yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nawapa 100% Yanga SC kufuzu Robo Fainali CAFCC na Simba SC 200% kutofuzu Robo Fainali CAFCL?

    Tayari Yanga SC ina Alama 3 hivyo akitoka tu sare/suluhu huko nchini Mali dhidi ya Real Bamako FC atakuwa na alama 4 au 6 kama akishinda. Mechi yao ya marudiano Dar es Salaam nchini Tanzania Yanga SC akishinda atakuwa na alama 9 na hata kwa bahati mbaya akitoka suluhu bado atakuwa na alama 5...
  2. Area 56

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba atadroo wakati Yanga atafungwa huko kwenye mechi za Kimataifa

    Simba na Yanga wote wana mechi za kimataifa mwishoni mwa wiki. Utabiri wangu kwakuwa wote wapo ugenini, Simba atadroo na Vipers wakati Yanga atapigwa goli mbili kule Mali.
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Shule ya Mvinza Kagerankanda haina Madarasa na Madawati. Waandikia Majivu

    Shule ya Msingi Muvinza iliyopo Kata ya Kagerankanda, Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma ina changamoto ya upungufu mkubwa wa madarasa na madawati hali nayowafanya wanafunzi wengi kusoma nje na wengine kusoma wakiwa wamekaa chini katika madarasa machache yaliyopo. Wanafunzi ambao wameanza elimu ya...
  4. USSR

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuendelea kununua magoli ya Simba na Yanga sio uhujumu uchumi huu?

    Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema Mama ataendelea kununua Magoli ya Simba na Yanga kwenye match za kimataifa. Ina maa itakuwa ya kudumu hii, nadhani haijakaa sawa kimfumo wa fedha maana haijatamkwa kuwa ni kutoka kwenye mshahara wake au pesa zake binafsi au nini? USSR
  5. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yawapa ubalozi wachezaji wa Simba na Yanga kampeni ya Benki ni SimBanking

    Mkurugenzi Mtenndaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), Afisa Mtendaji Mkuu wa Timu ya Yanga, Andre Mtine (wapili kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Timu ya Simba, Imani Kajura (wapili kulia) kwa pamoja wakisaini mkataba wa makubaliano wa kuwatumia wachezaji Clatous Chama, Mohammed...
  6. Kishimbe wa Kishimbe

    JamiiForums Tanzania Yanga acheni kujiita Wananchi!

    Simba anapojipatia mawindo yake fisi huanza kujichekeshachekesha kama fosi za watani zangu Wagogo zinapovuka barabara za lami Na hakuna mnyama hasimu mkubwa wa simba huko nyikani kama mafisi. sasa nashangaa kwanini watani zangu wa Yanga wakaacha kuchukua jina linaloshabihiana na tabia zao...
  7. De Opera

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa Yanga kuibeba Simba kimataifa

    By De Opera , Ni takribani miaka minne, tumeona klabu ya soka ya Simba ikifanya vizuri mashindano ya kimataifa kiasi cha kwamba hadi imesababisha uwepo wa vilabu vinne kushiriki mashindano ya CAF yaani Klabu bingwa barani afrika na Kombe la shirikisho barani Afrika ambapo timu mbili...
  8. Uchira 1

    JamiiForums Tanzania Msimu bora kwa Kikosi kilicho bora Tanzania

    Salam kwa JF member wote IKUMBUKWE *Sina upendeleo na klab yoyote *Si mtaalam sana wa mpira wa miguu *Naandika haya kwa mtizamo wangu kutokana na kufuatilia mpira wa miguu toka 2016 mpaka leo 2023 kwa kiasi flani YANGA WANAMSIMU MZURI TOKA 2022 NA UZURI HUO UNAWEZA KUFIKA 2025 Haya nayaandika...
  9. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Yanga atapita hatua ya makundi, Simba atashika nafasi ya mwisho kwenye kundi lake

    Day 3. Vipers anamkaribisha simba na raja anamkaribisha horoya ambapo wenyeji wote watashinda. Day 4: Simba anamkaribisha vipers game itaisha sare, horoya anamkaribisha raja na mgeni atashinda. Day 5: simba anamfata raja mwenyeji atashinda na vipers anamfata horoya game itaisha sare. Day 6...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Siku nyingine Rais akitoa fungu atenge kwa viwango; Bao la Championi lisiwe sawa federetation, Yanga alistahili kupewa 2 mil kwa bao

    Hii michezo ina ngazi! Simba wamecheza Champion league (ligi ya mabingwa). Automatically huku ni kugumu maana kuna timu ngumu na zenye viwango! Promotion ya kuwapa zawadi alitakiwa hawa wapewe zaido nyingi kama motisha ya kutambua na kutofautisha! Yanga iko federation cup ( ligi ya...
  11. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiosemwa: Yanga alitoka droo na raja hapa DSM mwaka 1998

    Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 3-3(Najua hujawahi kuisikia hii) . Lakini Yanga ilipoenda Morocco ikapoteza kwa 6-0(hii ndiyo inatangazwa sana). Kama Simba hapa Dar es Salaam tu wamepigwa 3. Je, Morocco watapigwa ngapi?
  12. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Moïse Katumbi, umejisikiaje kucheza na timu kubwa?

    Niseme nini kuhusu Yanga Africa, niambieni niseme nini? Mpaka kesho najiuliza hivi inawezekana vipi kuwa shabiki wa soka bila kuipenda Yanga? Sijawahi kupata jibu. Yanga ni furaha, Yanga ni upendo, Yanga ni kielelezo cha ladha halisi ya soka. Ifike hatua huyu Mayele tumtafutie jina lake maalumu...
  13. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023

    Young Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika. Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi. Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Simba, maumivu mnayopata ni kidogo tu kulinganisha na ambayo huwa tunapitia Yanga. Huwa tunalala na viatu na kusononeka zaidi yenu

    Kwa bahati nzuri navyowajua mashabiki wa Simba kwa mpira ni kama sharehe fulani tu ambayo hata ikiwaletea maumivu basi ni siku 2 ama 3 tu maumivu yanapoa, na hata ile maumivu huwa sio kivileee. Jamani huku Yanga hali ni mbaya sana, Wananchi huwa mood zinavurugika vibaya mno, mbovu, mbaya. Yanga...
  15. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Pindi Chana alishuhudia Mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba Sports Club dhidi ya Raja Casablanca

    Kuna shutuma zimetolewa na MINOCYCLINE zikiwa na lengo la kuichafua Serikali, Waziri Dkt. Pinda Chana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Serikali kupitia Waziri Dkt. chana imehudhuria michezo yote ya Simba na Yanga na sio mchezo wa Yanga pekee kama ambavyo MINOCYCLINE ameeleza. MECHI YA...
  16. Mangi shangali

    JamiiForums Tanzania Kinyumenyume FC

    Habari zenu, Mpira ni kitu cha wazi, kinachezeka uwanjani, Simba wanalitia taifa aibu sana. Waliwasha moto South, jana wamerudisha gari kinyumenyume, mganga wao sijui kasomea driving school! Yanga leo wameifundisha Simba kuwa mpira unachezeka hadharani. Asanteni.
  17. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji: Jana tumefungwa Magoli, leo tumefungwa Midomo

    Siyo maneno yangu, ni ya big boss MO. Kesho kutwa Mo na Azam kama TFF haitawaonea huruma na kuhairisha mechi kwa kichaka kuwa mnashiriki kimataifa.
  18. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yanga na Simba ipi timu bora hapa Tanzania?

    Tuache ushabiki, tuambiane ukweli.Kati ya Simba na Yanga ipi timu bora hapa Tanzania?
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Yanga, Je Huyu nabii wa Taifa apuuzwe?

    Kuna jamaa nimemuona kwenye Whatsapp anajiita nabii wa taifa, Anasema ili Yanga na Simba zishinde inabidi Watoe kwake sadaka ya Milioni 20 kuombea ushindi. Sasa kushinda kwa Yanga, najiuliza nani Muongo kati ya nabii na Mungu/Muungu wake? Ifike wakati watu wa Mungu washughulike na mambo ya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Yanga msisahau mpo Shirikisho Afrika baada ya kuondolewa Champions League ilipo Simba

    Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo Yanga haijawahi kucheza hatua ya Makundi kombe la CAF Champions League tangu mwaka 1997...Think about That Ni kama mashindano ya...
Back
Top Bottom