Bila mbeleko wala maelekezo toka juu,
Yashika nafasi ya pili Afrika Kwa kufuatiliwa katika mtandao wa Instagram kwa mwezi September
Na Kwa wasijua namba hizi zinareflect kile ambacho Yanga anaenda kufanya kimataifa
Kwa kimataifa namanisha Klabu Bingwa na Klabu Bingwa Dunia
Mafanikio bila...
HAKUNA kundi jepesi wala gumu kwa Simba na Yanga baada ya Ijumaa jioni kushuhudia wakipangwa na timu mbalimbali katika makundi yao ya Ligi ya Mabingwa. Waswahili tumeanza kupiga ramli. Inachekesha sana lakini ndio hali halisi. Fikiria kama wangepangwa wenyewe kwa wenyewe ingekuwaje?
Rafiki...
Kwa 95% Kiongozi wa Azam FC ( ambaye Watu wa Mpira Tanzania tunajua ni mwana Yanga SC lia lia ) CEO Popat ndiyo huwa Silaha Kuu ya Yanga SC kuifunga Azam FC muda wowote na inavyotaka.
Na hiyo 5% iliyobaki ni ya Msaliti mwingine mdogo Msemaji Ibwe ( ambaye ni mwana Yanga SC kindakindaki ) hadi...
Baada Ya hatua ya Makundi kwa sasa ni Robo Fainali, Timu zetu mbili za Tanzania zimepangwa na Wababe wa soka la Afrika.
Wengine wanasema hii ndo ilipangwa kuziangusha Tumu za Tanzania, Japo hakuna uthibitisho.
Wengine wamekuwa na mtizamo chanya na kuona kama Soka la Tanzania limekuwa, na...
Ukiangalia kwenye market value Diara thamani yake Ni 400m (Dola 185000) za kibongo lakini ya Ayoub Ni billion tatu.(Dola m. 1.3).
Je ubora wa Ayoub Ni mkubwa mno Mara zaidi ya Saba ya Diara?
Nimeangali clip za magoli mawili ya Yanga yalioyofungwa na Pacome na lile la Azizi k nimegundua yametokana na udhaifu unaofanana lakini hii inaweza kuwa ndio mbinu ya Yanga ya kimchezo.
Ukiangalia, magoli yote mawili ni matokeo ya mpira wa kasi wa Yanga unaolzamisha timu pinzani kukimbiza upepo...
Huyu Al Ahyl Hana maajabu yeyote ya maana
Na siku zote Ili uwe bora na lazima upambane na aliye bora Ili kupitia yeye na wewe upande chati.
Simba hazingumziwi sana kwenye haya mashindano kwakuwa ni kawaida yake kuishia robo,hana kipya
Yanga ndiye anayetrend kwakuwa ni first time kuingia...
Baada ya tu kupangwa Kwa makundi ya CAF CL kuna kitu Cha kushangaza kulitokea katika matandao wa X
Ukiingia katika ukurasa rasimi wa CAF wa mtandao wa X,katika makundi yote yaliyopostiwa,ni makundi mawili tu yanayoshiriki klabu bingwaa Afrika ndiyo yaliyoongoza Kwa kutoa namba kubwa ya online...
“Tumepangwa kwenye kundi lenye ushindani pamoja na mabingwa watetezi Al Ahly.
Bila shaka ni kundi lenye msisimko wa aina yake. Ushindani hautufanyi tuogope, bali inatupa fursa ya kuonesha dunia ukubwa na ubora wetu”
@andre_mtine - Mtendaji Mkuu wa Yanga SC
''Ni kipimo kizuri kwetu [Yanga] kupata nafasi ya kucheza na Al Ahly, bingwa mtetezi.
Ni kipimo kizuri pia kwetu kuona jinsi gani tumekuwa kama klabu ya mpira, naona ni moja katika makundi magumu lakini Young Africans tunatakiwa sasa tuweke jitihada kuwa katika timu mbili za juu zitakazokwenda...
Yanga wapo kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Wamepangwa kundi moja na kigogo Al Ahly.
Head to head wamekutana mara 6. Yanga akifanikiwa kuibuka mara moja tu na ushindi dhidi ya Al Ahly.
Ikumbukwe kundi la Yanga lina timu zilizoshiba ambazo ni Al Ahly, CR Belouzdad na Madeama ambao ni...
Majira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi.
Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi.
Kaa hapa kupata updates zaidi.
Updates
Makundi ya Shirikisho
CAF CL
USMA
FUTURE
SUPERSPORT
Al HILAL
Group B...
afrika
caf
gumu
kuchagua
kumbukumbu
kundi
kuweka
ligi
ligi ya mabingwa
mabingwa
mabingwa afrika
makundi
mapema
sawa
simba
simba sc
upande
vizuri
yangayanga sc
Hutaki unaacha , lakini huu ndio ukweli halisi , Nikiwa ka Mtanzania kwenye kundi hili Yanga havuki , hapo ndio Mwisho .
Pichani : ni mtoto mdogo akiizomea Yanga ilipofungwa na Ihefu
Kwa heshima kubwa na kwa lengo la kuleta mafanikio kwa soka la Tanzania, ni wakati wa kuangalia mbali zaidi ya migawanyiko ya kiushabiki baina ya klabu na kuanzisha ushirikiano imara baina ya timu kubwa mbili za mpira wa miguu nchini, Simba na Yanga.
Katika hali ya mpira wa ushindani kuelekea...
"Kiukweli Wachezaji wangu hawako Smart Kichwani ( akimaanisha ni Wapumbavu ) kwani kila Siku katika Uwanja wa Mazoezi nawapa Maelekezo yale yale lakini tukija katika Mechi wanayarudia. Niliwaambia Simba SC ina Wachezaji wengi wenye Vipaji vikubwa na Binafsi hivyo tusipokuwa makini Watatufunga na...
CAF hufanya draw ya makundi kwa kuzigawa timu kwenye pots/vyungu 4 kwa kigezo cha ubora wao.
Pot no. 1: Al Ahly, Wydad WC,Esperance, na Mamelodi Sundowns.
Pot no 2: Simba, CR Belouizdad, Pyramids na Petro de Luanda.
Pot no.3: TP Mazembe, Al Hilal, ASEC Mimosa, na Yanga.
Pot no. 4: Etuile...
Msifungwe nyie nani? Wapuuzi wakubwa. Inafungwa Simba SC inayowazudi Kimafanikio kwa Kimataifa, inafungwa Real Madrid FC na hata PSG FC sembuse nyie Washamba ( Wagaigai ) tukuka wa Jangwani na Kigamboni?
Sasa kwa taarifa yenu Ihefu FC ipo pamoja na Mwenyezi Mungu, itakuwepo na atailinda dhidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.