wowote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Natafuta ajira Mkoa wowote

    Habari zenu. Naitwa Steven Godlsten Natafuta ajira Mkoa wowote ajira ya halali... Elimu yangu ni Kidato cha Nne. Mofisini, Kampuni, Madukani hata Mashirika pia Mimi niko Mkoa wa Kilimanjaro.
  2. L

    Mpambe wa Mwigulu, Iramba hana weledi wowote wa kiuongozi zaidi ya siasa tu

    Huyu ni Mwenyekiti wa Hkamshauri ya Wilaya ya Iramba - Innocent Msengi. Huyu kama bosi wake Mwigulu alirudia shule ya msingi zaidi ya mara tatu - awali akiitwa Masaganya Zengo - then likaja la Mandi Kapendo lakini alilotumia mwishoni kabisa akisoma Tumaini Sekondari alimalizia na la Innocent...
  3. Pascal Mayalla

    Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala hizi za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hizileta kwa mfumo wa swali fikirishi na mimi kutoa tuu maoni yangu lakini kukupa wewe msomaji fursa ya kufikiri, kushauri na kutoa majibu unayoona yanafaa. Swali la leo ni kuhusu kuibuka na...
  4. GENTAMYCINE

    Muda wowote tegemeeni Taarifa ya Kapombe na Hussein kurejeshwa Taifa Stars

    Kinachochelewesha tu Taarifa yao kutolewa ni jinsi gani Waliowaacha watahimili aibu na chuki zao Binafsi dhidi ya hawa Mabeki Wawili wa pembeni Shomary Kapombe na Mohammed Hussein Tshabalala. No Upumbavu na Uwendawazimu uliovuka mipaka kwa Wachezaji Wakubwa, Wanaocheza Michuano mikubwa ya...
  5. L

    Kama jiwe alikuwa na ubaya wowote Ni chama chake ndio kinawajibika 100@%

    Watu wengi tunajaribu kurubuniwa eti kuwa mwamba Ni mbaya ,Ni mtu mbaya ,Mimi ninachowaza Ni kuwa kama kwa namna yoyote alikuwa na ubaya wowote Ni chama kilichomsimamisha kimesababisha hayo,hakina mfumo madhubuti badala yake wapo radhi kufanya lolote mradi malengo yenu yatimie,nafahamu...
  6. Chikenpox

    Kuna bomu linakaribia kulipuka muda wowote

    Huwa nikitembea mtaani nasikitika sana vijana wanavyohangaika hususani Hawa waliomaliza vyuo vikuu bila ajira yoyote na serikali ni kama imejivua jukumu na kuwaona wakawaida tu kana kwamba wao hawataki maisha. Juzi nimemuona mtu ana masters anauza nguo za mitumba kwa kutembeza mpaka jioni...
  7. M

    Kitu kiko Jikoni tayari kinapakuliwa wakati wowote hivyo tuwapigie Simu Waganga wetu wa Kienyeji watuokoe ili tusinyolewe mazima

    Huenda kuna Mtu ama Watanzania tukaenda nae pamoja Kuhamia nchini Burundi na Basi la Esther au tukajikita zaidi na Kilimo cha Mafuta ya Alizeti au Kufuga Kuku Mkoani Singida.
  8. HERY HERNHO

    Urusi kujaribu silaha mpya za nyuklia muda wowote Marekani akifanya hivyo

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amekuwa akilihutubia Bunge la la nchi hiyo. Ametumia mwanzo wa hotuba yake kurudia nadharia ambazo amekuwa akitumia mwaka mzima uliopita: anadai kuwa ni Washington ambayo "ilianzisha vita" na mapema mwaka 2022 iliitaka Ukraine kushambulia Crimea na Sevastopol...
  9. M

    Ili kuwatuliza mashabiki wenye hasira kufungwa na Raja Casablanca FC jana nina uhakika hili kutokea muda wowote

    Ama kabla ya Mechi na Azam FC Keshokutwa Jumanne au baada Kocha Mkuu wa Simba SC atafungashiwa Virago ( atafukuzwa ) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Benchi la Ufundi na Timu atapewa Kocha Msaidizi Juma Mgunda na Kocha wa Vijana sasa Selemani Matola atarejeshwa Kikosini kumsaidia Mgunda na hawa...
  10. S

    Kutaka Daktari awepo kazini muda wowote unaomuhitaji ni uonevu, mkitaka hivyo ongezeni pesa ya overtime

    Kumbuka udaktari ni kazi kama kazi zingine. Mtu mpaka anakuwa daktari ametumia gharama zake kufika hapo, hakushushwa tu puuuh akawa daktari. Vilevile daktari kama wafanyakazi wengine wana muda wao wa kazi ambao kikawaida huwa ni masaa 8 baada ya hapo ana haki ya kufanya au kutofanya kazi mara...
  11. Stephen Ngalya Chelu

    Taja album unayoweza kuisikiliza mwanzo mwisho bila kurika wimbo wowote

    Kwa upande wangu... 1. Good Kid Maad City - Kendrick Lamar 2. The Verteller - Dizasta Vina 3. Damn - Kendrick Lamar 4. Doo-Whoop & Hooligans - Bruno Mars 5. Bad - Michael Jackson
  12. Brain Kingdom

    Upendeleo kwenye jambo lolote, maudhui na muktadha wowote si afya

    Wasalaam JF Niseme ya kwamba upendeleo ukizidi si afya iwe kwa namna yoyote ile, mizania iwe sawa iwe kwa wanao wapendeza na wasio wapendeza nyie miungu wa dunia wenye vyombo na mali zenu. Pingu hazitawashibisha fairness iwe ndio msingi wa kazi yenu. Wadiz
  13. GENTAMYCINE

    Sasa ni rasmi ukiwa Mtangazaji wa TBC 1 jua una 99% za muda wowote kuwa Mkuu wa Wilaya

    Hii inaonyesha kuwa huenda katika Media zingine (ukiachana na TBC) huwezi kumpata Kiongozi mahiri au hawajaiva Kimaadili hivyo hawastahili kuteuliwa kuwa Wakuu wa Wilaya.
  14. F

    'Kutofungamana na Upande wowote', sera iwekewe mkazo kuepusha migogoro ya kidiplomasia. Suala la Nemes Tarimo ni doa

    Baada ya kusikia habari za mtanzania aliyeuawa vitani nchini Ukraine akipambana upande wa Urusi dhidi ya Ukraine nilishangazwa sana na kujiuliza, ilikuwaje? Maneno mengi nikaanza kusikia kabla ya siku ya leo serikali kutoa taarifa ya kilichotokea. Kuna wengine walidai ni mwanafunzi...
  15. adriz

    Jezi za Taifa stars kutolewa hovyo kama njugu bila uwoga wowote tuhesabie ni upigaji?

    Moja kwa moja, Barabarani na kwenye nimekutana na Jezi tofauti za Taifa stars Og zaidi ya ishirini na kitu ndani ya msimu mmoja za aina tofauti tofauti kinyume na zile rasmi zilizotambulishwa na Tff kwa matumizi ya wachezaji na mashabiki wa Taifa stars. Jezi zenyewe ni hizo hapo chini...
  16. MR.NOMA

    Je, umewahi kupata alama A zote kwenye mtihani wowote shuleni? Ilikuwa shule gani na ulijisikiaje baada ya matokeo hayo?

    Wakuu kwema! Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi. Je, humu jf tupo watu...
  17. R

    Ili kuondoa ukakasi wa teuzi zinazofanywa, uteuzi wowote unaofanywa uoneshe sheria iliyotoa mamlaka ya kuteua

    Kukosekana Kwa sheria inayotoa mamlaka ya kuteua kunawafanya watendaji WA Ofisi ya Rais kutokutumia nguvu Sana kutekeleza majukumu yao. Endapo Rais atamtaka Zuhura Yunusu kuweka katika press zake za kuteua na kutengua vifungu vya Sheria au katiba basi washauri WA sheria ofisini kwake Watakuwa...
  18. P

    Hakuna mpango wowote wa kuwanasua Watanzania na umasikini uliyotopea!

    Nilimsikiliza Rais Dkt. Samia akigusia suala la behewa zetu used akisema, zimeagizwa ili zianze kutumika kabla ya zile mpya na nzuri na zenye gharama kubwa kuja, na ambapo amesema zitakuja mwaka kesho 2023. Swali la kujiuliza, kulikuwa na uharaka gani wa kutumia pesa zingine ambazo ninahisi...
  19. M

    Kafulila: Rais Samia Suluhu kusuka upya mfumo wa Elimu ya Tanzania ni zaidi ya Uamuzi muhimu wowote uliowahi kufanyika baada ya Uhuru

    === Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu, Leo, Nchi yetu Kuna baadhi ya maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo...
  20. D

    Uchambuzi; Usafiri wa ndege ni salama kuliko usafiri mwingine wowote, ajali ya precision lawama kwa waokoaji. Hongera rubani

    Ndege ni chombo cha usafiri kinachoongoza kwa usalama kuliko vyombo vingine! Ukubwa wa ajali ya ndege hutegemea na uzembe wa mamlaka zingine saidizi! Ndege ina injini zaidi moja, mfano zilizopo Tanzania nyingi zina injini tatu! Injini moja ikifeli haizuii ndege kutua kwa kutumia injini...
Back
Top Bottom