Weka mfumo wa malipo unaotumia M-Pesa na Airtel Money kwenye tovuti yako

Iziwari

Member
Jun 5, 2021
76
56
Unapofanya uamuzi wa kuanza biashara yeyote unahitaji kujitengenezea kipato kizuri.

kwa kuzingatia ubora na utofauti wa bidhaa unazoziuza. Unaweza ukapata wateja wengi na biashara yako ikakuwa kwa haraka.

Kwa sasa tumekuwa na biashara nyingi sana. Wengi wetu tukisahau kuwa kuna biashara mtandao. Biashara inayokuhitaji wewe kama muuzaji, kumiliki tu tovuti. Itakayoweza kuonesha vitu unavoviuza.

Kila mfanyabiashara wa karne hii anatumia muda mwingi mitandaoni. Kutafuta data. Au taarifa za wapi anapoweza kujipatia wateja. Wengine wanatafuta taarifa za mahali pa kupata bidhaa mbali mbali kwa bei rahisi. Na hii ni njia nzuri sana ya kutumia mitandao.

Lakini leo naenda kukufundisha njia nzuri zaidi ya kutumia mitandao. Na njia hii sio nyingine bali ni kumiliki tovuti yako binafsi.

Ukimiliki tovuti, utapata faida nyingi sana.

Faida za kumiliki tovuti/website yako binafsi​

Utaweza kuweka taarifa zilizopangiliwa vizuri za kila siku kuhusiana na biashara yako. Wateja wako watakufikia kwa njia rahisi zaidi. Tovuti ni njia nzuri sana ya kujitengeneze kipato mtandaoni. Kwa karne hii ya 5G unahitaji kuwa na tovuti. Na wewe uanze kufanya biashara mtandaoni.

Swali ni: Je! haya yote tunayoyasema ni kweli? Kwamba tovuti ni njia nzuri ya kukuingizia kipato?

Jibu: Njia pekee iliyodhibitimshwa kukuletea kipato mtandaoni ni njia ya kutumia tovuti.

Tunapataje kipato kwa njia ya tovuti/website?​

Utajipatia kipato kwa njia ya kumiliki website. Pale ambapo utaitumia kama sehemu ya kujitangaza. Mahali watu wengi wanapokosea ni pale ambapo wanamiliki tovuti ambazo haziwa tangazi. Hii imepelekea kuondoa kabisa maana ya mtu kumiliki tovuti yake binafsi.

Kama umashawahi ku google. Labla neno "Ajira kwa wasichana mkoa wa arusha". Zikaja linki pale zinazokuonesha sehemu za kufikia taarifa hiyo. Utakuwa umejifunza kuwa taarifa izo umezikuta kwenye tovuti ya mtu.

Lakini kwa nini akupe taarifa izo zina faida gani yeye akikupa?

Faida ya kwanza ni kujipatia watu wengi kwenye kurasa za tovuti yake. Watu anaeweza kupata mtu kama huyu si chini ya watu 300 kwa mwezi. Na anaweza kutumia chanzo cha taarifa alizoweka pale kukufikisha kwenye taarifa nyingine kuhusu biashara anayoifanya. Ikiwemo kuuza vitabu vya ujasiriamali na kadhalika.

Natamani sana ningewafundisha kila kitu kuhusu uzuri uliopo kwenye kumiliki tovuti na jinsi inavoweza kukuletea kipato lakini ntaishia apo.

Leo tuzungumzie njia moja nzuri zaidi inayotumika ili. Tovuti hiyo ikuongezee kipato. Ni njia ya kuuza bidhaa au huduma mbali mbali. Zipo huduma nyingi unazoweza kuuza mtandaoni. Lakini nzuri zaidi utaziuza pale tu, utakapoweza kitu kipya mtandaoni. labda kama game au mfumo unaorahisisha upatikanaji wa taarifa mbali mbali.

Swali ni: Nitapokeaje malipo ya kuuza bidhaa na huduma hizi zote?
Malipo utayapokea kwa njia ya mpesa au Airtelmoney. Lakini kwenye online portals zilizopo kwa ajili ya kukuonesha kiwango ulicho ingiza. Ndani ya portal hizi unaweza kuhamisha ela yako kwenda benki na ikakufikia.

Naanzia wapi kupata hii mifumo ya malipo kwenye tovuti yangu?
Hatua ya kwanza kabisa unatakiwa kuwa mmliki wa kampuni. Iliyosajiliwa. Maana kila biashara lazima isajiliwe.
Unaweza kuanza kufwatilia namna ya kufungua kampuni yako binafsi mapema hata kama ni kijana uliemaliza chuo leo. Ili uweze kufanya biashara yako mtandaoni.

Pili utaanza hatua ya kujaza fomu za AIrtelMoney na Mpesa Fomu zinazohusika na upatkanaji wa API keys za malipo kwenye tovuti yako.

Tatu utahitaji mfumo wa malipo uliotengenezwa kwa njia rahisi na unaofanya kazi vizuri na tovuti yako.

Kwa upande wetu Iziraa Web Developers tumekuja na mfumo huu ndani ya tovuti za wordpress. Mfumo mzuri wa malipo unaounganishwa na tovuti yako kama plugin. Kwa wale wanaotumia wordpress wanajua "plugin".

Ni rahisi sana kuuweka ndani ya website yako pale ambapo umeshamalizana na Fomu za AirtelMoney na Mpesa.

Nautaka mfumo huu ntaupataje? maana nataka nianze biashara mtandaoni na nilipwe kwa kutumia mpesa na airtelmoney. Tupigie simu tukuelekeze pale tu baada ya kufungua kampuni yako. Ukishafungua kampuni uhakika wa kupata kila kitu kinachohusiana na mfumo huu wa malipo upo. tupigie "0756431032" Au WhatsApp. Mara baada tu ya kusajili kampuni yako.
 
Back
Top Bottom