wote

  1. A

    KERO Waliofanya usaili wa LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya Ajira 17/12/2025 walifeli wote?

    Kuna watu walifanya interview za LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya ajira Serikalini 17/12/2025 oral ila hadi leo majibu hayajatoka hata kwa mtu mmoja. Tunachowaza ni kwamba walifeli wote au nini kinaendelea?
  2. K

    Halima Mdee tubu yaishe lakini eleza ukweli wote Covid 19

    Halima Mdee tubu yaishe lakini eleza ukweli wote Covid 19. Amegoma kwenda CCM sasa atubu kwa uwazi kabisa kuhusu Covid 19 kabla hajakubaliwa kurudi kama mwanachama wa kawaida. Bila kutubu asiruhusiwe
  3. Vien

    Je, Mwanamke Hubeba DNA za Wanaume Wote Aliowahi Kulala Nao? Mtazamo wangu ni huu

    Kuna kauli imekuwa ikisambaa sana mitandaoni siku hizi, kwamba mwanamke akishalala na mwanaume, hata kama hakupata mimba, basi hubaki na DNA yake mwilini. Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa kama amekuwa na wanaume 5 au 10, basi anatembea na DNA zao wote, na huenda hata watoto atakaokuja...
  4. baz kaiza

    Watanzania wote wapenda HAKI na amani ni muda sasa wa kuamka kudai kuachiliwa kwa Lissu tena kwa nguvu zote na mamlaka kutwambia yuko wapi Polepole

    Ni mda watanzania wote bila kujali itikadi za vyama na dini zetu kutoka na kushinikiza mamlaka kumwachia Tundu Lissu bila masharti yoyote. Na mamlaka kutoka na kusema Polepole yuko wapi hii nchi sio mali ya mtu hii ni nchi ya wananchi wote au Mamlaka mnataka kuona Nguvu ya Umma ile ya October...
  5. VERBOSE

    Na huyu ndio yule Mdudu anaependwa zaidi Duniani kuliko Wadudu wote Ila ana vituko

    Picha inajieleza.
  6. kavulata

    Simba wana TFF Yanga wana Mungu, wote sare

    Hakuna mtu mwenye akili timamu ambae hajui kwamba TFF na Bodi ya ligi wana upogo kwenye kupanga ratiba za mechi, waamuzi na adhabu mbalimbali. Upogo wao huu haupangui matokeo ya ligi badala yake unazidi kuidhoofisha timu yao.
  7. MamaSamia2025

    Orodha ya waandishi bora wa muda wote Tanzania

    Hawa watu walinifanya ninunue sana magazeti kabla ya ujio wa social media. 1. Joseph Mihangwa 2. Ahmed Rajab 3. Edo Kumwembe 4. Jenerali Ulimwengu 5. Maggid Mjengwa 6. Irene Mwamfupe 7. Ayoub Rioba 8. Imelda Mtema 9. Luqman Maloto 10. Julius Mtatiro
  8. Bani Israel

    Waliotuletea dini wote wanakula sikukuu kesho ila sasa nchi yangu 🥲

    Iran kwa washia pamoja na vita vyao kesho wanaangusha ngamia MashaAllah nako Saudia chimbuko la sunni nako kesho ni shughuli yani middle east yote kesho ni bata batani Inashangaza tanzania imekuwa kawaida kusherekea sikukuu hizi siku ambazo ni tofauti na tunaowaangalia kama ndio chimbuko la...
  9. BB_DANGOTE

    Vizazi Vinne Kutokea Sasa Waafrika Wote watakuwa na Majina ya Kizungu, Very Sad

    Habari Siku ya Leo Nimefikilia Vizazi Vinne Kutokea Sasa Hali Itakuwaje Nikagundua Majina Yetu Mazuri yanayo endana na Asili Yetu yatapotea, Kutakuwa na Majitu Meusi afu yanajiita Stanley Costancelous John, Ivi Nini kifanyike Tutoke kwenye hili wimbi la ulimbukeni Linalo tunyemelea.
  10. MK254

    Malaika wa kwenye uislamu humlaani mwanamke usiku kucha akimnyima mumewe unyumba

    Ni kama hawa malaika hukaa mkao wa kusubiri kutazama show, ila sasa mke akigoma kumfuata mume kitandani, wanamlaani huyo mwanamke usiku kucha.... Sio maneno yangu ila andiko hili hapa.... sahih al-bukhari 3237 Allah's Messenger (ﷺ) said, "If a husband calls his wife to his bed (i.e. to have...
  11. petro matei

    Bandari ya Bagamoyo tumaini jipya kwa ukanda wote wa Pwani

    Kwa kweli kwa wasiojua kuwa bandari bagamoyo ambayo itajengwa sambamba na eneo maalumu la kiuchumi la viwanda (economic zone). Mradi huu utakuwa na manufaa makubwa sana kwa wakazi wote wa ukanda wa pwani yaani dar es salaam, pwani yenyewe na tanga na Tanzania kwa ujumla. Bandari hii inajengwa...
  12. MK254

    Video: Babu Seif Kisauji asema waislamu wote wanaotumia mitandao ya kijamii watakwenda motoni

    Asema Waislamu hawaruhusiwi kutumia chochote cha makafir, na kwa vile hii mitandao na teknolojia zote hizi ni za makafir, hivyo wanaozitumia watakwenda motoni. https://vm.tiktok.com/ZS9R1jRMqEye9-PlLgb
  13. R

    Mvua ukanda wote wa Pwani isipokuwa Tanga

    Kuna laana kubwa Tanga. Nchi nzima inanyesha mvua isipokuwa Tanga, hasa mjini na viunga vyake ....all surrounding villages within Tanga City planned areas! Tangu last year June untill now! Soma pia TMA toeni sababu kwanini mvua Tanga hakuna tangu mwezi wa 7, 2025
  14. Robert Heriel Mtibeli

    RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

    Hamjambo wote! 1. Nimemsikia RC Mtaka akiongea Siku ya wanawake. Akijaribu kuikosoa kauli nyuma ya Kila mafanikio ya Mwanaume kuna mwanamke. 2. Anthony Mtaka kauli hiyo aliikosoa vikali kauli hiyo kwamba ni upotoshaji, uongo, na sifa za kilaghai wanazopewa wanawake. 3. Huku akisema...
  15. Ritz

    Trump: Tumeharibu mfumo wote wa makombora ya Iran kwa asilimia 90

    Wanaukumbi. Trump na Israel, wanachekesha sana wanasema imengamiza uwezo wa makombora ya Iran kwa asilimia 90 hawana tena huwezo wa kurusha makombora na wanadhibiti anga yote ya Iran. 😂 https://x.com/jacksonhinklle/status/2030767973946810563?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  16. Manyanza

    🌺 Happy Women’s Day kwa wanawake wote wa Jamiiforums!

    Kwa wanawake wote wa Jamiiforums 🌸🌸 Leo tunasimama kuwapongeza na kuwashukuru kwa nguvu, hekima, na mchango wenu mkubwa katika jamii. Ninyi ni chanzo cha upendo, ujasiri, na mabadiliko chanya kila siku. Mwanamke si wa kusherehekewa leo tu, bali anastahili kuthaminiwa siku zote 365 za mwaka...
  17. VERBOSE

    LOOSE BALL: Kama wewe umewahi kukutana na Loose Balls pitia hapa. Dondosha kisa chako hapa

    Haya tuambie kwenye pitapita zako ulipokutana na Loose Ball nini kilikupata au ulifanyaje?. NB: Loose Ball ni kitendo au tukio ambalo linatokea kwenye uwanja wa Basketball sasa kuna kipindi mpira huo unakua hauna mtu wa timu yeyote anaeumiliki yaan unazagaazagaa tu uwanjani yeyote anaweza...
  18. MK254

    Kikao cha watu 88 waliokutana kujadili mrithi wa Ayatollah wauawa wote kwa bomu

    Walikutana kujadili mrithi wa Ayatollah, jengo likashushiwa kitu kizito..... The IDF targeted a building in which Tehran's 88-member Assembly of Experts was meeting to choose Iran's next supreme leader, Israeli sources told The Jerusalem Post on Tuesday...
  19. Stuxnet

    Pengo na Nkwera wote wamekufa. Mungu atatoa jibu ni nani alikuwa sawa kwenye mgogoro wa 1992-95

    Mgogoro dhidi ya Fr Nkwera ulianza mara tu Pengo alipokuwa Askofu Mkuu (1992) 1.Matatizo yalianza baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Dar es Salaam. Alimuita “padre mtoro” na kuanza mchakato wa kumdhibiti. Fr. Nkwera alitajwa kama padre asiye chini ya jimbo rasmi, jambo...
  20. mcTobby

    Ujasusi sebuleni kwetu: Itabaki kuwa thread yangu bora ya Wakati wote hapa JF

    Hii thread ililetwa humu miaka kadhaa nyuma na from nowhere kama coincidence nilikutana nayo. Hapo ndipo nilipo fall in love with jeiefu🤌🤌😎 Nadhani aliyeileta alikuwa anajiita bold. Sijui amepotelea wapi. Wewe thread yako Bora ya Wakati wote hapa jeiefu ni Gani?
Back
Top Bottom