Hizi porojo tulishazizoea, mchezaji ana mkataba na timu yake wa mwaka mmoja alafu wajinga wajinga wanatembea na upepo kuihusisha yanga na mchezaji husika.
Ni lini vilabu hivi vikauziana wachezaji wenye mikataba? Uyo chama keshazoea kufanya icho anachokifanya uwa anapenda kucheza na fursa pindi...
Mimi kama shabiki kindaki ndani wa Mo 29, nimekubali yaishe, mwaka huu tunapigwa tena. Hasira zangu ntamalizia kwa Ahmed Ally😥
Tangu aingie anatujaza matumaini hewa tu, boss nayeye amechoka na anasema atakata tamaa soon, imefika wakati wa kujitafakari.
Mkude ni kiungo namba 6. Amesajiliwa yanga baada ya kumaliza mkataba wake na Simba.
Yanga ni timu yenye utajiri wa viungo. Hivyo kuna ushindani mkubwa wa namba.
Mkude anaenda kuchukua namba ya nani kikosini yanga?
Wenye Akili na tunaojua mengi na Kufukunyua yaliyojificha akina GENTAMIYCINE tuliposema habaki na anaondoka si mlitutukana hapa JamiiForums?
Haya litukaneni sasa na Gazeti la Nipashe ambalo Mhariri wake Mkuu na yule wa Michezo wote ni wana Yanga SC lia lia.
Safari Njema huko uendako Mayele.
GENTAMIYCINE nilidhani ukiwa Tajiri basi hata na Uwezo wako wa Kufikiri nao unakuwa ni wa Kitajiri ( nikimaanisha ni mkubwa ) kumbe hali ni tofauti kabisa.
Matajiri Mohammed Ghullum Dewji wa Simba SC na Gharib Said Mohammed wa Yanga SC kwa Historia Kubwa ya Simba na Yanga hasa katika Siasa za...
Klabu ya Misri iko tayari kuipa Yanga SC Billioni 2 na Kumpa Mshahara wa Tsh Milioni 85 za Kitanzania kwa Mwezi.
Klabu nyingine huko Saudi Arabia iko tayari kuipa Yanga SC Billioni 1.5 na Mshahara wa Tsh Milioni 70 kwa Mwezi.
Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo ataziacha hizi Ofa ili abakie...
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hivi unajua kuwa umewakwaza mno 99% ya wana Yanga SC ambao hadi sasa wako roho juu kujua kama Mayele anabakia au anaondoka?
Hapo kwa Gift Fred hakuna Mchezaji.
"Sasa ni rasmi Yanga SC yetu tumeruhusiwa Kusajili baada ya Kuzuiwa kwa muda kufanya hivyo kutokana na Kushtakiwa na aliyekuwa Kocha Wetu Luc Eymael kwa Deni lake alilokuwa akitudai kwa muda mrefu" amesema Ali Kamwe Msemaji wa Yanga SC.
Chanzo: Sports Headquarters ya EFM muda si mrefu.ll...
Siwezi kulipwa milioni tano tu nikala ugali na sukari nikakupa pasi ili ufunge.
Kocha Nabi alikuwa analipwa milioni 35, mzee wa kutetema sasa rasmi kuwa mchezaji ghali Afrika Mashariki nzima.
Ila kwa starehe za Dar es Salaam msimu ujao akifilisha goli 12 mniite fala.
More money poor performance.
Yaani ni Free Agent baada ya Mkataba wake Kuisha huko SC Villa na aliyekuwa Kocha Wenu Micho Kawadanganyeni mumchukue mmeingia Mkenge kweli na Kumsajili.
Uganda ni my Second Home na nina Rafiki zangu wengi sana huko na kila ninayemuulizia kuhusu Uwezo wa huyu Mchezaji jibu la haraka ninalopewa...
Baada ya kumtambulisha kwa mbwembe, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga Andre Mtine abwaga manyanga.
Sababu za kuondoka kwake ni uswahili uliopitiliza wa Rais wa klabu hiyo Hersi. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, Rais anaingilia mipaka mpaka majukumu yanayopaswa kufanywa na Mkurugenzi.
Mtine ni...
Wachambuzi wa uchwara wa hapa JamiiForums na wengine wa mitandao wanaweweseka kila kukicha hawapati taarifa kutoka kwa Yanga. Wanajaribu kutunga habari za kizushi ili waende mjini lakini hawafanikiwi.
Yanga ndio club kubwa Tanzania, wewe jiulize Azam na Simba wametambulisha wachezaji wao lakini...
GENTAMIYCINE nikiwa kama Mshabiki na Mwanachama wa Yanga SC natoa ONYO KALI kwa Uongozi wa Yanga SC kuacha Kutuzuga kupokea Fedha za Bonus ili Mashabiki tusiongelee Usajili na Ukata mkubwa ulioko sasa Klabuni ambao Unafichwa ili tusichekwe na Simba SC wenye Hela na wanaosajili Vyuma hasa kweli...
Yanga yalamba bonasi ya milioni 405, kutoka Sportpesa, kwa kumaliza Mabingwa wa Ngao ya jamii, Ligi Kuu ya NBC, Kombe la Shirikisho bara na kufikia hatua ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho la Shirikisho la soka barani Afrika CAF.
Tunajua upande wa pili bado wamepigwa na butwaa wa hizi sajili zinazoendelea pale Msimbazi. Msimu huu ulioisha kuna mambo yaliyotokea katika ligi na hasa mashindano ya kimataifa ambayo kwa kweli yalituumiza sana wanaSimba. Sitaongelea sana ligi ya NBC maana huku tulikuwa tunawamudu ni basi tu...
Mwaka huu tumeshuhudia site kuwa Rais Samia ni Shabiki lialia wa Yanga. Ni kiasi ambacho amefikia kujisahau kuwa yeye ni kiongozi mkubwa nchini. Hapo zamani tulizowea kuona Marais walijaribu kuficha mahaba Yao kwa timu zao. Tunakumbula Magufuli alifikoa kushona jezi vipande viwili ili kuondoa...
Yanga jana imeingia makubaliano ya miaka mitatu, na mchezaji huru ambaye amemaliza mkataba wake na Sports Club Villa ya Uganda Gift Fred. Fred ambaye pia huchezea timu ya taifa ya Uganda huenda akachukua nafasi ya beki la CHAN Douambia.
Exclusive: Gift Fred joins Tanzania's Yanga
Haya Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe, Wachambuzi na Watangazaji wa Redio wenye Uyanga tafadhali Tangazeni upesi hii Taarifa.
Na huyu Mchezaji wa Club ya Asec ndiyo alikuwa Mchezaji anayetegemewa na Yanga SC na ndiyo Yule Namba 6 aliyokuwa akiimbwa na akinadiwa Kimajigambo na Msemaji wa hovyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.