Mchambuzi Ally Kamwe Kaka zako tulikuonya kuacha Kujipendekeza Yanga SC, kwa Manara na kuwa Mnafiki ili uwe Msemaji wao hukusikia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
Haya sasa Ally Kamwe nakuwekea hapa Maelezo marefu ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara dhidi yako ili umjue alivyo Mnafiki na Mfitini hata kwa Marafiki zake na wana Yanga SC Wenzake.

Ally Kamwe MImi Binafsi kama GENTAMYCINE nimeshawahi Kukuonya hasa kule katika Kurasa zako za Instagram na Twitter kuwa Uache Kuichukia na Kuichafua Simba SC kwa Kutumiwa na huyu huyu Rafiki yako mkubwa Haji Manara kwa Ahadi ya Malipo na Kukupigia Chapuo uteuliwe Wewe kuwa Msemaji wa Yanga SC.

Nafasi ambayo nimeambiwa na Watu wako wa Karibu kuwa Unaitaka mno, Unaiendea mno Zanzibar ( kwa mambo yetu yale ya Kiswahili ) na Unajipendekeza Kutwa kwa Rais wa Yanga SC Hersi Said na Watu wa GSM ili uipate hiyo Nafasi ambayo tayari GENTAMYCINE nimeshaambiwa hutoipata na ataipata Mwenzako Mmoja mwenye Initials za JK wa Media Moja Kubwa ya Mikocheni.

Na ulivyo Mnafiki Ally Kamwe baada ya kuona kuwa hutoipata tena Nafasi hiyo ya Usemaji Yanga SC baada ya Rafiki yako mkubwa na uliyekuwa Ukijipendekeza Kutwa Kwake Kukusagia Kunguni kwa GSM na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said sasa umewageuka na umeenza Kumchafua Haji Manara na Kuiponda Yanga SC huku Kiunafiki ukijifanya Unaisifia Simba SC ambayo tunaokujua tunajua kuwa huipendi kuliko hata Shetani.

Haya sasa Ally Kamwe ambaye najua huwa Unanisoma na Kunifuatilia mno tu Mimi GENTAMYCINE hapa JamiiForums nakuwekea hapa chini Majibu ( Maelezo ) ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara juu ( dhidi ) yako ili Siku zingine uwe Unatusikiliza na Kutuheshimu Kaka zako tuliokutangulia Kuujua Mpira na Kuzijua hasa Fitina za Mpira wa Tanzania hasa unaohusisha hivi Vilabu vikubwa Viwili vya Simba na Yanga vyenye Uswahili na Majungu tupu.....

“...Ally (Kamwe) ni mwandishi mzuri lakini nashangaa kauli yake aliyoitoa kwenye interview yake kuwa mimi nimemchafua, Mimi nimefungiwa hebu niacheni uhuru,

Kilichofanya nimblock nikuleta kwenye group la WhatsApp (Group la Taifa Stars) story ya familia yangu, kunizalilishia mwanangu wa kumzaa, alafu unanikuta mapinduzi cup unanisalimia ? Mimi Sitaki unafiki,

Kaitukane familia yangu huko kwenye magroup mengine lakini sio la michezo ambalo Mimi ni admin siwezi kukuvumilia unamtukana Binti yangu alafu unanisalimia mimi niitikie ?,

Mimi ni content msijaribu kunichafua Kwa sababu mnataka kazi Yanga mdogo wangu Ally nimekukosea Nini?
,

Nimemsaidia lakini ananisema kwenye mitandao ya kijamii alafu nikae kimya Mimi siyo mnafiki, yaani yeye awe na haki ya kuwakosoa wenzake lakini yeye hataki kukukosolewa, Mambo ya Januari Kwa Nini ayaseme Leo yaani Mimi niliyekusaidia niwe mbaya ?,

Wakati naingia Yanga niliulizwa nani unataka akusaidie nilimtaja Ally Kamwe lakini uongozi wakaniambia niwe na subira kama aamini afuatilie
,

Nimekunyima kukupa mkono lakini ungekaa nalo mwenyewe kwanini uanze kuongea kwenye mitandao ya kijamii?,

Kilichonifanya nijibu ni kwamba eti Mimi ninazuia msemaji mpya wa Yanga asiajiriwe mpaka mimi nirudi, nimeipata wapi hiyo nguvu jamani hebu niangalieni usoni nawezaje kusema hivyo, nguvu natoa wapi, Mimi sishiriki kwenye mchakato wa kutafuta mtu wa kuajiriwa,

Watu wa Yanga wanajua watamchukua nani msinisingizie waliomba nawajua na nikiwataja nitawavua nguo, mchakato wa kumtafuta mtu nitakuwa na likizo ndevu nje ya Nchi ili nyinyi mfurahi maana nimeshafungiwa Bado mnanifata basi nife mje kaburini kwangu mpige na magoma,”

🗣️𝗛𝗔𝗝𝗜 𝗠𝗔𝗡𝗔𝗥𝗔
Via Wasafi Fm

Nami GENTAMYCINE namalizia kwa Kukuambia ( Kusema ) pole sana na mno Mchambuzi Ally Kamwe ila Mwenzako JK wa Mikocheni Media ndiyo ana 95% za Kuteuliwa kuwa Msemaji wa Yanga SC kwani Yeye hakuishia tu Kujipendekeza kwa Rais wa Yanga SC bali hata GSM Mwenyewe anamtambua.

Na ni mwana Yanga SC ambaye popote pale Klabu ikiwepo ( ikienda ) nae yupo halafu anakubalika zaidi na Wanachama pamoja na Wapenzi wa Yanga SC kuliko Wewe ambaye ni Mnafiki, Mnazi na mwepesi Kushawishika kwa Ahadi ya Pesa ( Hela )

Imeisha hiyo........................ Kudadadeki!!!
 
Mtoa mada na ww uwe unatumia akili kwenye utetezi wa manara. Huyo mtu wala aaminiki hata kidogo kitu kidogo anakifanya kuwa nongwa.sio mtu wa kumuamini kabisa labda angeweka huo ushahidi wa kutukaniwa familia yake. Alafu kwa mnavyomjua manara atukaniwe familia yake akae kimya kweli?????

Mtoa mada jifunze basi kumjua huyo manara.hadi leo humjui hila zake hapa mjini ????????
 
Kikabwili

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
@SAGAI GALGANO hivi kwanini kila mtu unapenda kumuhusisha na michezo ya 'kutiana'

Kila mtu wa Yanga lazima umuhusishe na michezo hiyo.

Hivi nini kipo nyuma ya wewe kuwahusisha watu na hayo mambo.

Usimba na Uyanga usikufanye ukawa 'mjinga' kiasi cha kutaka kuharibu 'fame' ya mtu.

Tuendelee kutaniana kistaarabu pasipo kuvunja miiko ya utu na ustaarabu.
 
@SAGAI GALGANO hivi kwanini kila mtu unapenda kumuhusisha na michezo ya 'kutiana'

Kila mtu wa Yanga lazima umuhusishe na michezo hiyo.

Hivi nini kipo nyuma ya wewe kuwahusisha watu na hayo mambo.

Usimba na Uyanga usikufanye ukawa 'mjinga' kiasi cha kutaka kuharibu 'fame' ya mtu.

Tuendelee kutaniana kistaarabu pasipo kuvunja miiko ya utu na ustaarabu.
Wapi nimetaja 'kutiana'? Hayo ni yako mwenyewe na tafsiri zako mimi siko huko kama hiyo ndiyo michezo yako ni wewe tu.
 
Yuko Rayon Sports ya Rwanda,ila ameacha wenzake tisa wa ile jinsia ya tatu hapo utopoloni

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wengine hawa
images.jpg
 
Back
Top Bottom