Humu Jamii Forum inabidi tuanzishe campaign ya ku ignore machawa wote ili threads zao wasome machawa kwa machawa.
Kwa hiyo tuwe tunasoma kimya kimya?Tatizo la ignore ya JF imekaa kingese sana, mm nadhani tuache ku-comment kwenye nyuzi za hao wangese wa ccm na wale wasiojali utu.
HeheheNgoja waje machawa
Yah mkuu, n kugonga dislike tuu 🔥Ukicoment unakuwa umewapa mileage
Umoja ni nguvu
Mimi nadhani kila Chama kina machawa siyo CCM tu mkuu wewe mwenyewe kwa comment yako tu inavyojieleza tayari ni chaaa wa Chama flanTatizo la ignore ya JF imekaa kingese sana, mm nadhani tuache ku-comment kwenye nyuzi za hao wangese wa ccm na wale wasiojali utu.
Nieleweshe mkuuUnaelewa maana ya machawa mkuu.?
Mm sina chama, mm sio chadema wala sio CCM.Mimi nadhani kila Chama kina machawa siyo CCM tu mkuu wewe mwenyewe kwa comment yako tu inavyojieleza tayari ni chaaa wa Chama flan
Unapowatag kama hivi ndio unaharibu..punde yanaibuka na ujinga waoMm sina chama, mm sio chadema wala sio CCM.
Mm nipo upande wa haki.
Hata humu kuna machawa wa ccm kama Lucas Mwashambwa na wengine wa chadema kama Erythrocyte na wote hao mm nawaona ni wapumbavu tuu Ila chawa cha ccm wanazingua Sana aisee labla Tusubiri chadema ikishika nchi tuwaone na hao chawa wao.
Na bado hao uliowapiga tofali wana access ya kufanya chochote kwenye mada zako kama vile hujawapiga tofali, sasa utofauti uko wapi hapo?Sisi wengine tumeanza kitambo mno! Mpaka muda huu nimepiga tofali chawa 12
Na ndo mana nikawaita wapumbavu ili wajue hilo kabisa.Unapowatag kama hivi ndio unaharibu..punde yanaibuka na ujinga wao
tusiwe tunafungua hata post zao wala kureply chochote kwenye comments zao katika post za wengineHumu Jamii Forum inabidi tuanzishe campaign ya ku ignore machawa wote ili threads zao wasome machawa kwa machawa.