wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya afya itoe waraka maalumu wa namna gani tiba asili inaweza kutumika katika vituo vya huduma za afya

    Ni muhimu kwa wizara ya afya kutoa muongozo rasmi wa namna gani wataalamu wetu wa afya na vituo vya huduma za afya nchini vinaweza kutumia tiba asili katika kuwahudumia wagonjwa. muongozo huu utaondoa sitofahamu mbalimbali za utaratibu wa tiba nchini.Wizara ije na sera na miongozo rasmi kuhusu...
  2. E

    Serikali na Wizara ya Afya ninaomba "FUKIZA KILA KAYA", kampeni maalumu ya kutokomeza magonjwa ya milipuko

    Tunaona nchi mbalimbali zikizalisha chanjo za magonjwa ya Corona na kuwagawia wananchi wake na kuuza kwa mataifa mengine. Sisi nasi tumezalisha Tiba za magonjwa kama hayo na tunaona kwenye mitandao ya kijamii waliozitumia wakizisifu. Ni kwa bahati mbaya sana dawa hizi zinapatikana kwa shida...
  3. J

    Dkt. Kimei: Wizara za Kilimo na Viwanda kupewa 6% ya bajeti will never work. Ukusanyaji mapato ni mdogo, au huenda GDP ya Tanzania iko overstated

    Sikilizeni mchango wa Dr.Kimei bungeni. Kuna mambo hayako sawa katika mikakati yetu ya uchumi. === Tunapoangalia mipango hii mara nyingi huwa tunatumia cash budget sasa tukianza kuzungumza mpango kwa kianzia kwenye matumizi kwa kuorodhesha vitu gani tunataka vifanywe mimi naorodhesha kwanza...
  4. Y

    Siasa za Ujenzi wa Viwanda: TRA na Wizara ya Viwanda ni watuhumiwa wa kwanza

    Hongera CCM kwa kutimiza miaka 44. Jana nimefuatilia kidogo mjadala wa CCM uliokuwa unaongozwa na Comred Polepole, wachangiaji wa mada walishindwa kueleza sababu hasa za nchi yetu kushindwa kutunga na kutekeleza na kusimamia sera za kujenga uchumi wa viwanda ili kutuondoa katika dimbwi la...
  5. Wizara ya Kilimo, ninaomba hii ipite kwenye dawati lenu la maoni

    KWENYE PARETO BADO KUNA UKAKASI, PAMOJA NA MAJIBU YA MH BASHE..... Na Elius Ndabila. 0768239284 Mh Bashe Naibu Waziri wa Kilimo, pamoja na majibu mazuri kwa Mh Njeza Mbunge wa Mbeya vijijini ( Mh Rais atanisamehe kwa kuwa hapendi kielezi cha Vijijini) bado mimi kuna suala ambalo linanisumbua...
  6. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari yawakabidhi wakandarasi mikataba ya shilingi bilioni 7.5

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amewaagiza wakandarasi wanaokwenda kutekeleza miradi minne ya miundombinu ya mawasiliano yenye thamani ya shilingi bilioni 7.5, kuhakikisha wanafanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha kazi hiyo ndani ya muda wa mkataba...
  7. Nadhani Wizara ya Afya wako sahihi kusema tutumie dawa yenye vitunguu swaumu kupambana na korona

    Nimesoma sehemu kuwa miili ya watu wengi waliokufa korona imekutwa na damu ikiwa imeganda kwenye mishipa midogomidogo ya damu na kuiziba (thromoembolism). Wamesema hii ni moja ya complication ya korona. Sasa kitunguu swaumu kina tabia ya kufanya damu iwe nyepesi na isigande kirahisi. Naona ule...
  8. Wizara ya Afya: Tutafunga kila mtu kwa wizi wa dawa

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amesema kama wataamua kuwachukulia hatua watumishi wanaojihusisha na wizi wa dawa watawafunga watumishi wote. Amesema hayo alipokuwa katika hospitali ya Mount Meru ambapo amesema kiwango cha dawa kinachoingia...
  9. B

    Naibu Waziri wa TEHAMA, Kundo Andrea ashauri TCRA kuanzisha mitandao yetu ya kijamii tuachane na Twitter, FB, YouTube n.k

    Kuelekea uchumi wa kidigitali Serikali kupitia Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeitaka mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA kufikiri namna ya kutoa fursa kwa waTanzania wenye uwezo wa kuanzisha mitandao ya kijamii ya ndani ya nchi ili kukuza uchumi na usalama wa nchi. Naibu...
  10. Wizara ya Afya: Hakuna tishio la UVIKO-19, likiwepo tutatoa taarifa

    Wakati Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) likiwataka waumini wake kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya ya virusi vya corona ambavyo vimeshambulia nchi kadhaa, Serikali imewataka wananchi kutoingiwa na hofu bali wasubiri maelekezo ya Serikali. Waraka wa tahadhari wa TEC ulitolewa...
  11. Taarifa kwa Umma tamko la Wizara ya Afya kuhusu tukio la askari wa ulinzi SUMA – JKT kutuhumiwa kumpiga ndugu wa mgonjwa

    TAARIFA KWA UMMA TAMKO LA WIZARA YA AFYA KUHUSU TUKIO LA ASKARI WA ULINZI SUMA – JKT KUTUHUMIWA KUMPIGA NDUGU WA MGONJWA
  12. S

    Katika Wizara zote, TAMISEMI ni wizara inayoongoza kwa usanii

    Tutafakari wizara ya TAMISEMI na usanii wake kwa uchache: 1. Waziri wa TAMISEMI ameishia wapi na Wakurugenzi walionununua magari ya bei kubwa kuliko? 2. Kwenye ajira za walimu 8000, usanii ulikuwa mwingi tu. 3. Na bado vijana wanaambiwa ajira 5000 zinakuja. Mpaka mheshimiwa rais amezitaja...
  13. Yaliyofanikishwa na Dr Dorothy Gwajima ndani ya wiki chache pale Wizara ya Afya

    1-Fedha za dawa awamu ya kwanza zimeingia MSD 2-Ameyaamsha mabaraza ya kiataaluma ambayo yalikuwa yanakusanya fedha tu kutoka kwa wataalamu bila kutekeleza majukumu yao kikamilifu.kwa mara ya kwanza nimeona wasajili wa mabaraza ya kitaaluma wakianza kujiwajibisha. 3-Amewezesha viongozi wakuu...
  14. Wizara zipimwe kwa mambo mawili ya ziada kuongeza mapato ya serikali na kuongeza ajira

    Pamoja na majukumu ya kawaida ya wizara lakini kila wizara upimwe inaongezaje mapato ya serikali na inaongezaje ajira
  15. Taarifa ya majina 300 waliopata ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka 2020/2021

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, anawatangazia watumishi walioomba ufadhili wa masomo ya Uzamili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kuwa zoezi la uchaguzi limekamilika. Jumla ya watumishi 300 wamechaguliwa kupata ufadhili kwa mwaka 2020/2021, ufadhili huu...
  16. T

    Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!

    Wizara ya madini haijawahi kumwacha mtu salama. Je, ni waziri gani mwingine aliwahi kuhamishwa toka wizara ya madini kama si kutumbuliwa? Kairuki ndani ya miaka 3: Desemba 2015- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Octoba 2017- Waziri wa Madini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…