wote

  1. JamiiForums Tanzania DED - Maswa, Bw Maisha Mtipa alazimisha watumishi wa umma wote Maswa DC kwenda kukesha na mwenge (Kibatari) tarehe 27/7/2026 uwanjani!

    Mliokuwa hamjui ni kwamba; Moja ya hirizi ya uchawi wa CCM ulioteka na kuharibu akili za watu na kuwa kama mazezeta ni hii koroboi inayoitwa "Mwenge wa Uhuru..." Godbless Lema wakati fulani aliwahi kusema, umefika wakati hiki kibatari kipelekwe na kutunzwa ktk makumbusho ya taifa kama...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nimewaona Ma RAIS 5 Baada Ya Rais Samia. Wote Wamepikwa na Wamepitia Mikono Mwake ,Uwezo Wao na Uzalendo Wao Ni Mkubwa Sanaa Kwa Taifa letu. Tuwaombee

    Ndugu zangu Watanzania, Nimewaona na kuonyeshwa Ma Rais 5 Watakaofuatia na kuongoza Taifa letu baada ya Kumaliza Muhula wake Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hapo 2030. Ni viongozi Wachapakazi ,wazalendo ,waadilifu ,wacha Mungu na wenye Dhamira ya kweli na Dhati...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Meta wapo kazini muda wote

    Meta muda wote wana process data hawalali , watumishi wa umma bado unasikilizia muamala tuuh hadi lini , ninaona post za walimu kama wote na nyingi sana . Mi yangu mawili amua uwe na boss zaidi ya mmoja au endelea toa comment hapa jamii forum na mbaya zaidi boss wako haendeshwi kwa comment .
  4. JamiiForums Tanzania Mimi ndie member wa jeiefu folamu mwenye nidhamu na utii kuliko wote

    Kwanza nawashukuru wote mlionifikia inbobo na kunitumia jumbe mbalimbali za kunipongeza Kwa kua member mwenye nidhamu na utii kuliko members wengine hapa jukwaani, Hasa Katika kipindi hiki ambacho jukwaa limekumbwa na taharuki ya kinidhamu. Mimi mwehu ndama nimekua nikionyesha Kwa maandishi...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi member wote humu tupime HIV nani atatoboa??

    Za jpili Najua wengi waoga kutokana na matukio ya nyuma Nawaza tu hivi aje dk kupima HIv humu Member gani unahisi atakosa hiv kama mm... πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† endelea kucheka kama. Mazuri Jpili njema kwa hisani ya mashabuki wa πŸ‡ͺπŸ‡Έ Lamal.... Nabii Msomi Pdidy2026
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima karibu wote wana msiba wa bei za mazoa yao, ila wakulima wa kahawa wana furaha sana

    Mimi ni mkulima wa Muda mrefu kidogo nalima viazi kama zao la urithi, parachichi na sasa nimeanza kulima kahawa( sijafanikiwa kulima kahawa kwenye kiwango kizuri) nadili na nafaka kwa kununua na kuuza. Nimejaribu kufuatilia trend ya Bei ya mazao kwa Miaka kadhaa hadi nikamua kuanza kulima...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Law School of Tanzania ilitangaza kukamata wachache kwa udanganyifu wa mitihani, why wanafunzi wote turudie mitihani?

    Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa Chuo cha Sheria Tanzania (Law School of Tanzania), naomba kupaza sauti kuhusu uamuzi wa chuo kutangaza kuwa wanafunzi wote wa Kundi la 42 pamoja na Kundi la 40 waliokuwa kwenye marudio (Supplementary) warudie tena mtihani wa Written Practical Assessment (WPA)...
  8. JamiiForums Tanzania Kama hawa wote wanaomtuhumu Heche wamenunuliwa, CHADEMA hamna makada!

    Huwa tunapenda sana kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Hata hivyo majibu ya namna hiyo hayatibu ugonjwa. Mtaji wa kwanza wa chama cha siasa ni wanachama waaminifu ambao wapo tayari kukitetea, kukilinda na kukipigania chama chao. Tafakari, kama chama viongozi wake, wanaweza nunuliwa kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Urusi Inawatafuta Vloggers Wote Wanaoikosoa Serikali ya Putin

    Konstantin ni vlogger mzuri sana mrusi anayetoa habari za ndani ya nchi ya urusi lakini yeye anaishi ughaibuni. Jana kapigwa polonium! Aombewe apone, lakini nchi anayoishi haina huduma nzuri za kiafaya na ina maajenti wengi wa usuri. Nadhani anaish Uzbekistan...
  10. JamiiForums Tanzania Itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?

    [Luk4:1]Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani [Mat4:8]Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake [Luk4:6]Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari...
  11. JamiiForums Tanzania Ni Dunia ya Jude, na Wote Tunaishi Humo

    Kuna nyakati chache katika historia ya soka ambazo dunia haichagui kwa kura, bali inakubaliana kimya kimya. Hakuna mkutano unaoitishwa, hakuna tangazo linalosomwa, lakini macho ya mamilioni ya watu huanza kuelekea sehemu moja. Ni kama vile mchezo wenyewe unasema: "Tazameni huku, kuna jambo...
  12. JamiiForums Tanzania Inaonyesha mivutano ya iran na USA tunaweza kuwa laumu ila wote wanatumiwa na watu ambao kila nchi kujiweka kama sio yeye

    Ukiangalia migogoro ya iran na USA ni kama hawa watu wamekuwa mwana seserere wa nchi zilizopo karibu na iran. Na mpaka sasa unaweza kujiuliza wao kama wanafanya biashara kwa nini watumie nchi nyengine mfano iran anavyo fanya na nchi za nyengine kumtumia USA kuwapiga.
  13. JamiiForums Tanzania Top 20 ya muda wote ya nyimbo kali za kiafrika hii hapa.

    Hizi ni nyimbo kali 20 za kiafrika za muda wote. Haihitaji ubishi. 1. Rangi ya chungwa - Tabora Jazz https://youtu.be/5zkWzZB8EYM?si=GVY_U-bk0DPEpAyj 2. Mario - Franco Luambo Γ— TP OK jazz https://youtu.be/7zZyGkGN7Sw?si=8VWknq5qmu21oswg 3. Umqombothi - Yvone Chakachaka...
  14. JamiiForums Tanzania Wabunge wote wa Mkoa wa Singida wamekuwa hawataki Lissu aachiliwe, too sad

    Leo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu. Ila...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Si kwamba ni wote au siwaamini, lakini wakala wa bidhaa original akiwa Mbongo hunifanya niwe na wasiwasi ataingia tamaa kirahisi kutuuzia feki

    Unakuta makao makuu ya kampuni yenyewe yapo Dar au kwenye majiji mingine, na ukifika huko unaona kabisa tofauti ya uendeshaji. Kila kitu kinafanyika kwa weledi, usimamizi ni wa kiwango cha juu, na mara nyingi mameneja ni watu wenye uzoefu mkubwa walioujenga ndani ya kampuni hizo kwa miaka mingi...
  16. JamiiForums Tanzania Ni muda wa kujitafakari kwa kina kama taifa sababu dalili sio nzuri haiwezekani GenZ na Millenials wote wasiipende serikali iliopo madarakani

    Jana nilikuwepo pale Mlimani City kwenye usiku wa Bongo fleva, audience ilikua ni vijana wa zamani (millenials) kwa wingi. Na hao hao ndio waliozomea pale Mwana FA alipoingiza mambo ya serikali. Ukiingia mtandaoni na mitaani utakuta GenZ hawaikubali kabisa serikali. Je tunaelekea wapi kama...
  17. JamiiForums Tanzania Ipi ni nyimbo yako Bora ya muda wote?

    Yakwangu ni Aikon--Ghetto hii nyimbo jamaa aliitunga kwa ustadi wa hali ya juu sana.
  18. JamiiForums Tanzania Mambo yameanza huku nianze kukera watu karibu tunywe kuna warembo kama wote yani

    Yaan leo aliyekaa nyuma yangu hapa ni Yale mambo Nataka Mimi nyama nyingiiiiiii mchuzi kwa mbaaaaliiii Toto limeshanijoin ***** linaagiza tu now ni 340$ kabisa Dadek
  19. H

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwanini Bima ya Afya kwa wote inashindikana Tanzania!!

    Habarini, Kwanini lakini kitu cha muhimu kama hiki hakitiliwi maanani? Watu wanapanga kuandamana kwaajili ya masilahi ya wanasiasa badala ya maandamano kwaajili ya BIMA YA AFYA KWA WOTE kwani ndiyo shida ya Watanzania walio wengi. Ni bora wapinzani mkawekeza kwenye matatizo ya wananchi siyo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wote wa Mbaga na wenye mpango wa kujiunga na darasa lake

    MASTURBATION/PORN ADDICTION β€œ DON’T DESTROY LIFE FOR 5 SEC PLEASURE. ” SIDE EFFECTS OF MASTURBATION/PORN Γ— It makes you weak physically and mentally. Γ— Your body shape gets worse. Γ— You feel tired all the time. Γ— No confidence – You always feel low. Γ— You walk with your head down. Γ— You...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…