yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Inamaanisha nini kumheshimu BABA yako na MAMA Yako?

    Amri inayosema mheshimu baba yako na mama yako,inapatikana mara nyingi katika biblia. (Kutoka 20:12, Kumbukumbu la Torati 5:16, Mathayo 15:4, Waefeso 6:2,3) [ KUTII AMRI HIYO KUNAHUSISHA KUFANYA MAMBO YAFUATAYO:-] 1>-WATHAMINI:-Unawaheshimu baba Na mama yako unaposhukuru kwa ajili ya mambo...
  2. Mwaka 2022 unaelekea mwisho, Malengo yako yalikuwa yapi? Umetekeleza nini? Changamoto? Let's share experience!

    Habari wakuu. Binafsi mwaka huu niliwekea Malengo makuu matatu. 1. Kuhama nyumba ya kupanga na kuhamia kwangu (Nyumba ilikuwa hatua za mwisho yaani finishing) mungu amesaidia nimetekeleza. 2. Kuwa na eneo la ziada (plot) ambayo itakuwa kama asset ya baadaye. Nimetekeleza. 3.Kuwa na mtaji wa...
  3. Matukio gani ya aibu ulishawahi kuyafanya au kukutokea katika maisha yako?

    Katika maisha yetu kuna baadhi ya matukio tulishawahi kufanya au kututokea ambayo huwa ukiwaza unabaki unacheka kulingana na aibu iliyojitokeza. Kwangu mimi haya ni matukio ya aibu kabisa katika maisha yangu. 1. 2015 nikiwa nasoma kidato cha tano kuna dogo wa Olevel nilimtongoza akaingia kingi...
  4. Waziri Mwigulu tusamehe bure, kumbe tozo ni maamuzi ya serikali si yako wewe kama waziri

    Yale maombi mabaya mabaya wanayokuombea watu kwenye mitandao nina imani yatakupitia mbali, maana siyo kwa laana zile unazotupiwa. Naamini tozo zingekuwa ziko ndani ya uwezo wako ungekuwa umeshazifuta kwa hizi kelele, ila kumbe umefungwa na "Collective Responsibility".
  5. Fahamu madhaifu makubwa ya wanawake, unayoweza kuyatumia kumpata bila nguvu kubwa!

    Huu ni ukweli ambao hata wao wanawake hawaupendi, in fact masuala kama haya huwa naandika kwenye magroup yangu yenye wanaume wenzangu tu. Hii kitu naandika hapa, ni kwa mwanamke yoyote yule hapa chini ya jua, bila kujalisha dini, rangi, elimu, kipato, race, ni chibonge, ni mwembamba, ni mrefu...
  6. Ikitokea Baba yako ( Mshua ) Kaoa na Kazaa na Mwanamke unayemzidi Umri mkubwa ( Binti ) Salamu yako Kwake itakuwa ipi kati ya zifuatazo?

    1. Shikamoo Mama 2. Oya Binti Hujambo? 3. Niaje Wewe Mazeri? 4. Heshima yako 5. Za Kulala na Kuamka Maza 6. Uko poa? 7. Mzima Wewe? Nasubiri jibu lenu ili nianze kulifanyia Mazoezi mapema na nilizoee pia kwani Maji yameshavurugika tayari.
  7. Confessions: Umewahi kupata hisia za kimapenzi ama kuwa katika mahusiano na ndugu yako?

    Kiukweli haya ni mambo ambayo hatuwezi yaweka hadharani maana ni kufru lakini kwa hapa jamiiforums hakuna anaemjua mwenzake kuna privacy hivyo uhuru wa kutiririka siro zetu upo. Niliwahi kuwa na feelings na mtoto wa mamamdogo wangu ambae niliishi nae miezi miwili akiwa likizo ya form 6...
  8. Weka mfumo wa malipo unaotumia M-Pesa na Airtel Money kwenye tovuti yako

    Unapofanya uamuzi wa kuanza biashara yeyote unahitaji kujitengenezea kipato kizuri. kwa kuzingatia ubora na utofauti wa bidhaa unazoziuza. Unaweza ukapata wateja wengi na biashara yako ikakuwa kwa haraka. Kwa sasa tumekuwa na biashara nyingi sana. Wengi wetu tukisahau kuwa kuna biashara...
  9. H

    Setting za kujua waliokupigia wakati umezima simu yako (MTANDAO WA TIGO)

    Habari Zenu Waheshimiwa……!!!!!!! Naomba kufahamishwa Settings za MTANDAO WA TIGO au Codes za Kujua alie kutafuta hewani/Au alie Kupigia wakati simu yako ikiwa Off Line/Au ikiwa Imezimwa………!!!!!!! Kwa mfano MTANDAO WA VODACOM kama uko Tanzania ukibonyeza hizi Code *62*0754125125# Ukiwa...
  10. Kwanini kampuni au biashara yako lazima inahitaji uwe na website(Tovuti)?

    Karne hii kumekuwa na watu wengi wanao shauri kuwa na tovuti/website kwa ajili ya kampuni au biashara. Sa nyingine wamekuwa wakitangaza ivo, kwa ajili ya manufaa yao binafsi. Ikiwemo kujipatia kipato kwa kupitia kutengeneza website. Lakini wanao pokea izo kazi za website wamebaki na swali...
  11. Vitabu bora sana vinavyoweza kubadilisha maisha yako

    Wakuu habari...
  12. Aina ya watu unaopaswa kuwaepuka kwenye maisha yako. Hawa ni sumu ya mafanikio yako.

    Kuna watu wako maalum KUUA NDOTO YAKO(Dream killer) , Ni aina ya watu wabaya ambao kazi yao ni kuhakikisha wewe hufanyi kitu na hufanikiwi kutimiza ndoto yako. - Ni watu gani? - 1.Mtu mwenye imani ndogo. Huyu ni mtu anaamini katika udogo, haamini kama unaweza kuwa na biashara kubwa, haamini kama...
  13. 𝗞𝗮𝘇𝗶 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗻𝗶 𝗶𝗽𝗶? 𝗨𝗹𝗶𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗻𝗮 𝘂𝗺𝗿𝗶 𝗴𝗮𝗻𝗶?

    Habarini Naomba tushee mauzoefu apa kwenye huu uzi. Naamini katika hatua za mwanzo katika umri fulani kila mdau alianza kutafuta pesa. Wengine wameanza mapema sana, wengine wamesoma wakachelewa kuanza kutafuta pesa, wengine watoto wa mashavuni wanakula maisha tuu...nk. Nikiwa mdg miaka 13...
  14. Bajeti yako kwa siku ni shilingi ngapi kwa wewe mwenye familia?

    Tushirikishane bajeti yako hasa nyakati hizi ambazo bidhaa muhimu kama nafaka zilivyopanda bei. Je, wewe kwenye familia yako bajeti kwa siku ni shilingi ngapi?
  15. Ukicheka umba mbingu yako simo

    .
  16. ACP Kungu Malulu kazi yako ya kutukuka hapo Temeke tumeiona na tunakushukuru

    Nakumbuka niliwaambia watu kitendo cha ACP Kungu Malulu kuteuliwa kuwa Mkuu wa Polisi Temeke hao watoto zenu wanaojiita Panya Road muwakanye huku mtaani kuna watu walinidhihaki. Sasa kamanda Kungu Malulu ambaye alikuwa Kamanda wa Kipolisi Kanda Maalum ya Rufiji, ameanza kazi rasmi na ndani ya...
  17. S

    Kwa maelezo ya Mwigulu kuhusu trilion 360, maneno ya Tundu Lissu yametimia

    Tundu Lissu alisema bungeni kuwa kazi ya kamati ya makinikia ilioundwa na rais Magufuli ya prof. Osolo na prof. Mruma ni professorial rubbish. Alimaanisha kuwa haina maana yoyote na haitakuwa na matokeo chanya. Alishauri turekebishe kwanza sheria zetu, tujitoe kwenye baadhi ya mikataba ya...
  18. Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

    Anaandika, Robert Heriel, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Ukitaka bahati yako na mkondo wako wa pesa uanze kuyumba basi itakupasa uanze uzinzi au uasherati. Yaani hiyo ndiyo mbinu namba moja kabambe ya kujitia matatizoni. Nafsi ya mtu huchafuliwa na uzinzi, yaani ili mtu awe mchafu basi itampasa...
  19. Noti yako ya kwanza kutumia ilikuwa na saini ya Gavana yupi?

    Wakati unaanza kupata ufahamu wa kujua noti za Tanzania na kuzitumia, zilikuwa na saini ya gavana yupi?
  20. Adui anatawala watu wanadamu bila wao kufahamu

    This one is for the people. Adui anatawala watu wanadamu bila wao kufahamu. Ni Siri kubwa iliyofichwa katika namba. Toka binadamu anazaliwa huwa kuna namba maalumu ambazo initiates yoyote ambaye yupo kitendo anaweza kufahamu destiny yako. Namba ya kwanza MTU anayopewa IPO katika cheti cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…