yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unapata faida gani kuanika mambo yako ya msingi mbele za watu

    Siriiiiii, kuna kundi kubwa sana la watu hawajui madhara ya kuanika mambo yao ya msingi mbele za watu. Yaani yeye akipata dili lolote hata kabla halijatiki tayari kashawatangazia watu zaidi ya kumi, ndugu zangu hivi mnajua kuwa kwenye hii dunia tuaishi kwa kuviziana sana? Utasikia ooooh...
  2. JamiiForums Tanzania Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

    Mimi binafsi nilishwah kuliwa nauli 10k na precious, japo nikampat mbelen ila the moment nauli ililiw iliniuma mno. Toka apo sijawahi tuma Tena Kwa yyote.
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Siko tayari kuhongwa nikae kimya ili nisipokonywe hiyo title, mapambano ya Bandari yako palepale

    Muda mfupi baada ya kuvuliwa hadhi ya Ubalozi, Mwanasiasa Mkongwe, Dkt. Willbroad Slaa amesema "Niliwakilisha nchi yangu kimataifa, wanaojua ubora wa ubalozi wangu ni nchi ambazo nilizihudumia. Ubalozi ni historical, hautafutika. Nilishawapa ruhusa niko tayari wachukue ubalozi kwa sababu siko...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Umri huu ni kete yako ya mwisho, ukikosea ni majuto hadi unaingia kaburini

    Nina miaka 37, katika umri huu nimekuwa nafanya mambo mengi ya kiuchumi na kijamii hivyo najikuta nakutana na watu wengi sana tunaobadilishana nao mawazo yanayohusu mambo mengi ya uchumi na jamii, nilichokibaini wengi wa watu wanajutia makosa yao na wameshindwa kuyarekebisha makosa yenyewe ni...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia mjue adui yako, hao wenye ndoto za urais watakukwamisha tu

    Sio dhambi wala jinai kuwa na ambitions za kuusaka uongozi wa juu wa nchi, lakini wengi wanakuwa consumed na ndoto hizo, wako distracted, wanafanya siasa zaidi kuliko kazi waliyopewa, wanahangaika kukusanya fedha na kusuka mitandao yao. Watu hao sio wazuri kwako. Moja ya mambo yaliyomfanya...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Doto Biteko njia alotengeneza Makamba ni mbovu. Kwa kuanza tengeneza yako!

    Mh, kwanza nakupongeza kwa kuwa Waziri mpya wa Nishati. Nina imani na wewe! Mhe, kutokana na imani niliyonayo kwako.. nisingependa kuona unaharibu kama alivyofanya mtangulizi wako. Hivyo basi nakushauri kufanya yafuatayo : 1. Tengua bodi aloteua Makamba. Bodi imejaa watu wenye makando kando...
  7. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k. Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k. Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Je, kukataliwa au kutothaminiwa au kuonekana ni wa Ajabu na Kero ni Kurogwa au una Jini ndani yako?

    Unakuta kuanzia Wazazi wako, Ndugu na hata Marafiki bila sababu yoyote au Kosa lolote lile Wanakudharau, Hawakuthamini na Wanskuona ni Kero, Mzigo na hata Takataka Kwao. Na hali hii inaweza kukuta ukiwa una Ajira yako na hata Pesa au huna Ajira na Pesa vile vile. Na kama haitoshi pia hata ukiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

    Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya. Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu. Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele Mithali 6:32 Mtu aziniye na mwanamke...
  10. JamiiForums Tanzania Mpe neno mwanaume aliyekupa mimba yako ya kwanza

    Wamama mliozalishwa mtoto wako wa kwanza. Ebu mpe neno huyo mwanaume aliyekupa hiyo mimba ya mtoto wako wa kwanza!
  11. JamiiForums Tanzania Smart phone yako ya kwanza kutumia ilikuwa aina gani?

    Habari mwana JF. Smart phone yako ya kwanza kutumia (kununua, kununuliwa au kupewa) ilikuwa aina gani? Binafsi ya kwanza kununua iliitwa xbo😀 Ilikufa baada ya mwezi mmoja.
  12. JamiiForums Tanzania Mama Samia Mungu yu Pamoja nawe adui yako unaye ndani kwako piga kazi

    Angalizo Mods naomba huu uzi usiunganishwe na uzi mwingine tafadhali. Juzi walikusifia Jana walikuchoka Leo wanakuzomea kesho watakufukuza lakini hao hao kesho kutwa watarudi tena kwako hivyo wazoee endelea kupiga kazi. Walianza wanaojiita wanaojiita wanaharakati kupinga baadhi ya vipengele...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nipate maoni yako, katika Video hii Hekima iko wapi?

    Tafadhali angalia video hii ya dakika 2 halafu utoe maoni yako hekima iko wapi kati ya makundi hayo mawili
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa dini wako kwenye payroll ya idara nyeti hivyo matamko yao yako engineered na idara

    Viongozi wengi wa dini wako kwenye payroll ya idara nyeti na wamewekwa makusudi ili kuituliza jamii kipindi cha hamkani si shwari. Jiulize kwani mara nyingi hutoa matamko ambayo ukiyaweka kwenye mizania unayaona kabisa yako kinyume na jamii na hayana upako wa kimungu bali wa kisiasa? Bosi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Tafuta hela uheshimishe familia yako

    Anaandika, Robert Heriel Moja ya mambo yaliyonifanya nisome wakati ni mdogo, na sasa nahangaika kutafuta pesa ni suala la matukio ya misiba. Kwa kweli Taikon niliapa na katika hilo Mungu anajua, na atalisimamia yakuwa mke na watoto wangu kamwe hawataosheshwa masufuria na kutumwa tumwa bila...
  16. JamiiForums Tanzania Chalamila, kauli yako juu ya wafanyabiashara Makumbusho inavunja Katiba

    Nisikilize kwa makini mwanangu Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Jana nimekuona na kukusikia, ukiwa Stendi ya Makumbusho, ukiongea na wafanyabiashara wadogowadogo stendi pale. Kuna mambo ya msingi yalielezwa nao kwao; nawe kwao na hata na Mstahiki Meya Songoro pamoja na Mkuu wa Wilaya...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania watakujaza 'Upepo' kuisema Serikali ila ukikamatwa tu wanakuacha peke yako

    Ndiyo maana GENTAMYCINE ninachokiangalia ni mimi kula ugali, maharage na dagaa wangu, kuwa na kipato cha kawaida kikibahatisha kuwepo, amani yangu ya moyo, kula bata kama zikinitembelea na kumuabudu na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hii zawadi yake tukuka ya huu uhai wangu. Kwa nchi za Afrika...
  18. JamiiForums Tanzania Garbage in Garbage out: Acha kulalamika jambo lililo ndani ya uwezo wako au mamlaka yako

    Hello JF, Nitoe angalizo na kuwakumbusha viongozi au wenye mamlaka, acheni kulalamika au kuaibisha mamlaka zenu au nafasi mlizonazo, fanyeni kazi, nchi hii ina heshima kubwa epukeni kuaibisha nchi. Mnaowateua hawaombi kazi sasa iweje uropoke maneno ya aibu kwa taifa, libebe mwenyewe kifuani...
  19. JamiiForums Tanzania Kukosea Kununua LUKU hadi Uandike barua ndio urejeshewe fedha yako?

    Tusipotezeane muda niingie moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nilikuwa nanunua LUKU nikawa nimekosea namba moja nikawa nimenunua kwa mita namba nyingine. Nimepiga simu nirejeshewe fedha yangu naambiwa hadi niandike barua. Hivi TANESCO hawawezi kuwa na mfumo kama wa mitandao ya simu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia katika safari za maisha yako hususani kwa sisi vijana

    Hakikisha haya mambo yanakua Siri kwako; 1. Masuala ya mahusiano yako Hii haikumaanisha kujua status kwamba umeoa au umeolewa,hii imelenga watu ambao wanapenda kuongelea masuala ya mausiano yao mfano mwanaume kutangaza madhaifu ya mke wako kwa watu 2. Hali yako ya kifedha 3. Matatizo ya familia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…