wowote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Israel ni taifa Mwamba anayeweza kukuingilia na kukupiga ndani kwako na mkeo kama ngoma tu na humuwezi kwa wowote

    Kitendo cha Joka kuu la ifadhili wa Ugaidi duniani Iran kuingiliwa mpaka chumbani kwake na kutandikwa kama ngoma ni ishara tosha kuwa Israel hashkiki ... Israel Taifa dogo kwa eneo dogo zaidi hata ya eneo La Dar es salaam lakini mziki wake mnene dunia nzima inasimama....hawa majamaa hawacheki...
  2. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Mliandika barua hamtashiriki mchezo wowote tofauti na june 15 haya tuone kama june 25 hamtaleta timu.Msimamo upo Yanga pekee

  3. J

    JamiiForums Tanzania Je Kuna Uhalali wowote Kusalia Mbele ya Nyumba ya Ibada ya Dini Nyingine?

    Hicho ndicho kilichotokea wakati wa Eid Al Adha huko Montreal Canada. https://x.com/realMaalouf/status/1932453119792685440 Na bado Waziri Mkuu wa Canada katika salamu zake za Eid, alimwaga sifa kemkem kwa Waislamu. Swali jingine mtu anajiuliza je this love affair baina ya viongozi wa kisiasa wa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunaoujua Mpira wa Tanzania na Sarakasi zake tukiwa tunasema Jambo muwe mnatusikiliza tafadhali, haya jiandaeni muda wowote na Press ya TUNACHEZA Dabi

    Waliosema hadi Kuapia Mizimu na Miungu yao sasa wanajiandaa kuja na Press Conference ya Kuwaambia Mashabkiki zao kuwa baada ya Kikoa na Maelewano baina yao na waliokuwa Wanatunishiana Misuli na kwa Maslahi mapana na Mpira wa Tanzania wamekubali kuweka Silaha chini na KUCHEZA hiyo Mechi ambayo...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran inaweza kushambuliwa wakati wowote- Al Arabiya TV

    Idhaa ya Al Arabiya inaripoti: Israel itaishambulia Iran ndani ya saa 7 iwapo mazungumzo kati ya Iran na Marekani yatashindwa.
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanajiandaa kumpokea Mnyika muda wowote kuanzia sasa? Wenye za ndani watufahamishe

    Kuna tetesi za Mnyika kujiunga na ACT wazalendo, wenye za ndani watufahamishe!
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel ni nchi ya ki-Demokrasi hakuna ubaguzi wowote kwa mtu yeyote

    Kuna watu wengi sana wakishakula Maharage ya jana wanakula mstari wa mbele kueneza uongo wa kila aina kuhusu Israel. Wengi wanaoeneza uongo huo hata hawajui Historia ya Israel na hawajawahi kufika katika nchi hiyo wengi wamemezeshwa uongo na viongozi wao wa kidini na wengine wamevutwa tu na...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro haelewi kama hakuna mwekezaji ataenda kuwekeza kwenye nchi ambayo anajua muda wowote anaweza kutekwa na watu wasiyojulikana?

    Jerry Muro naona huelewi kama hakuna mwekezaji anaweza kwenda kufanya uwekeza kwenye nchi ambayo anajua muda wowote anaweza kutekwa na watu wasiyojulikana.
  9. Yoav Gallant

    JamiiForums Tanzania Simba hatochukua ubingwa wowote msimu huu.

    Kutokana na kiwango kisichoridhisha cha hii timu ni dhahiri msimu huu hii timu haiwezi kuwa bingwa kwenye mashindano yoyote inayoshiriki. Kuna uwezekano mkubwa Yanga akatetea makombe ya Crdb confederation na cha ligi ya Nbc. Kombe la shirikisho Afrika wote tunajua kilichobaki ni kukamilisha...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Israel yasema hata wakiachiwa mateka yenyewe itaendelea kuwagonga Hamas. Haicheki na wowote

    Netanyau huyu jamaa inawezekana ni muda mrefu alikuwa akitafuta sababu ya kuwachabanga Hamas. Hamas wakajichanganya. Wakajaa kwenye mfumo. Sasa kichaa kapewa panga. Anapasua roho zao. Hamas wanasema wapo tayari kukabidhi nusu ya mateka. Neta anasema hata mkitaka kaeni nao sisi hatuna haraka...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia asitulazimishe uchaguzi wowote kama utakuwa wa haki basi tufanye mabadiliko kama hataki ni wazi uchaguzi ni wakitapeli

    Samia asitulazimishe uchaguzi wowote kama utakuwa wa haki basi tufanye mabadiliko kama hataki ni wazi uchaguzi ni wakitapeli. Hatuwezi kushiriki uchaguzi ukawa wa haki ikiwa hata maamuzi ya uchaguzi ufanyike vipi umeegemea tu upande mmoja, kama ni haki na huru twende tukafanye mabadiliko kwa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ngoma za asili ya Uarabuni ni kivutio duniani

    Hii Ngoma inaitwaje? Utamaduni wa Kiarabu unajumuiaha Ngoma, Chakula na Watu.
  13. Martha Amosi Mwakalibule

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesoma Range management Niko tayari kwa mshahara wowote..

    I am Winfrida holding a Bachelor’s Degree in Range Management, currently seeking job opportunities in this field. I am committed, skilled, and ready to contribute to sustainable land and resource management.
  14. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Nimekandwa saili tatu mfululizo bila kwenda oral hata moja kwa kweli ni huzuni sifanyi tena usaili wowote

    WAKUU HABARI. NIMEKANDWA SAILI TATU MFULULIZO KWENYE WRITTEN TU TOKA NIANZE KUFANYA USAILI AISEE. ADMINISTRATIVE OFFICER YA BUNGE CHALI. MDA & LGAs CHALI, TRA CHALI, MACHUNGU YAKE SIO KITOTO AISEE BORA NIKIMBIE TU😂😂😂🤣😂.Hapa tunashauriwa kuto kukata tamaa lakini mmh hii ni moto unakosa marks 5...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote katika hili ?

  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mshtakiwa asema Bado AKILI YAKE HAIPO SAWA. Inaweza FYATUKA MUDA WOWOTE kesi ISIENDELEE

    Hapa kisheria wanasheria mnadhani mwanasheria wa mshtakiwa nakusudia nini? Mpango hapa ni nini?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia za timu za kiarabu hapo ndio najua kwanini kule gaza Israel acheki na wowote

    Kwa hizi tabia za kishenzi hawa jamaa ndio maisha yao....
  18. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

    Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha. Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu. Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa. I mean no malice to nobody.
  19. Cantona fundi mkuu

    JamiiForums Tanzania Hivi hii miradi anayozindua Rais Samia kuna mradi wowote aliouanzisha yeye Ukitoa aliyoikuta ya Hayati Magufuli?

    Mm sio mtu wa siasa ila nmekuwa nkijiuliza haya maswal nkaona nilete Uzi huu nipate kujua ukwel maana mwezi wa 10 sio mbali Nmekuwa nliona tangu mwaka unaanza mama anaenda kuzindua miradi mbali mbali.. Na kusifiwa sana Je ni miradi aliyoisamia yeye kuanzia 0 Hadi 100 au ni miradi aliyoikuta...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Makonda: Nyama tuliyochoma Arusha haina uhusiano wowote na mafundisho ya Dkt. Janabi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametania kuwa nyama choma ya Arusha haina uhusiano wowote na mafundisho ya Dkt. Janabi kuhusu masuala ya afya. "Mhe. Rais, sherehe zetu zilihitimishwa jana na ulaji wa nyama... Nyama ya Mkoa wa Arusha haina uhusiano na mafundisho ya Dkt. Janabi. Sisi...
Back
Top Bottom