Yanga na kufuru ya kujaza Maestro na kuua viwango vya wachezaji wazawa

Moshi25

JF-Expert Member
May 6, 2022
1,804
2,891
Mimi ni Yanga utopolo original Yanga Lia Lia shabiki kindakindaki makolo wanatuita mashabiki maandazi wa utopolo

Najiuliza wale wachezaji wa kigeni viwango vya dunia tumejaza Yanga Kila idara mpaka Simba wanatamani kubaki arabuni wacheze ligi hiyo au wahamie ligi ya Burundi maana Huku tz kwasasa hakuna Tena usawa Katika viwango vya wachezaji wa Yanga na timu zingine zote zilizobaki ambazo Sasa zote ni underdog kwa mujibu wetu wanaYanga.

Ona list
1.Diarra, 2. Djuma Shaban,3.Lomalisa,4.Bangala,5.Doumbia, 6.Aucho,7,Moloko,8, Aziz Ki, 9, Mayele, 10, Morisson 11 Kisinda! Benchi Kuna Yacouba na nani vile? Bigirimana na Musonda! Wazawa Kina Nondo na Clement wako wapi hapo? Timu jiwe kama hii ya wageni Maestro tupu wallah Simba hawatoki!

Sasa shida kwa Yanga yangu ni kuwa nafasi za wachezaji wazawa kucheza mechi zinazidi kupotea tunapojaza wageni mafundi WA mpira na hili si suala zuri kabisa kwa wachezaji wazawa na maendeleo ya mpira wetu hasa kiwango cha timu yetu ya taifa! Kina Ambundo, Nkane, Nondo, Shaibu Ninja, Ngushi, Mauya, Kibwana, Clement, Yusuph Athumani, Baka , Farid, Mshery, Sureboy, Mudathir, Feisal wote Sasa watazoea kukaa benchi na timu ya taifa tutafungwa na Kila timu maana tayari tumerudi kuwa kichwa Cha mwendawazimu!

Nawasihi sana msimu ujao nyie TFF msio na akili Wala macho punguzeni idadi inayoruhusiwa ya wachezaji wa kigeni wawe watano tu kwa Kila timu bila hivyo twafaa maana Si Yanga hii Ina sifa Sasa ligi hii haitufai.

Kama nyie Makolo fc mmejaa TFF hamuwezi kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni basi wekeni sheria Kila mechi wachezaji wazawa waanze watano na Wasitolewe hadi half time hapo labda nitawaelewa Kidogo kina Mr Karai!

Sasa Yanga inaweza kupanga first eleven wote wageni na wakacheza vizuri na wachezaji wazawa kuishia kuwa Wasugua benchi , watazamaji na wateja wa waganga wa kienyeji kwenda kupigana misumari na wengine kama Mimi ukiroga sirogeki misumari inarudi kwako!

We kolo Mr Karai hufai utupishe TFF unaua vipaji vya wachezaji wazawa na kuifanya timu ya taifa ya soka kuwa kichwa Cha mwendawazimu. Kupanga ni kuchagua. Wabongo japo tunapenda soka tuchague namba 5! Bakari Nondo alikuja Yanga bonge la beki kisiki na akawa mhimili timu ya taifa Leo Hana namba Yanga, what a f!

Wanayanga Wenzangu unbeaten team mnaodhani nimesema kweli na mnaunga mkono hoja yangu mseme ndiyoooooo!

Wanasimba mikia fc mnaopinga wachezaji wa kigeni watano tu mseme siyooooo!!

Nawasilisha😃
 
Hoja ya msingi,ombi la uraia pacha iwe ruksa...angalau utafika huko levels za kina Ghana na wengne

Hukuona World cup fainal,France walikua blacks tupu uwanjan

Kupunguza idad ya wagen sio suluhisho,hawana viwango ivo ata iweje kwasasa
 
Uraia Pacha kisa Mpira??
 
Mada ni nzuri na ulichosema ni kweli ingawa umewajaza upepo Uto wenzio. Yanga walichopatia ni kuchukua wachezaji ambao wanatoka sehemu moja, lugha, tamaduni na mawasiliano yanakuwa rahisi.

Ni muhimu idadi ya wachezaji wa kigeni kupunguzwa na pia tukiona wachezaji wakali ambao bado hawajachezea timu zao za taifa tuwape uraia bila kuchelewa, timu yetu ya taifa itafaidika zaidi. Ila nakumbuka kama sheria za FIFA zinasema mchezaji akishachezea timu moja ya taifa hawezi tena kuchezea nyingine.

Kwa muda mrefu na mpaka leo naamini Afrika tungepeleka katika World Cup timu ambazo ni kombaini ya wachezaji kutoka mataifa mbalimbali ya Africa tungekuwa na nafasi ya kuchukua WC. Ila kwa kuwa sheria za FIFA haziruhusu, basi ikitokea nchi ya Afrika ikawa kimbilio la wachezaji wa Afrika ikawa inawapa uraia, ina nafasi ya kuchukua World Cup si muda mrefu. Tunawaacha tu Wamarekani, Wafaransa na sasa hata Wajerumani wakafaidika na vipaji vya Afrika huku tunawaangalia.
 
Mimi ni Yanga utopolo original Yanga Lia Lia shabiki kindakindaki makolo wanatuita mashabiki maandazi wa utopolo

Najiuliza wale wachezaji wa kigeni viwango vya dunia tumejaza Yanga Kila idara mpaka Simba wanatamani kubaki arabuni wacheze ligi hiyo au wahamie ligi ya Burundi maana Huku tz kwasasa hakuna Tena usawa Katika viwango vya wachezaji wa Yanga na timu zingine zote zilizobaki ambazo Sasa zote ni underdog kwa mujibu wetu wanaYanga.

Sasa shida kwa Yanga yangu ni kuwa nafasi za wachezaji wazawa kucheza mechi zinazidi kupotea na hili si suala zuri kwa wachezaji wazawa na mpira wetu na timu yetu ya taifa! Kina Ambundo, Nkane, Nondo, Shaibu Ninja, Ngushi, Mauya, Kibwana, Sureboy, Mudathir, Feisal wote Sasa watazoea kukaa benchi na timu ya taifa tutafungwa na Kila timu maana tayari tumerudi kuwa kichwa Cha mwendawazimu!

Nawasihi sana msimu ujao nyie TFF msio na akili Wala macho punguzeni idadi inayoruhusiwa ya wachezaji wa kigeni wawe watano tu kwa Kila timu bila hivyo twafaa maana Si Yanga hii Ina sifa Sasa ligi hii haitufai.

Kama nyie Makolo fc mmejaa TFF hamuwezi kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni basi wekeni sheria Kila mechi wachezaji wazawa waanze watano na Wasitolewe hadi half time hapo labda nitawaelewa Kidogo kina Mr Karai!

Sasa Yanga inaweza kupanga first eleven wote wageni na wakacheza vizuri na wachezaji wazawa kuishia kuwa Wasugua benchi , watazamaji na wateja wa waganga wa kienyeji kwenda kupigana misumari na wengine kama Mimi ukiroga sirogeki misumari inarudi kwako!

We kolo Mr Karai hufai utupishe TFF unaua vipaji vya wachezaji wazawa na kuifanya timu ya taifa ya soka kuwa kichwa Cha mwendawazimu. Kupanga ni kuchagua. Wabongo japo tunapenda soka tuchague namba 5! Bakari Nondo alikuja Yanga bonge la beki kisiki na akawa mhimili timu ya taifa Leo Hana namba Yanga, what a f!

Wanayanga wanaodhani nimesema kweli na wanaunga mkono hoja yangu wasema ndiyoooooo!

Wanasimba wanaopinga wachezaji wa kigeni watano tu waseme siyooooo!!

Nawasilisha
Wewe ni mkia,Dunduka,Kolo ,Ngada fc. Yanga siyo timu y TFF.
 
Kipindi kile simba inajaza wageni mpaka tifuatifua inapindisha sheria kufikia kuruhusu timu kuongeza wachezaji wa kigeni toka saba Sijui mpaka 12 ilimradi mikia wasajili haya ya uzawa yalikaa pembeni
Kutesa kwa zamu, Sasa ni zamu yao kuteseka bi hindu fc aka Ngada bin dunduka
 
Wewe ni mkia,Dunduka,Kolo ,Ngada fc. Yanga siyo timu y TFF.
We jamaa hivi unaJua mi niko serious unaleta mzaha utapigwa na kitu kizito mi mpemba ATI!

Mi Mwananchi braza waulize humu JF ila Nina elimu kubwa nimebukua WAsomi kwenye Ukweli hatupindishi tunasema tu loud and clear!

Mkuu Vipaji vya kina Farid Mussa , Nkane vitakufa wanakaa benchi jombaa! Huoni?
 
Mimi ni Yanga utopolo original Yanga Lia Lia shabiki kindakindaki makolo wanatuita mashabiki maandazi wa utopolo

Najiuliza wale wachezaji wa kigeni viwango vya dunia tumejaza Yanga Kila idara mpaka Simba wanatamani kubaki arabuni wacheze ligi hiyo au wahamie ligi ya Burundi maana Huku tz kwasasa hakuna Tena usawa Katika viwango vya wachezaji wa Yanga na timu zingine zote zilizobaki ambazo Sasa zote ni underdog kwa mujibu wetu wanaYanga.

Ona list.
1.Diarra, 2. Djuma Shaban,3.Lomalisa,4.Bangala,5.Doumbia, 6.Aucho,7,Moloko,8, Aziz Ki, 9, Mayele, 10, Morisson 11 Kisinda! Wazawa Kina Nondo wako wapi hapo? Timu jiwe kama hii ya wageni Simba hawatoki!

Sasa shida kwa Yanga yangu ni kuwa nafasi za wachezaji wazawa kucheza mechi zinazidi kupotea na hili si suala zuri kwa wachezaji wazawa na mpira wetu na timu yetu ya taifa! Kina Ambundo, Nkane, Nondo, Shaibu Ninja, Ngushi, Mauya, Kibwana, Sureboy, Mudathir, Feisal wote Sasa watazoea kukaa benchi na timu ya taifa tutafungwa na Kila timu maana tayari tumerudi kuwa kichwa Cha mwendawazimu!

Nawasihi sana msimu ujao nyie TFF msio na akili Wala macho punguzeni idadi inayoruhusiwa ya wachezaji wa kigeni wawe watano tu kwa Kila timu bila hivyo twafaa maana Si Yanga hii Ina sifa Sasa ligi hii haitufai.

Kama nyie Makolo fc mmejaa TFF hamuwezi kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni basi wekeni sheria Kila mechi wachezaji wazawa waanze watano na Wasitolewe hadi half time hapo labda nitawaelewa Kidogo kina Mr Karai!

Sasa Yanga inaweza kupanga first eleven wote wageni na wakacheza vizuri na wachezaji wazawa kuishia kuwa Wasugua benchi , watazamaji na wateja wa waganga wa kienyeji kwenda kupigana misumari na wengine kama Mimi ukiroga sirogeki misumari inarudi kwako!

We kolo Mr Karai hufai utupishe TFF unaua vipaji vya wachezaji wazawa na kuifanya timu ya taifa ya soka kuwa kichwa Cha mwendawazimu. Kupanga ni kuchagua. Wabongo japo tunapenda soka tuchague namba 5! Bakari Nondo alikuja Yanga bonge la beki kisiki na akawa mhimili timu ya taifa Leo Hana namba Yanga, what a f!

Wanayanga wanaodhani nimesema kweli na wanaunga mkono hoja yangu wasema ndiyoooooo!

Wanasimba wanaopinga wachezaji wa kigeni watano tu waseme siyooooo!!

Nawasilisha
Nyie utopolo acheni ujinga nyie.
Mnataka wachezaji wa ndani wasiojielewa kama akina amri kiemba?
Wanalipwa kidogo wanauza mechi kwa bei ya maandazi!
Mnataka biashara yenu ya unbeaten iendelee?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Wakulaumiwa ni TFF, na siyo Yanga. Hao TFF ndiyo walio ongeza idadi ya wachezaji kutoka 5, 7, 10, mpaka kufikia 12!
 
Back
Top Bottom