wote

  1. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Serikali Rasmisha KAZI za wajasariamali wote KWA kugawa vitambulisho kama zamani Ili mkusanye mapato Mengi zaidi KWA mwaka.

    Tozo pekee sio suluhisho la uchumi wetu . Rudisha vitambulisho KWA wajasiria mali,vitambulisho viwe na gredi kutokana na mtaji wa muhusika,yaani ;- Gredi A Wajasiria mali wenye mitaji ya kuanzia milion 100 na kuendelea hao walipe hata laki tatu KWA mwaka!TRA watamuandalia kanuni mpya ya...
  2. aka2030

    JamiiForums Tanzania R&B na Hip Hop zilizotamba kwa muda wote Tanzania

    Kwa sisi tuliozaliwa karne iliyopita ambayo karne hii tulikuwa na uelewa kidogo na kufuatilia music tutakubaliana kuwa nyimbo hizo enzi zake zilibamba sana na mpaka sasa zikipigwa sehemu lazima shangwe 1. Dilemma-Nelly ft Kelly 2.Make it rain-fat joe 3.In da club-50cent 4.Ineed a girl -p diddy...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe mkulima alishawahi kuwafunga mabingwa wote wa playok kwenye draft

    Kwa wachezaji wa Draft la playok, Tunajua mabingwa wa kule ni ashkelon, Davidmbeya, kongomsumari, na mohammed19997, ila cha ajabu wote hao walishapigwa na mkulima wakaishia kumuita mkulima ni software 😅😂 Nimeangalia statistics za mkulima kule playok Ashkelon alipigwa 2 bila na mkulima...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naona taratibu sasa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anaanza Kuwafanya wana Yanga SC wote ni Mazuzu

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said katika Mkutano wake na wana Yanga SC katika Mikutano yao ya Kikatiba aliwahi kusema kuwa Udhamini wa Jezi wa GSM kwa Yanga SC umeipatia Klabu hiyo Tsh Bilioni Nane ( 8 ) kwa Mwaka na Mazuzu kama Kawaida yao Wakamshangilia na Kushangilia. Jana tu Rais wa Yanga...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba sahau ile ndoto yako ya kutaka kuwa Rais Tanzania

    Mungu mkubwa na ni fundi sana,umepewa cheo kikubwa cha uwaziri wa fedha,ambao ki ukweli imetusaidia kukuelewa, wewe ni kiongozi wa aina gani. Ni Kiongozi wa hovyo na mwiba kwetu sisi Watanzania. Toka Umepata Uwaziri, Watanzania ni maumivu, kwa kila kitu kupandishwa kodi na vitu kupanda bei...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Ni Msanii Gani wa Bongo Fleva mwenye Nyimbo nyingi wa wakati wote,? Sugu, Juma, mond au prof

    Watanzania kwenye suala la kuweka kumbukumbu na takwimu tuna tatizo kubwa sana, kuanzia mtaani Hadi serikalini. Leo nimekaa nimejiuliza he ni msanii Gani wa Bongo Fleva anayeongoza Kwa kurecord trucks nyingi na zilizokuwa released sijaweza kupata jibu, lakini Kwa mawazo yangu anaweza akawa kati...
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Wajameni Kila mtu amkune mwenzie ! Wote tunawashwaaa?

    Kuna kiongozi alisema tukimkuna atatupapasa!! nilitaka nimkumbushe tu kwamba na sisi wananchi tunahitaji kupapaswa na viongozi wetu Ili na sisi tuwakune! Naona ikitokea teuzi mnapapasana wenyewe ! Ila likija swala la maendeleo, Kodi na tozo mnataka tuwakune!! Iiii Bha ghosha!
  8. GentleGiant

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tuwajibike kwa pamoja

    (Kijana) Jioni ya leo siwezi kulala na njaa tena.Nitafanya kila namna nipate chakula. Nguvu nazo zimeanza kuniishia, sijui kama nitafanikiwa kutoka salama lakini siwezi kulala njaa na leo. Kuomba watu wameshanichoka, kazi hata za vibarua zimekuwa ngumu kupatikana nikae nife na njaa? Hapana...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi hawana tofauti na mashabiki, wote maandazi

    Hivi wabongo tunaweza wapi,maana kila sehemu ni ujinga ujinga tu. Sasa wachambuzi wamegeuka kiwanda cha uzushi
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

    Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi. - Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania India: Serikali yafunga Shule 34 baada ya Wanafunzi wote kufeli mitihani

    Mamlaka za Jimbo la Assam lililopo Kaskazini-Mashariki mwa Nchi hiyo zimefikia uamuzi wa kufunga shule 34 baada ya Wanafunzi wengi kufanya vibaya katika mitihani na kuwahamishia katika shule nyingine Maelfu ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali za Jimbo hilo walifanya mtihani wa Cheti cha...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afya ya Umma ni muhimu kwa kuwa inakuza ustawi wa watu wote katika jamii

    Afya ya umma ni namna ya kulinda usalama na kuboresha afya ya wanajamii kupitia elimu, utungaji sera na utafiti wa kuzuia magonjwa na majeraha Afya ya Umma ni muhimu kwa kuwa inakuza ustawi wa watu wote katika jamii huku ikihakikisha usalama wa wanajamii na kuwalinda dhidi ya kuenea kwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Diamond amempa nini shetani mpaka kapata pesa nyingi sana na umaarufu wote huo?

    Wasanii wakubwa tena wakongwe wanalalamika mziki wa bongo fleva haulipi k.v Chidi benz, Veemoney na Dudubaya, Diamond amewezaje kupata hela hadi ya kununua rolls royce na kulipa bodyguards? Diamond anafahamika hadi Nigeria, Na Afrika nzima, hakuna msanii wa kibongo anayefahamika kama Diamond...
  14. Merci

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa kuwa na Bima ya Afya kwa wote na kuikuza NHIF

    Mheshimiwa Rais, naomba upokee maoni haya kuhusu NHIF. Ili kufikia lengo la afya kwa wote na pia kuwa na NHIF stable, ni vema kila raia wa Tanzania mwenye NIDA hadi watoto wasajiliwe na kuwa wanachama wa NHIF. Michango ya NHIF iwekwe kwenye mfumo wa TOZO kwenye bidhaa kama umeme, maji na mizigo...
  15. Richard

    JamiiForums Tanzania Uingereza kuwa na Mawaziri watatu wenye asili ya Afrika ambao wataongoza Wizara nyeti za nchi hiyo, Fedha, Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani

    Waziri mkuu mpya wa Uingereza bi Liz Truss jioni hii ameanza kuunda baraza lake la mawaziri na bwana Kwasi Kwateng ameteuliwa kuwa waziri wa Fedha huku bwana James Cleverly akichukua nafasi ya uwaziri wa mambo ya nje. Bi Suela Braverman ameteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani kuchukua nafasi...
  16. aka2030

    JamiiForums Tanzania Inamaana simba wachezaji wote ni wazee?

  17. M

    JamiiForums Tanzania Mashimba Ndaki, Waziri wa kwanza wa mifugo tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki

    Mashimba Ndaki Waziri wa kwanza wa mifugo Tanzania tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki apongezwe na kutiwa moyo zaidi Nawasalimu kwa Jina la JMT, Tangu Tanzania ipate Uhuru wake Dec 1961, Nchi hii haijawahi wala kujaribu kutambua mifugo yake kama ilivyo kwa Mataifa...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Idugunde nimekuwa very wise. Muda wote convern yangu ni juu ya mustakabali wa taifa langu. Masuala ya mpira wa Ulaya hata Bongo sifuatilii

    Mimi nakula Balimi lager siku za weekend kama leo. Siwezi kupoteza muda kushabia Man U au Arsenal. Taifa letu lina changamoto nyingi. Tozo zimekuwa kama mwiba wa Gogogo kwa watanzania. Wanaumia kila kona. Nawafuata na kuwauliza na kila mtanzania analalamika. Anaona sasa ni kumizwa na mwiba wa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya bima kwa wote yabebwe na huduma bora pasipo kulazimishana kwa kunyimana huduma zingine za kijamii

    Kuna mtaalam mmoja huko uingereza aliwahi kusema "Jambo jema likifika kwa wajinga, hugeuka dhahama" Mfano wa Msemo huu tunaweza kuurejelea kwenye tamthilia ya "The god must be crazy" pale ambapo Chupa iliangushwa kutoka kwenye ndege na kuokotwa na 'Bush man'! Kwa hali yao ya ujinga, ile chupa...
  20. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania WOTE HAWA WAMEWAHI KUIFUNGA SIMBA

    Kwa mfano Simba na Yanga Oktoba saba apige MORRISON, nane ZAWADI MAUYA, tisa FEITOTO, kumi MAYELE, kumi na moja AZIZ KII WOOOTE hawa WAMEIFUNGA SIMBA kwa nyakati tofauti
Back
Top Bottom