Visit Tanzania ni tangazo ambalo linapaswa kufanywa na idara ya utalii na tanapa ili kuvutia wageni kuja Tanzania kuona vivutio vyetu. Matangazo kama haya huwaga na bajeti yake tena kubwa TU kwenye sekta husika.
Je, mkataba unamruhusu sportpesa kuichagulia Yanga nini Cha kuweka kwenye jezi yake...
AHMED MOHAMED JOHARI (MNUBI) YANGA WALIMKATISHA MASOMO SEKONDARI ACHEZE MPIRA
Picha hiyo hapo chini inatoka kwa Sunday "Computer'' Manara na yeye kaipata kwa kaka yake Kitwana ''Popat'' Manara.
Caption ya picha ni kutoka kwake Sunday:
''Waliosimama/kuanzia kushoto, Golikipa- Haji Masajage...
Taarifa hii kutoka SPORTPESA ina kamilisha tu maoni yetu kwamba Yanga SC inaongozwa “KISHIKAJI”. bila kufuata weledi wala utawala bora.
Klabu yenye viongozi imara wenye kufanyakazi kwa kufuata miiko ya uongozi haiwezi kujiingiza kwenye mambo ya KIHUNI kama haya.
Huwa najiulizaga maswali hivi...
Kwa kikosi cha Yanga sioni kama hawa TP Mazembe kama watatoboa. Cheki kikosi hiki;
Diarra
D. shaban
Lomalisa
Job
Doumbia
Bangala litombo
Aucho
Aziz key
Kenedy Musonda
Mayele
Itaidhamini katika mashindano ya kombe la shirikisho ambayo klabu ya yanga inashiiriki
Mkataba huo wenye thamani ya shilingi bilioni moja na millioni Mia tano utaisaidia yanga katika mashindano hayo
Jezi za yanga za shirikisho zenye nembo ya haier zitauzwa sh 50,000
UCHAGUZI WETU KESHO.
Ila sisi tuna kitambulisho cha shule ya msingi wenzetu wana kadi ya uanachama😳; Hivi kuna Transformation hapa?
Hebu tuwe serious kwenye hizi taasisi zinazogusa Faraha za watu. Ukiwaona majukwaani Kama viongozi vile kumbe ni hopeless kabisa!
Mpaka leo bado usafiri wetu...
Naona nae Kawadindia ( Kawakatalia ) na anataka mumlipe Tsh Milioni 700 zake la sivyo anabisha hodi FIFA Kudadadeki.
Halafu Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) na GSM wako ( yako ) si mnasema mna Hela? Sasa mbona mnamsumbua mno Tajiri wa NATION GAS Rosti Tamu ukila na Aziz pamoja na Mzee...
Hii ni taarifa aliyoitoa yeye mwenyewe kwa Waandishi wa Habari, kwamba anatishiwa kuondolewa uhai wake kwa kuomba Uongozi wa Simba.
Sasa tunajiuliza hapa Simba pana nini hadi watu waanze kutaka kuwaua wenzao?
Wajuvi wa siasa na harakati za nje ya uwanja inapokuja mechi ya Simba na Yanga embu tuelimishane.
Wote tunakumbuka Clautus Chama alipotolewa katika mechi na Mbeya City alikwenda moja kwa moja vyumbani na baadae kurudi. Hii ikazua gumzo kubwa.
Siku kadhaa baadae mchezaji wa Yanga anayevaa jezi...
Na Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe.
Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo...
Maulid Kitenge labda nikusaidie leo hakuna ambacho kinafanyika kwa Simba SC hakijawahi au hakifanyiki kwa Yanga SC sema tu kwakuwa una Umasikini wa Fikra (Upeo) hili huwezi Kulijua.
Haya Maulid Kitenge kwakuwa leo hapo Sports Headquarters ya EFM ukiwa kama Boss Wao (Sports Department) umekuja...
Mechi 2 za mwisho atazocheza Yanga kule Mbeya dhidi ya Prisons na Mbeya city kuna moja ataangusha points zote.
Siku ya Derby kuna maajabu yake, Believe that!!
Utopolo ikiwa na kikosi kamili imeshindwa kufurukuta kabisa dhidi ya Dar City katika mechi ya kirafiki.
Hii ilikuwa mechi ya kirafiki iliyochezwa jioni ya leo.
Mbali na maelekezo ushindi wa Yanga unategemea neema za Mungu tu.
Ni rasmi Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa mabingwa wa Tanzania, Dar Young Africans.
Diamond ameamia Yanga akimfata supastaa namba moja wa michezo East Africa, Haji Manara. Kabla ya hapo Diamond alikuwa shabiki wa timu inayosuasua ya Simba SC.
Timu ya Yanga ambayo ndio club kubwa na yenye...
Kwa hali ilivyo Jana Yanga kushinda mechi Ngumu dhidi ya IHEFU ambapo haikuwa na nyota wao wengi hii imefuta ndoto za SImba kuwa bingwa Msimu huu. Yanga wana mechi Tatu za Ugenini Singida ambapo ni timu nyepesi sana kwa Yanga. Wana Mbeya CIty na Prison mechi hizi hawawezi kupoteza mechi...
Uongozi wa Yanga SC na wana Yanga SC msione Aibu Kutangaza kuwa mnapanga kuachana na Mtukutu Bernard Morrison ili kubaki na Wachezaji 12 Wanaotakiwa.
Na taarifa za ndani kabisa kutoka kwa Wanyetishaji wangu wanasema kuwa hata Kocha Mkuu wenu Nabi hamtaki Morrison japo baadhi ya Viongozi mnataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.