yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Yanga ina bahati ya kukutana na timu ngumu ngumu

    Je, mnajua kama Vipers wa siku ya mwananchi ametoa sare na TP Mazembe leo? Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Afrika WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndiyo atalinganisha Al Hilal na hawa Agosto wa Namungo?
  2. luangalila

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga jana waliamini wanashinda goli 4 kama walivyoaminishwa!

    Nikiwa katika mihangaiko yangu tu ya hapa mjini, nikapita katika vijiwe viwili tofauti vya mashabiki wa Yanga SC, niligundua kumbe ni kweli jana mashabiki wengi waliamini Msudan angekufa kwa magoli 4 . Wasiwasi wangu hii tabia ya kuwaaminisha mashabiki ni kitu kibaya, sijui hao waliko Angola...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Azam kuonesha mechi ya Yanga na Al Hilal

    Naam, baada ya vibonde Al Hilal kunusurika kupigwa kama ngoma uwanja wa Mkapa silaha yao kubwa iliyokuwa imebaki ni kutaka kuchezea mechi gizani, yaani isonyeshwe kwenye TV. Lakini Azam TV wamefanikiwa kupangua baada ya kuwashawishi ma bosi wa Al Hilal kuonyesha mechi hiyo. Ikumbukwe kwamba...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Faida ya Yanga kutoa sure kwa mechi ya marudiano

    Mara nyingi timu inaposhinda nyumbani, ikienda ugenini hujipanga kutafuta sare ya aina yoyote na kwa maana hiyo, hucheza zaidi mchezo wa kujihami na si kutafuta magoli. Hali hii huzigharimu timu nyingi kwani hupelekea kushambuliwa huku yenyewe hushambulia kwa kukabiliana zaidi badala ya...
  5. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Hipi ni sababu inayowafanya yanga wasivume kimataifa? Kwanini simba waweze?

    Ninawaza kwa sauti kubwa saana hapa, nimeona clip nyingi watu wakipiga kelele kisa ku droo na al hilal 😂😂, Hivi wana feli wapi? Wana yanga wana imani kubwa sana na kikosi chao lakini wanashangaa walivyotaabika jana almanusura wapasuke wamshukuru diara. Wana yanga wana amini sana kwamba simba...
  6. aka2030

    JamiiForums Tanzania Tatizo namba moja Yanga ni Eng. Hersi Said

    Huyu jamaa ndiyo tatizo kubwa Yanga, pamoja na ndiyo kuwa sababu ya GSM kuweka Yanga ila jamaa hafai. Kila kitu anajua na anataka afanye yeye! Hawezi usiri kwenye mambo ya Yanga, mbaya zaidi anaingilia kila majukumu na tamaa yake ya kuonekana kwenye TV kila siku. Rais anaonekana kwenye TV zaidi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Yanga ameondoshwa kwenye michuano kama baadhi ya mashabiki wanavyofikiria

    Nimeona baadhi ya mashabiki wa Yanga na wengine wa upande wa pili wakiwaponda Yanga kwamba tayari wametolewa kwenye mashindano na Al hilal. Mpira hauko hivyo waungwana, bado Yanga anayo nafasi ya kusonga mbele tena kubwa sana. Katika mechi ya Jumamosi sikuona kitu cha ziada ambacho Al hilal...
  8. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Mechi ya marudiano itakuwa rahisi kwa Yanga

    Leo Yanga wamekubali kuingia kwenye mtego wa Al Hilal kirahisi sana. Mechi ijayo itawezesha Yanga kuwafunga Hilal ikiwa watatumia kikosi kifuatacho; Aishi Manula Mohamed Husein Shomari Kapombe Bangala Hinonga Kanoute Morrison Okrah Chama Phiri Mayele Hawa ndio wachezaji pekee wanaoweza...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kocha Ibenge: Kutoka sare na Yanga ni majuto makubwa

    "Tulikuwa na nafasi nyingi za kufunga, kutoka sare ni majuto makubwa kwangu," Kocha Ibenge. Nilichochukua: Yanga imetutia aibu, "Iwe jua iwe mvua" halafu mnaokolewa na kipa? "Katika uwanja wao wa nyumbani Al-Hilali anamuuliza Fiston Mayele mbona hujatetema leo?"
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga wenzangu si tulikubaliana tutawapiga kama ngoma, sasa nini kimetokea?

    Vikao vyote tulivyokaa takribani mwezi mzima sote kwa pamoja tulikubaliana kuwa, hawa Wasudani bado wanajitafuta hivyo tutawapiga kama ngoma. Sasa nini kimetokea? "IWE MVUA IWE JUA SUDANI HAWATOKI!"
  11. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Njooni wataalam wa soka tuichambue mechi ya Yanga Vs Al- Hilal

    Mimi kwa upande wangu naweza nikachambua kama ifutavyo: - Kipindi cha kwanza Al-Hilal waiingia na mpango wa mchezo wa kuilazimisha Yanga icheze mpira wa taratibu, na Yanga waliwezwa sana! Maana kipindi chote walicheza mpira ambao si wao kabisa. - Kipindi cha pili goli la Al-Hilal...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ujinga uliopitiliza wa Digital Manager wa Yanga Priva Mangi Shayo

    Jamani hivi ni wehu au ushamba wa haya ma dude ya rangirangi unaweza kuyatumia saa kumi jioni yakaleta impact? Yataakisi vipi sasa? Mwishowe sasa mtasema hadi tochi za simu zitawashwa! Meneja wa kitengo wa timu unapotezea tu watu hela zao, wayanunue waje wayawashe washindane na mwanga wa jua...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mabeki wa Yanga kuiokoa timu leo dhidi ya Al Hilal

    Wengi tunatarajia magoli toka kwa akina Mayele n.k, leo mabeki wa Yanga wanaenda kuokoa timu yao. Yanga itashinda magoli 2, tutarajie penalty kwenye mchezo. Ft 2-0/2-1/3-1 Kila la kheri Yanga.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini ya Tsh. Milioni 345 kutoka FIFA, yatakiwa kumlipa Kocha Luc Eymael

    Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu. Faini hiyo inatakiwa ilipwe siku 45 kuanzia leo la sivyo watafungiwa kusajili kwa misimu 3! Yanga instructed...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Chungu na tamu za watabiri mchezo wa Yanga na Al Hilal (first leg & second leg)

    Kila mtu katabiri anavyoweza, nilichoamua kufanya mimi ni kutumia hesabu za darasa la saba tuu kutafuta matokeo ya jumla. Kupitia humu humu Jamii Forums watu 12 walijaribu kutoa nyuzi au maoni kwenye nyuzi za wengine jinsi matokea yatavyokuwa. Nikaamua kuchukua idadi ya magoli yote ya Yanga...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Maono: Yanga atafungwa 1-0 na Al Hilal

    Haya ni maono, kwa watu wa michezo ya kubahatisha betting mnaweza kutumia huu mkeka. Siku ya Jumamosi Yanga atacheza na Al Hilal ya Sudan. Matokeo yatakuwa Yanga 0 - 1 Al Hilal. Kwa upande wa Simba Sc matokeo hayatakuwa mbali sana na atakayopata Al Hilal, naye Simba atashinda 1 bila ugenini...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe bila kuicharura Simba ondoka Yanga nenda Azam

    Tanzania ushabiki wa mpira uko juu sana kuliko nchi nyingine zinazotuzunguuka kutokana na aina yetu ya kutaniana kwa kucharurana bila kupigana kati ya Simba na Yanga. Timu hizi ziko hivyo tangu kuanzishwa kwake na kuingia katika sura mpya wakati wa Jerry Muro na Manara. Leo hii Tanzania...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Hii picha ni ya leo? Basi Yanga na Al Hilal wanachezeana michezo ya kitapeli

    Leo mchana niliona tweet kwenye page ya Al Hilal kwamba maofisa wake WATATU wanakuja Dar es Salaam kuweka mazingira sawa, nilisahau ku i capture na usiku huu siioni, nafikiri ipo deleted. Kilichonistua ni tweet yao mpya kwamba afisa wao (mmoja) kafika DSM na kapokelewa na Injinia Hersi. Katika...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa nia njema tu na kama Mwanamichezo, sishauri Yanga SC leo impange Mayele, Aucho na Fei Toto

    Kwanini? Mechi ijayo ya CAFCL ni muhimu na ngumu kwa Yanga SC na kwa Asili ya mpira wa 'Kazi Kazi na Gwaride' wa Ruvu Shooting FC huenda wote au mmoja wao akaumia na kuigharimu Yanga SC ikicheza na Al Hilal FC wikiendi ijayo.
  20. Tango73

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Yanga ijiandae upigaji wa penati

    Yanga ijiandae na upigaji wa penati ikiwa moja ya mbinu ya kuhakikisha inaitoa EL Hilal katika mtoano. Sidhani kama Yanga ina uhakika wa wapigaji wake wazuri mipira ya penati. Hivyo mazoezi ya kupiga penati kwa uhakika ni mazuri sana ili kuhakikisha tunaingia makundi ya michuano ya Klabu...
Back
Top Bottom