yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kutengeneza fedha kwenye jamii yako

    Ili uweze kuwa na pesa nyingi unatakiwa kuwatazama watu wanaokuzunguka kwa jicho la tatu, huku ukifikiri ni kwa namna gani watu hao watakavyokupa pesa zao. Ili jambo liweze kutekelezeka hatimaye kuchukua pesa za watu hao wanaokuzunguka unatakiwa kuangalia na matatizo yanayowasonga watu hao...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa saini yako kwenye mkataba wa DP World, Waziri wa Ujenzi na uchukuzi bado upo madarakani kweli?

    Najiuliza tu, ni kweli wewe waziri wa Ujenzi ulisaini ule mkataba ukiwa na akili timamu? Nini hasa ilikuwa dhamira yako? Nani alikuwa nyuma yako? Wewe na waliokuwa nyuma yako mnajisikiaje kwasasa? Je, ni Mtanzania yupi mwenye akili timamu anaweza kukuamini wewe kwasasa? Huoni aibu kwani? Na...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiisahau nafsi yako, hawatausahau utu wako

    Inasemekana, ubinafsi ni sababu mojawapo inayowapelekea watu wengine kujinyonga. Ni Kwa sababu ya kujifikiria zaidi kuliko wanavyowafikiria wengine. Kadiri mtu anavyojifikiria sana, kwa wengine, ndivyo wanavyojiona hawafai au hawana faida. Lakini kama angefikiria jinsi ya kuwasaidia wengine...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Moyo wa simba: Kuimarisha ujasiri na uadilifu katika maamuzi yako

    MOYO WA SIMBA: KUIMARISHA UJASIRI NA UADILIFU KATIKA MAAMUZI YAKO Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Maamuzi ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Tunafanya maamuzi madogo na makubwa kila wakati, kuanzia chakula cha kula hadi kazi ya kufanya. Hata hivyo, si maamuzi yote tunayofanya...
  5. JamiiForums Tanzania Kula kwa urefu wa kamba yako

    Inasikitisha sana! Mtu unajawa uzalendo mpaka unamwagika. Unakuja kuona wapumbavu wachache wanaihujumu nchi yao wenyewe kwa tamaa ya mali na fedha. Ukijiangalia unajiona wewe ni kama tone la mvua linalopiga juu ya bahari. Unaamua tu nawe utafute mpenyo ule kwa urefu wa kamba yako.
  6. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nguvu iliyofichwa yenye kuweza kuinua uchumi, wako, ari na hali nyingine za kimaisha

    Kila mtu katika ardhi ana uwezo wake wa kutoa msaada. Msaada unatofautiana kulingana na mtu hadi mtu na uwezo wa kutoa msaada huo. Kuna mafanikio makubwa sana yaliyojificha katika kutoa msaada. Unaweza kujiuliza kwa nini walio wengi hutoa msaada? Kwa nini imeandikwa katika maandiko matakatifu...
  7. JamiiForums Tanzania Changamoto ipi unakumbana nayo katika mkoa wako au jamii yako na Serikali haijashughulikia?

    Hellow Africa 🌍 Tanzania kubwa lakini pia tuna viongo ambao tumewachagua kutoka kwenye jamii zetu kwa namna moja wanapatia na nyingine wanakosea. Je, kwako wewe katika eneo lake unalo is ishi au kwenu ulikozaliwa changamoto kubwa ni nini? Mimi kwangu ni barabara ni changamoto kubwa kutoka...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Subira Mgalu achukuliwe hatua kwa kumshambulia Profesa Tibaijuka bungeni badala ya kujadili Bajeti

    Nimemsikia bungeni Mbunge Subira Mgalu akimshambulia ndani ya Bunge, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka kuwa anapotosha umma kuhusu suala la DP World wakati akichangia Bajeti Kuu ya Serikali. Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Subira Mgalu alikosea kumzunguzia Prof Tibaijuka au kuzungumzia suala la...
  9. JamiiForums Tanzania Sugu nafasi yako ya kuchukua jimbo la Mbeya ni hii

    Nipo Mbeya kwa wiki tatu sasa, mjadala kwenye daladala na masokoni ni DP WORLD, nothing more. Watu hawamwelewi mbunge wao. Sugu kama unataka kushinda jimbo lako, nafasi yako ndio hii, siwezi kukufundisha cha kufanya ila weka mikutano uwashitakie wananchi kwasababu wanahitaji kusikia toka kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kujua leo yako unahitaji kujua jana yako

    KUJUA LEO YAKO UNAHITAJI KUJUA JANA YAKO Nimeweka picha nne hapo chini tati ni za maandamano ya wananchi yakiwakilisha makundi makubwa mawili katika jamii ya Watanzania. Picha ya kwanza ni ya Rais wa TANU Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyopigwa nje ya Ukumbi wa Karimjee akiwa anawaonyesha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ukweli usemwe! Kijana usipojifunza kutafuta pesa umasikini ni rafiki yako

    Tunatumia pesa kila siku na tunahitajika kutafuta pesa kila siku usiruhusu siku ipite bila kutengeneza pesa,na njia pekee ya kutengeneza pesa nikujifunza kutengeneza pesa.naumia sana nikimuona kijana mwenzangu wasasa pamoja na fursa zote hizi zilizopo bado anashindwa kujipatia kipato chochote...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume, piga simu kwa baba yako umwambie unampenda kisha uturudishie majibu hapa

    Hili zoezi lilifanywa siku ya baba duniani Kenya, ambapo wanaume waliambiwa wawapigie simu baba zao na kuwaambia wanawapenda. Wengine walikuwa hawajawahi hata siku moja kuwaambia baba zao wanawapenda. Uko tayari kujaribu zoezi hili? Tuambie baba yako alijibu nini ulipomwambia unampenda...
  13. JamiiForums Tanzania Je ni katika hali gani ulikosa kitu unachokipena , halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi kweny maisha yako.

    Amani iwe na nanyi! Kama kichwa cha mada hapo ,je ilishawahi kukutokea kukosa au kupoteza kitu ulichokipenda iwe kazi ,masoma ,mpenzi, ajira halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi. Kama baadhi yetu tunavyoaamini "kama kitu sio riziki yao au halali kwako basi huwezi kukipata ". Niongezee...
  14. JamiiForums Tanzania Ni siku ipi nzuri kwako ilikuwa na matukio nadra mazuri kwako?

    Niliwahi kumpa mwanafunzi mwenzangu shilingi laki 3 tukiwa chuo, yeye akiwa mwaka wa mwisho ili alipie kodi ya geto lake mimi nikirudi nihamie. Aliingia mitini kwa miaka mitatu hivi, siku ya siku nikiwa sina hili wala lile napokea meseji, shilingi laki 3 na elf 20 imeingia, napokea na meseji...
  15. JamiiForums Tanzania Fanya hivi ili simu yako ikiibwa au kupotea uipate kirahisi

    Kama kawaida mlinzi msomi nisiye na hiyana. Nilipanda bajaji mwaka 2021 nikasikia jambo, nami nikadadisi kidogo. Nikafanya kama nilivyoambiwa. Ukiwa na smart phone mbili , yako na ya mwenzi wako au yako na ya rafiki yako nenda kwenye Goole map then share location na simu nyingine. Hapa unaweza...
  16. JamiiForums Tanzania Weka aya/ mstari kutoka kitabu cha dini yako unaoona umeandikwa kwa ustadi, weledi na hekima ya hali ya juu

    Ukisoma vitabu vya watu mashuhuri kama shakespeare, kuna ile unakuta mwandishi ameandika kwa ustadi wa hali ya juu...yani ametumia maneno vizuri, yani maneno ameyatumia kama rangi vile kuchora picha nzuri sana inayovutia kutazama machoni. Bila stori nyingi au maelezo mengi, weka fungu la kitabu...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mimi ni Mtanzania na Tanzania ni moja, haigawanyiki wala haiuziki

    Rais Samia akizungumza na Wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kuwasili kwa Ziara ya Kikazi leo Juni 12, 2023. Akitoa Salamu kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye uwanja wa Ndege kumpokea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni Nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Toa Maoni yako Kuhusiana na Mchezo wa Koinange utakaoanza hivi karibuni nchini Sweden

    Yapi maoni yako kuhusiana na mchezo wa Koinange utakaoanza rasmi nchini Sweden hivi karibuni. Je unafaa kushiriki ama haufai kushiriki? Kwako habari hizi zinakupa picha gani?
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume, kutojiamini ndo adui yako mkubwa kwenye mahusiano na sio pesa wala mwanamke. Kwanini?

    Kutojiamini inajionesha kwenye tabia yako. Hata kama ulijificha lakini matendo yako yataonesha tu hujiamini. Na kama ulipata mwanamke anaweza kukuacha au kukusaliti. Sababu unaonesha tabia za kutojiamini. Kwanini wanawake wanawaacha watu wasio jiamini? Kwanini kutojiamini ni adui yako mkubwa...
  20. JamiiForums Tanzania Movies 15 ambazo hupaswi kuzikosa kwenye Library yako muda wote

    1. Lone Survivor (2013) 2. The Covenant (2023) 3. Extraction (2020) 4. 13 Hours (2016) 5. Operation Red Sea (2018) 6. Without Remorse (2021) 7. Mad Max: Fury Road (2015) 8. Saving Private Ryan (1998) 9. The Old Guard (2020) 10. The Hurt Locker (2008) 11. Hacksaw Ridge (2016)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…