyo timu inavyopigiwa upatu utadhani ni tishio, lakini kama una akili timamu unajua hata kufuzu kwao hatua hii wamepata taabu kweli, ushindi mwembamba wala sio kitu cha kutisha. Sema kuna watu wamejaliwa midomo michafu nyenye kuwashwa kutema shombo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

24 Reactions
Reply
Top Bottom