Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,064
- 25,158
Konstantin ni vlogger mzuri sana mrusi anayetoa habari za ndani ya nchi ya urusi lakini yeye anaishi ughaibuni. Jana kapigwa polonium! Aombewe apone, lakini nchi anayoishi haina huduma nzuri za kiafaya na ina maajenti wengi wa usuri. Nadhani anaish Uzbekistan
View: https://www.youtube.com/watch?v=2PV_bDA6vpA
View: https://www.youtube.com/watch?v=2PV_bDA6vpA