wote

  1. A

    JamiiForums Tanzania Barua yangu ya wazi kwa Wana JF wote

    Habari Wana JF ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Ni mimi kijana wenu mpendwa, ninaesomeshwa Kwa Kodi zenu katika moja ya Chuo kikuu hapo Dar es salaam. Ni ukweli usiopingika kuwa, hatima ya taifa lolote lile lipo mikononi mwa walimu. Kwa miaka ya hivi karibuni taaluma ya Ualimu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makamba na Byabato wametolewa wote Wizara ya Nishati na wote kupelekwa Wizara ya Mambo ya Nje?

    Jamani kuna mtu anajua kwanini hawa mabwana wameondolewa Nishati na wote wamepelekwa mambo ya Nje?
  3. JamiiForums Tanzania Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote

    Ndugu wana JF wenzangu, kulingana na andiko hilo linalopatikana kwenye kitabu kitakatifu cha Biblia, Napenda kuchukua fursa hii kumuomba radhi mtu yeyote ambaye nitakuwa nimemkwaza kwa namna moja ama nyingine. Awe mwanasiasa, kwenye chama na Serikali wale niliowahi kufanya nao kazi au...
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA RIP Kijana Mpambanaji Oscar Mtweve. Poleni Wanafamilia na Ndugu jamaa wote wa JF

    Nimepokea kwa masikitiko Makubwa sana taarifa za Kifo cha Huyu Rafiki yangu na mwana JF mwenzetu. Dunia tunapitia ama kweli😭😭😭
  5. JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli katika mabalozi wote wa Tanzania Polepole anajitahidi

    Naona kila anapopangiwa hatulii. Atapambana kutafuta fursa na kujaribu kuconnect na watanzania wanaovutiwa. Nimeona matangazo yake huko Cuba anajitahidi. Sijajua matokeo ya ubunifu wake lakini kwa mtazamo wangu wa kiraia anajitqhidi. Kuna wengine wakipangiwa ndio unasahau kama huyo mtu yupo...
  6. JamiiForums Tanzania Tafakuri ya FaizaFoxy 9: Ushauri kwa Rais Samia, Dr. Hussein Mwinyi na Watanzania wote kuhusu Uchumi wa Bandari wenye tija

    Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele. Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuanza kuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longolongo. Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia...
  7. JamiiForums Tanzania Binafsi sijapata ongezeko la mshahara hata shilingi 1. Ni Mimi tu au ni wote?

    Habari! Vipi jamani na kwenu imekuwa kama Mimi hamjaoana nyongeza hata Senti moja au ni Mimi tu? Thanks
  8. JamiiForums Tanzania Waraka mpya kwa wanaume wote

    KIKAO CHA WANAUME. Kikao cha wanaume kimeisha salama jana. Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya. Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu cha 12, kilichokuwa kikisema hairuhusiwi kumpa hela mwanamke ambaye hujamuoa wala hujazaa nae. Labda...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hii ndio njia rahisi ya kuwafanya waislamu wote duniani kuwa wakristu au wakristu wote duniani kuwa waislamu

    Duniani kuna dini nyingi ila wakristu na waislamu ndio dini mbili pekee juu ya uso wa dunia ambazo kila moja inajiona ndio dini/imani/ bora, sahihi na yenye haki mbele za Mungu kuliko zote duniani. Waumini wa dini hizi wana share sifa moja inayofanana nayo ni selfishness. Kwa maana ya...
  10. F

    JamiiForums Tanzania January Makamba aliwahi kushauri wote waliozaliwa kabla ya 1961 wasigombee Urais

    Ujana una mambo yake mengi sana tena Sana tu. Mheshimiwa January Makamba Enzi hizo akiwa ni mmoja wa watarajiwa wa kuchukua fomu za Ugombea Urais CCM 2015, alitoa maoni kuwa siasa na uongozi wa nchi ni sharti uende kwa vijana. Alienda mbali kwa kusema wote waliozaliwa mwaka 1961 kurudi nyuma...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, ataweza kufanya kazi kweli? Aliyeajiriwa ameanza na Tgs C huku yeye akiwa na Tgs B. Na wote wanadiploma

    Umeme umekatika na baada ya mshahara kuingia ameniamsha na kuanza kuwaza tu Mbona ajira mpya wanashahara mkubwa kuliko yeye?
  12. JamiiForums Tanzania Moses Phiri ametushukuru wale Wote tuliompambania hadi sasa ameanza kupata Namba Kikosini na Kufunga pia

    Yaani kabisa GENTAMYCINE na wana Simba SC Wengine akina rodrick alexander na SAGAI GALGANO tukupiganie halafu Usisikike na Usifanikiwe au Usilishinde tatizo lako linalokukabili? Sasa Phiri anacheza nina Furaha mno kwani ndiyo Mshambuliaji wangu bora kuliko Wote Kikosini Simba SC.
  13. JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa: Kwanini karibia Viongozi wote huibukia huko?

    Hivi hii hutokea tu kwamba kila matukio yakitokea basi Watawala wengi hupotea na kuibikia huko Kanda ya Ziwa Mikoa ya Kagera au Mara na Mwanza, huwa matukio yanawakutia huko kwamba imetokea tu wakawa huko mipakani au kuna mengineyo? Hata Tundu Lisu hatujui yuko wapi sasa hivi binafsi...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wote waliotufikisha kwenye mtanziko huu Watengwe na Kanisa?

    Sauti ya watu ni sauti ya Mungu, "Vox populi vox Dei." Nimefurahishwa na tamko la Maaskofu wa kanisa Katoliki juu ya mtanziko huu ulio tupata juu ya kusainiwa kwa makubaliano ya uendeshaji wa bandari kupitia kampuni ya DP-World yaliyotuletea wasiwasi mkubwa juu ya mustakabali wa Taifa letu...
  15. JamiiForums Tanzania Samia ni Rais wa Watanzania Wote Tunamuhukumu kwa matendo na siyo Dini yake

    Kwa ufupi kabisa sakata la DPW ni ukiukwaji wa wazi wa sheria na katiba ya nchi yetu. Ndiyo maana hata wanaopinga wanataja vifungu vya sheria ambavyo vimekiukwa. Sasa wale wenzetu wa upande wa pili sisikii wakitaja vifungu chochote cha sheria kuutetea mkataba kwamba ni halali bali na kuongea...
  16. JamiiForums Tanzania Confirmed: Waraka wa Baraza la Maaskofu Wakatoliki(TEC) wasomwa hadharani kwa waumini wote kwa makanisa yote RC Tanzania nzima

    Niko hapa kuthibitisha hilo pasi na chembe ya shaka yoyote leo nimehudhuria ibada ya misa takatifu katika kanisa la St Joseph Cathedral Dar. Waraka umesomwa kwa waumini wote, na kupitia reliable source ya Jesuits agent amenithibitishia makanisa yote na vigango vyote vya kanisa katoliki Tanzania...
  17. H

    JamiiForums Tanzania " La T.E.C. sio Tamko la Bandari, ni waraka wa Bandari kwa Watanzania wote" au (barua ya kichungaji kwa watanzania.)

    Tusichanganye dini na siasa, au viongozi wa dini ingieni kwenye siasa, imekuwa silaha kubwa kwa wanasiasa wezi, mafisadi, majambazi, wabadhirifu wa mali za umma, kuwazuia viongozi wa dini kufanya kazi yao ya kufundisha kuonya, na kukemea maovu katika jamii. hata wakati mambo yanakwenda vibaya...
  18. JamiiForums Tanzania 93.6% ya Watanzania wote walizaliwa baada ya Muungano

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Muungano wa Nchi mbili huru za Tanganyika na Zanzibar. Muungano huu ulioasisiwa na viongozi wakuu wa nchi hizo ambao ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyekuwa Rais wa kwanza Tanganyika na Sheikh Abeid Aman Karume aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar na...
  19. JamiiForums Tanzania Jana ndio nimeelewa kwanini GSM, MO, ASAS, BAKHRESA wote ni CCM

    Naskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Wachina waenzi na kuendeleza moyo wa “Baba wa Mpunga Chotara” wa kuwanufaisha watu wote duniani kwa chakula

    Kilimo ni uti wa mgongo wa maisha na pia ni sehemu muhimu sana hasa katika jamii yetu ya kisasa, ambapo kinaathiri chakula tunachokula, ardhi tunayoishi, na mambo mengine mengi ya jamii yetu. Mamilioni ya watu wanaweza kujikwamua na umaskini duniani endapo watawekeza kwenye sekta ya kilimo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…