Tungojee kutangazwa kifo cha Ayatollah Ali Khamenei muda wowote?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1750117464030.png

Ukiwasikiliza vizuri Donald Trump na Benjamin Netanyahu, kuna mchezo unafanyika ili kuiahadaa dunia na Iran. Netanyahu anasema lazima aangushe utawala wa kiimla wa Iran. Trump anasema amemzuia. Kwa wenye akili, hii ni ishara kuwa kuna kitu wanapanga. Kwanza, wawili hawa hawaaminiki. Pili, mashambulizi yanayoendelea yanasema mengi hasa Trump alipowahadaa wairan wakawekeza kwenye mazungumzo wakati Netanyahu akijaandaa kuwachakaza. Tatu, kuawa kwa viongozi wa kijeshi kunamaanisha nini kama siyo kuimaliza Iran na kupandikiza utawala kibaraka? Nne, tujikumbushe walivyouawa viongozi wa Hezbollah na Hamas na Wapalestina kwa ujumla.
1750117514630.png
 
View attachment 3372235

View attachment 3372241
Ni kweli,buriani ayatollah ali khamenei
 
Nafikiri anytime atakuwa matyr na kukabdidhiwa mabikra 72
 
Ultimatums za Trump hizi hapa:-
1. Wanadhibiti anga la Iran
20250618_180613.jpg

2.Wanajuwa Ayatollah Ali Khamenei alipojificha
20250618_180619.jpg

3.Atoke mwenyee AJISALIMISHE la sivyo...
20250618_180628.jpg
 
Wangekuwa na mpango wangefanya kimya, iyo ni siasa ya kitisho.
 
Back
Top Bottom