yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Dismas Ten ulitaka kutufanyia Mtima Nyongo Yanga, huwezi shindana na Serikali wewe

    Nawaambia Yanga ni Taasisi kubwa sana. Asilimia 80 ya Wana CCM ni Yanga na Chama ni Yanga. Huyu Dismas alitaka shindana na Nchi. Kiko wapi?
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa mmoja ya watu wa kwanza kupinga usajili wa Bernard Morrison na kweli hajaniangusha. Huu ni uhuni kwa sisi Yanga

    Hawa watu niliwakataa 1. Haji Manara (huyu hana akili ila alituona sisi Yanga ndo hatuna akili. Simba wakamfukuza) sisi tukaona tumeokota Dodo. 2. Bernard Morrison (huyu alitudhalilisha sana...tulihangaika TFF, CAF na CAS. alikuwa anatuonesha dharau sana) ameachwa Simba tumemkimbilia ameanza...
  3. Moshi25

    JamiiForums Tanzania Yanga na kufuru ya kujaza Maestro na kuua viwango vya wachezaji wazawa

    Mimi ni Yanga utopolo original Yanga Lia Lia shabiki kindakindaki makolo wanatuita mashabiki maandazi wa utopolo Najiuliza wale wachezaji wa kigeni viwango vya dunia tumejaza Yanga Kila idara mpaka Simba wanatamani kubaki arabuni wacheze ligi hiyo au wahamie ligi ya Burundi maana Huku tz...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi EFM na Rais wa Wapanda DalaDala Wilson Oruma: Simba wamesajili vyema kuliko Yanga

    "Katika dirisha hili dogo Simba SC wamesajili vyema na kiufundi kuliko Yanga SC," Wilson Oruma Mchambuzi wa Michezo EFM na Rais wa Wapanda DalaDala (Bayankata) Tanzania nzima. Chanzo: EFM Sports Headquarters dakika chache zilizopita. Ombi langu kuu GENTAMYCINE kwa Serikali yangu ni Kujenga...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, lile Tamko la Wazee na Viongozi wa Matawi wa Yanga SC kutotumia bidhaa zozote zile za Azam Company linatekelezwa?

    Tafadhali mwenye ile Video ya Yule Kiongozi wa Matawi Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam na Yule Kiongozi wa Wazee wa Yanga SC aniwekee hapa ili niwatizame vizuri kwa Jicho langu Kali la Kisaikolojia ili nijue kama wanastahili kuwahi Matibabu yao ya haraka Hospitali za 'Vichaa' Milembe Mkoani Dodoma...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Yanga bado hakuna professionalism

    Morrison bado yupo kwao. Aziz Ki bado yupo kwao. Feisal tunaambiwa hana professional kutoka kambini sawa Lakini Hawa Azziz key na Morrison wanajua kesho yanga ana game ngumu na IHEFU ambayo alipoteza game iliyopita wachezaji Morrison Aziz Feisal Bangala wote hawapo halafu tukikosa matokeo...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC na GSM Wanasajili, Simba SC na Mo Dewji wanafanya Mzaha

    Kama kumbe kigezo cha kusajili Mchezaji siku hizi ni kwanza ajue kupiga kanzu, nawaombeni mje mnisajili na mimi GENTAMYCINE kwani pamoja na huu uzee (ukongwe) wangu wa miaka 60 sasa huku mitaani katika ligi zetu huwa napiga mno mikanzu kuliko hata Sewakubwa wenu. Halafu tukisema kuwa Yanga SC...
  8. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Saa 4:00 Usiku Yanga wana jambo lao

    Je ni jambo gani? Tukutane saa 4:00 usiku
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Yanga Tv inapatikana chanel namba ngapi huku AzamTv?

    Mbona kama wametupiga sound hawa watu wa Yanga. Walizindua chanel yao kwa mbwembwe ila mpaka sasa mbona hatuioni, au ni mimi ndio sijui namba ya chaneli?
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF kusema Fei Toto ni mchezaji halali wa Yanga haitoshi, itangaze adhabu kwa wahusika

    TFF ndio baba wa mpira Tanzania, ndicho chombo kikuu cha mpira nchini, ndio wenye mpira wao. Kama TFF imethibitisha kuwa Fei Toto ni mali ya Yanga haitoshi kuishia hapo tu, bali lazima waseme ni nini kinafuata kwa wale wote (kama wapo) waliohusika na kufanya mazungunzo na mchezaji na hadi kumpa...
  11. F

    JamiiForums Tanzania MANARA na wake zake wawili. Mbinu nzuri ya kulinda brand yake isipotee kipindi amesimamishwa kazi yanga

    Haji manara albinoz mjanjaz Baada ya Manara alipewa adhabu na TFF asingekuwa mjanja tungeshamsahau. Maana usemaji wake ndio kazi inayomfanya aonekane na kupata dili zingine. Mbinu yake ya wake wawili inambeba asisahaulike
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yanga bado hatujaweza kutia akili. Tunategemea sana Viongozi wa Kisiasa kutubeba

    Ikija tokea kukawa na viongozi ambao hawalalii upande wetu ......TUMEKWISHA. Sasa hivi nachoka hata kuishabikia Yanga baada ya kuona kila jambo tunabebwa na viongozi wa Kisiasa. Matches zetu zinachezwa hivyo hao TFF wameshaingia woga linapokuja suala letu maana simu zinazopigwa kwao...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Fei Toto asema wamepokea hukumu lakini Fei hana mpango wa kurudi Yanga

    Wakili Salum Nduruma ambaye anamuwakilisha mchezaji Feisal Salum katika mgogoro wake wa kimkataba dhidi ya Yanga amesema wamepokea nakala ya maamuzi ya Kamati na mteja wake hana mpango wa kurejea Yanga kuendelea kuichezea timu hiyo. “Feisal Salumu mpaka sasa hivi hana mpango wa kurudi na...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Bigirimana wa EPL ataka 700M kuvunja mkataba Yanga

    Yanga ipo tayari kuachana au kumtoa kwa mkopo Gael Bigirimana kutokana na kushindwa kuonyesha kiwango bora kikosini hapo, lakini ugumu unakuja mchezaji mwenyewe hayupo tayari kutoka kwa mkopo na kama kuondoka, basi wavunje mkataba ambao Yanga italazimika kulipa zaidi ya 700 milioni za...
  15. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Jinsi TFF ilivyoamua kumuonea hadharani Feitoto na kuwatumikia Yanga Ni dhahiri zile ni hisia za bahasha kwenye ligi yetu

    1. Walianza na barua ya kingereza iliyomtoa uarabuni kwenye program zake wakitaka aje bila kubainisha makosa aliyoshitakiwa nayo ili awe tayari kuandaa utetezi wake. Barua ilikuwa fupi sana. Na kikubwa swala Hilo Feitoto angeweza kulijibu kwa maandishi tu bila kuwepo Sababu Ni la kimkataba. Lkn...
  16. Sumu Boy

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Dawa ya Vidonda vya Tumbo

    Kwema wakuu nasumbuliwa sana na shida ya vidonda vya tumbo nimekunywa dawa napata nafuu hali inarudi pale pale nilikutwa na hpyrol nikameza dawa nikawa fresh niliporudi hosp kuchek nikakuta mdudu hayupo lakini tumbo bado ni changamoto kupona. Kama kuna mtu anaijua tiba kamili ya huu ugonjwa...
  17. utopolo og

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kuweka kambi Dubai ingetumika kusajili wachezaji bora

    Hivi kuweka kambi Bora huku ukiwa na wachezaji magarasa inaweza kusaidia kuboresha performance ya timu kweli? Unashindwa kusajili wachezaji wazuri, unakimbilia kusajili kocha mzuri na kuweka kambi nzuri halafu unategemea ufanye vizuri? Kuweka Kambi mahala pazuri au kuwa na kocha mzuri huku...
  18. Labani og

    JamiiForums Tanzania Musonda: Mfahamu mshambuliaji hatari kutua Yanga wiki ijayo

    Klabu ya Yanga imefikia makubaliano na Power Dynamos kumsajili mshambualiaji hatari Kennedy Musonda kwa ada ya uhamisho wa Dollar laki moja sawa na shillingi milion 230 na Kennedy anatarajiwa kuwasili nchini wiki ijayo kujiunga na Yanga, Kitenge (2023). Sifa za huyu mwamba; ~ Unaambiwa huyu...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Yanga yafikia makubaliano ya kumsajili Kennedy Musonda

    Klabu ya Yanga imefikia makubaliano na Power Dynamos kumsajili mshambualiaji hatari Kennedy Musonda kwa ada ya uhamisho wa Dollar laki moja sawa na shillingi milion 230 na Kennedy anatarajiwa kuwasili nchini wiki ijayo kujiunga na Yanga.
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga wawaombe radhi Wazanzibari

    Mashindano na sherehe za mapinduzi cup yamedoda kutokana na Simba na Yanga kutolewa kwenye hatua za awali za mashindano. Wanasiasa, wanamichezo, wadhamini na wazanzibar wote hawakutendewa haki na Simba na Yanga kupeleka timu dhaifu kwenye mashindano. Shamrashamra hazitauwepo kamà nusu fainali...
Back
Top Bottom